LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nawaza hivyo kwa sababu Mungu huyo Hayupo.

Angekuwepo, Ange tu prove wrong tusio mwamini Kwamba yupo.

Hakuna kitu.

Kwa nini unadhani lazima kuwe na Mungu?

Mungu ni nini?

Mungu hayupo, Dunia haina chanzo.
Umesema hakuna kitu kwahyo wewe ni nini na milima,maji,wanyama ni nini?
 
Mimi ni binadamu.

Milima ni sehemu katika ardhi zenye miinuko.

Maji ni kimiminika.

Wanyama ni viumbe hai.

Vitu vyote hivi, Vina thibitishika vipo pasipo utata.

Sasa wewe niambie Mungu huyo ni nini?
 
Bahati mbaya wamo wanaokufa bila hatia. Lakini,nimesoma stori kwamba mwaka 2007, HAMAS, walikuwa wakirusha watu kutoka gorofani wa chamia cha Yasser Alafat.
Binafsi,lile genge lilalojiita UN, lina haja ya kugawa ile ardhi ½ kwa Israel na ½ kwa Palestina. Wawe wayahudi,wawe wa Palestina wote wana haki ya kuishi
Wa israel walipovamiwa na kuuliwa walikuwa na hatia?. Mbona mnaleta huruma za kipuuzi, yani hamas Wauwe watu kwa nderemo na vifijo kwa Allah iwe sawa lakini watoto wa Yakobo wakifanya yao iwe nongwa sio?. Hamas kawaletea majanga watu wa Gaza, kichapo apatacho ndio stahili yake. Ugaidi kwa kisingizio cha kumpigania Allah haukubaliki popote pale.
 
Nimekwambia hivi, Binadamu na dunia hatuna mwanzo wala mwisho.
Hili nalo debe tupu lipuuzwe. Imeandikwa, wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi. Mtu ni roho, ambayo ni pumzi ya Mungu so Mungu akapulizia udongo pumzi yake ukawa nafsi hai ndio huo uhai ulio nao unless umeshauza nafsi yako kwa lucifer kama wenzako wanavyoimba bora wa enjoy maisha yao ni mafupi hiyo ni habari nyingine. Mungu Yehova pekee ndio hana mwanzo wala mwisho, Jina lake ni mzee wa siku, ukipenda mfalme wa Salem.
 
inapiganiwa al aqsa, sasa kama wakristo na budhist al aqsa inawahusu basi ni sawa
Tumia akili kidogo,zinapotea roho za watu hizo mnaita sijui msikiti mtajenga mingine roho ikishamtoka mtu hairudi!

Leo mfano pale Kariakoo kukawa na vita ya kugombea masjid idrisa likarushwa rocket lika-misfire likaenda kupiga pale mtaa wa Kongo likauwa wasiokuwa waislam huwezi kuacha kuwahesabu kama waathirika eti kwa sababu kinachogombaniwa ni msikiti bomu limewauwa hiyo ni juu yao.
 
waarabu na wayahudi sio ndugu zetu so vifo vyao sizani kama vinatuhusu sana.. sababu hata wao hawanaga time na maisha yetu huku africa, wao acha watwangane tu atakaeibuka mshindi ndo mbabe
 
Wa israel walipovamiwa na kuuliwa walikuwa na hatia?. Mbona mnaleta huruma za kipuuzi, yani hamas Wauwe watu kwa nderemo na vifijo kwa Allah iwe sawa lakini watoto wa Yakobo wakifanya yao iwe nongwa sio?. Hamas kawaletea majanga watu wa Gaza, kichapo apatacho ndio stahili yake. Ugaidi kwa kisingizio cha kumpigania Allah haukubaliki popote pale.
Umesoma na kuelewa kilichoandikwa wewe!? Au Israel tu!
 
How did you know God exists?

Who told you God exists?
Basically, the same question.

First, understand that God is knowable. He's reachable, even though He is infinite above and beyond our limited imagination.

Two, as I said previously, there's a plethora of evidence supporting His very existence.

Take, for instance, the fact that you can never disprove His existence. Or, can you?
How did you know, God can never be confined with our limited finite brains?
Our brain can never think beyond the present moment, let alone the mystery regarding the nature of God.

Can you tell me with a hundred percent certainty whether you'll still be alive tomorrow?

Or, better yet, can you tell the thoughts of, let's say, your best friend?

What if I told you that God has through history predicted events thousands of years before anyone ever thought they would actually occur in the future?

Similarly, such events did reveal beforehand the course of action to which those future generations would pursue -- something that no human could presume to do.
If we cannot confine God within our limited finite brains, How did you know God exists?
Scientists such as astronomers, for example, do not need to travel 2.5 million light years away just to study the nature of one trillion stars in the Andromeda Galaxy. They simply need the best equipment while they remain in their closet down here.

They have never flown there because of human limitations and finiteness, but they know the galaxy with its vast stars exist.

They can even tell with substantial accuracy how hot those stars are in their core!
Which "brain" did you use to know God exists?
Waiting for a better question, at least from my own perspective.
 
Hili nalo debe tupu lipuuzwe. Imeandikwa, wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi. Mtu ni roho, ambayo ni pumzi ya Mungu so Mungu akapulizia udongo pumzi yake ukawa nafsi hai ndio huo uhai ulio nao unless umeshauza nafsi yako kwa lucifer kama wenzako wanavyoimba bora wa enjoy maisha yao ni mafupi hiyo ni habari nyingine. Mungu Yehova pekee ndio hana mwanzo wala mwisho, Jina lake ni mzee wa siku, ukipenda mfalme wa Salem.
Lucifer hayupo.

Mungu hayupo.

Ni fiction stories mlilishwa na dini zenu.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Basically, the same question.

First, understand that God is knowable. He's reachable, even though He is infinite above and beyond our limited imagination.

Two, as I said previously, there's a plethora of evidence supporting His very existence.
You are just meandering, Give the evidence!
Take, for instance, the fact that you can never disprove His existence. Or, can you?
Yes I can,

God has failed to prove me wrong that, He doesn't exist..

God has failed to show his existence and powerfulness that he exists.

Though you always say your God is powerful.

But it's nothing.
Our brain can never think beyond the present moment, let alone the mystery regarding the nature of God.
Man created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
Can you tell me with a hundred percent certainty whether you'll still be alive tomorrow?
So you mean that God is the one who make people's deaths?

Being alive today or tomorrow doesn't mean that it's because of God.
Or, better yet, can you tell the thoughts of, let's say, your best friend?

What if I told you that God has through history predicted events thousands of years before anyone ever thought they would actually occur in the future?

Similarly, such events did reveal beforehand the course of action to which those future generations would pursue -- something that no human could presume to do.

Scientists such as astronomers, for example, do not need to travel 2.5 million light years away just to study the nature of one trillion stars in the Andromeda Galaxy. They simply need the best equipment while they remain in their closet down here.

They have never flown there because of human limitations and finiteness, but they know the galaxy with its vast stars exist.

They can even tell with substantial accuracy how hot those stars are in their core!

Waiting for a better question, at least from my own perspective.
 
Waislamu waliosapoti Hamas waliguata mihemko na walifanya makosa ,pamoja na hayo haikupi wewe uhalali wa kushangilia vifo vya watu wasio na hatia .
Hata kama wanaokufa sio wenye hatia lakini ni ndugu wa magaidi, kwani wewe ukimtafuta gaidi ukamkosa si lazima utaenda kwa familia yake.....labda Vita iishe lakini kama haitoisha, Israel inahaki ya kuwauwa raia wa pelestina, kwanza hili kundi la hamas limeundwa na wapalestina wenyewe.....acha wapelekewe Moto tu
 
Back
Top Bottom