Ukweli kama huu haupewi nafasi kabisa mitandaoni. Watu wanataka kusikia either unasapoti Israel au palestina.Tatizo right wing jews hawataki wanataka yote walithubutu kumuua hadi waziri mkuu wao rabin kisa tu alisaini ile oslo accord ambayo ingefuatwa ingeleta amani ya kudumu, hao tu ndio tatizo ndio maana bila ya hawa right wing jews , hata hamas wasingekuwepo na wote tungesema kweli ni magaidi, ila bila ya resistance ya hamas sasahivi palestine yote ingekuwa nchi ya israel
Ushabiki hauwezi kuwekwa pembeni katika jambo linalowagawa watu kimaslahi. That's my point.What is your point then?
Israel inasema Jerusalem haiwezi kugawanywa katuLazima wote wakubali kupoteza kidogo two state solution huku wakigawana jerusalem ili wote wakae kwa amani
Basi waendelee kukaa kwa shida shida siku zote na tuwaombee hamas na hezbollah wawashinde madhalimuIsrael inasema Jerusalem haiwezi kugawanywa katu
Hauwezi kusambaa ni mbwembwe tu.Fanya uchambuzi wako vizuri. Huu mgogoro una kila dalili ya kusambaa na kuwa mkubwa
You did say previously that the universe has always existed on its own and it'll always exist that way, ie. it's eternal. I have a small question, though, if you may.You're just meandering with a fictional character..
You already proved, as shown above, the possibility of God's existence. It's conclusively an established fact. That's settled.Listen here, God doesn't exist and even the possibility of his existence isn't there.
It's the evidence, not me, that points clearly and finally toward the original Originator -- God, as the creator of heaven and earth.Why are you creating your own perspective, then you are forcing the earth must be created by someone?
If your world, just as you said, has always been in existence, then who created it?Then, who created the creator?
Kuna baadhi ya viumbe walikuwepo katika huu ulimwengu lkn Kwa sasa hawapo je Hilo alitoshi kuthibitisha viumbe vina mwisho wakeNimekwambia hivi, Binadamu na dunia hatuna mwanzo wala mwisho.
Haviku isha vyenyewe tu, kuna sababu za kimazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi zili athiri maisha yao.Kuna baadhi ya viumbe walikuwepo katika huu ulimwengu lkn Kwa sasa hawapo je Hilo alitoshi kuthibitisha viumbe vina mwisho wake
Kwahyo unakubali kuwa viumbe vina mwisho wake kama ulivyotolea mfano dinosaurs. Kwahyo hata huu ulimwengu unaweza kuwa na mwisho kama kutakua kuna jambo ambalo litapelekea mwisho rejea mf dinosaurs si ndio?Haviku isha vyenyewe tu, kuna sababu za kimazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi zili athiri maisha yao.
Kwa mfano Faru kwa sasa wanalindwa sana kwa vile wapo wachache na sababu iliyo pelekea kuadimika kwao ni ujangili uliokithiri.
Dinosaurs pia walipotea kwa madai kwamba Asteroid ilipiga dunia miaka hiyo ika wa angamiza.
Viumbe kufikia mwisho ni mpaka viangamie vyote pasipo vingine kuzaliwa ndipo vina futika kabisa kwenye ulimwengu.
Umesema ushabiki tuuweke kando, lakini ulivyoandika hata akikusoma mgeni anajua kabisa umeegemea upande gani.Ukitizama historia utabaini mizozo yote mikubwa iliyowahi kutokea duniani ilianza kimasihara sihara.
Sote tu mashahidi wa yanayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Hamas na Israel.
Hata mitandaoni, kumeuibuka malumbano makubwa ambapo kuna kundi linasapoti upande wa Palestina na jingine upande Israel. Hali inayopelekea mnyukano mkali baina ya makundi haya katika mitandao ya kijamii dunia nzima
Lakini pia kuna kundi dogo sana ambalo lenyewe linataka mauaji yasitishwe. Amani itamalaki Gaza.
Sasa ukiangalia kwa umakini mkubwa, kundi linalosapoti upande wa Israel ndio kundi lenye washabiki wengi zaidi. Wao wanafurahi jinsi Israel inavyoichakaza Gaza. Jinsi Israel ikua watu wasio na hatia kwa kisingizio cha kupambana na Hamas.Muda huu wanatamani wasikie IDF imeiangamiza Hamas na kuingia Gaza.
Lakini ninauhakika wa asilimia 99 kuwa siku chache zijazo hawa mashabiki wa Israel kama sio kufuta maoni yao mitandaoni, basi watabadili misimamo yao na kuacha kuishabikia Israel kwani the moment Israel itakapoingiza jeshi lale Gaza, ukurasa mpya utakuwa umefungulia katika mgogoro huu.
JINSI MGOGORO UNAVYOZIDI KUKUA
Endapo Israel ataingia Gaza, Iran ataivamia Israel kama alivyoahidi ,nae Marekani ataingia kumsaidia Israel.
Nae Urusi hatoweza kukaa kimya kuona swahiba wake Iran akikabiliana na marekani. Not to mention washirika wa Marekani na NATO kwa ujumla nao wataingia pamoja na mataifa mengine and before you know it, it's World War 3.
Wakati haya yakitukia, hakuna atakayebaki salama.Sio wanaoshabikia Israel au wa Palestina.
Israel ni Us ya mashariki ya kati.Kwa wanaoijua vyema Palestina mtusaidie kwani nako kuna Mafuta au Madini labda?!.... maana Biden alivyokaza shingo kuisupport Israel sio Bure hapo
Kwani si kawaida Israel kumnyuka Palestina hajaanza leoUkitizama historia utabaini mizozo yote mikubwa iliyowahi kutokea duniani ilianza kimasihara sihara.
Sote tu mashahidi wa yanayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Hamas na Israel.
Hata mitandaoni, kumeuibuka malumbano makubwa ambapo kuna kundi linasapoti upande wa Palestina na jingine upande Israel. Hali inayopelekea mnyukano mkali baina ya makundi haya katika mitandao ya kijamii dunia nzima
Lakini pia kuna kundi dogo sana ambalo lenyewe linataka mauaji yasitishwe. Amani itamalaki Gaza.
Sasa ukiangalia kwa umakini mkubwa, kundi linalosapoti upande wa Israel ndio kundi lenye washabiki wengi zaidi. Wao wanafurahi jinsi Israel inavyoichakaza Gaza. Jinsi Israel ikua watu wasio na hatia kwa kisingizio cha kupambana na Hamas.Muda huu wanatamani wasikie IDF imeiangamiza Hamas na kuingia Gaza.
Lakini ninauhakika wa asilimia 99 kuwa siku chache zijazo hawa mashabiki wa Israel kama sio kufuta maoni yao mitandaoni, basi watabadili misimamo yao na kuacha kuishabikia Israel kwani the moment Israel itakapoingiza jeshi lale Gaza, ukurasa mpya utakuwa umefungulia katika mgogoro huu.
JINSI MGOGORO UNAVYOZIDI KUKUA
Endapo Israel ataingia Gaza, Iran ataivamia Israel kama alivyoahidi ,nae Marekani ataingia kumsaidia Israel.
Nae Urusi hatoweza kukaa kimya kuona swahiba wake Iran akikabiliana na marekani. Not to mention washirika wa Marekani na NATO kwa ujumla nao wataingia pamoja na mataifa mengine and before you know it, it's World War 3.
Wakati haya yakitukia, hakuna atakayebaki salama.Sio wanaoshabikia Israel au wa Palestina.
Wala hakuna vita itakayosambaa duniani labda wazee wa kobazi waanze kujilipua na kuua watu ovyo kwa kila nchi.Fanya uchambuzi wako vizuri. Huu mgogoro una kila dalili ya kusambaa na kuwa mkubwa
Tatizo hapo mashariki ya kati ni ugaidi ndiyo umeshamiriIsrael ni Us ya mashariki ya kati.
Mwisho unawezakana kuwepo,endapo kutatokea tukio litakalo angamiza viumbe wote vika futika kabisa.Kwahyo unakubali kuwa viumbe vina mwisho wake kama ulivyotolea mfano dinosaurs. Kwahyo hata huu ulimwengu unaweza kuwa na mwisho kama kutakua kuna jambo ambalo litapelekea mwisho rejea mf dinosaurs si ndio.
Kama unakubali uwezekano WA mwisho WA viumbe upo basi hata chanzo kinawezeza kuwepoMwisho unawezakana kuwepo,endapo kutatokea tukio litakalo angamiza viumbe wote vika futika kabisa.
Hii haiwezi kuwa sababu peke Ya kuzuia Ulimwengu usiende kufutika au kuangamia. Kuna majanga mengi ya asili ambayo nadhani unakubali binadamu ameshindwa kupambana nayo na jicho ndio kiashiria pekee kuwa mwisho wetu upo.Lakini kwa sasa hali ya kuzaliana ni ngumu sana kwa viumbe vyote kufutika duniani.