Iran&Urusi na China ni nchi makini sana
Zinaongozwa na Viongozi makini na wazalendo sana
Mapenzi yangu kwa Ayatollah wa Iran hayapimiki yaani namkubali ayatollah na serikali yake sana huniambii kitu kuhusu Iran iran wana jeshi makini, intelijensia makini na nyumbani kwa wayahudi halisi wapatao milioni 4-5 na ndo nchi yenye wayahudi wengi duniani zaidi baada ya Israel......
Urusi ya Putin naipenda sana yaani mimi kama ningekua Chawa basi mimi ni chawa Wa Urusi na Putin pro-Max
Utendaji, uthubutu,unanifanya nimkubali sana Comrade Xi jinping nendeni mkasome Wasifu wake na legacy yake mtabaki kushangaa jamaa ni genious sana
Naipenda Hamas na Hezbollah kupita maelezo!!.....Nawapenda Wayahudi sana hawa ambao ni real jews sio wale Wazayuni/Zionists ambao ni mafia walioletwa pale middle East am proud to be Anti-Zionism
Hakuna kitu tunaombea kama Wayahudi na Wapalestina waishi kwa amani amani itapatikana tu pale Wazayuni watakapoondolewa pale wabakie wayahudi halisi na wapalestina ili waishi kwa pamoja na amani!!