LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Acha wachapwe tu,mbona hawawaachi mateka?

Ukorofi si mzuri.

Bado Lebanon wanawatunza Hezibolah na wanawaruhusu kuishambulia Israel
Wanawatunza ? au hujui Hezbollah ni chama cha siasa kabisa na ni sehemu ya serikali ya mseto pale Lebanon iliyotengenezwa baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe ?
Unaelelewa kweli unacho andika wewe ?
 
Angalia HAMAS wanavyo jitekenya na kucheka

Ogopa teknolojia
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Amesema hayo akinukuu Isaya 42: 6, Isaya 60:3 na kunukuu pia kitabu cha Isaya sura ya 49.

Your browser is not able to display this video.
 
Iran&Urusi na China ni nchi makini sana

Zinaongozwa na Viongozi makini na wazalendo sana

Mapenzi yangu kwa Ayatollah wa Iran hayapimiki yaani namkubali ayatollah na serikali yake sana huniambii kitu kuhusu Iran iran wana jeshi makini, intelijensia makini na nyumbani kwa wayahudi halisi wapatao milioni 4-5 na ndo nchi yenye wayahudi wengi duniani zaidi baada ya Israel.

Urusi ya Putin naipenda sana yaani mimi kama ningekua Chawa basi mimi ni chawa Wa Urusi na Putin pro-Max

Utendaji, uthubutu,unanifanya nimkubali sana Comrade Xi jinping nendeni mkasome Wasifu wake na legacy yake mtabaki kushangaa jamaa ni genious sana

Naipenda Hamas na Hezbollah kupita maelezo!! Nawapenda Wayahudi sana hawa ambao ni real jews sio wale Wazayuni/Zionists ambao ni mafia walioletwa pale middle East am proud to be Anti-Zionism

Hakuna kitu tunaombea kama Wayahudi na Wapalestina waishi kwa amani amani itapatikana tu pale Wazayuni watakapoondolewa pale wabakie wayahudi halisi na wapalestina ili waishi kwa pamoja na amani!!
 
Bahati mbaya usimpenda atakufanya kitu kibaya, na haangami hadi ufe kwanza
 
Kiangamizwe kizazi chako kwanza.
 

Celtic fans defy club to fly Palestine flags in Champions League match​

Fans displayed banners and held up thousands of Palestine flags during their team’s UEFA Champions League match against Atletico Madrid
 
Hii picha imeniuma sana kweli waisrael wameamua kuunajisi mji mtakatifu wa Jerusalem namna hii?

Hii picha imeuchefua moyo wangu na kuumia sana, wote tunafahamu Yerusalem ni mji mtakatifu kwa wakristo na pia Waislam.

Ni mji wenye historia kubwa kwa dini zote mbili hata dini ya tatu ya kiyahudi pia

Kinachoniudhi ni kitendo cha Israel kuruhusu mashoga kufanya matamasha na shughuli za kuhamasisha ushoga na maandamano ya mashoga katika mji huu

Hili jambo linakera na linachefua sana, hili ni jambo ovu sana na linaloumiza akili kwanini wamefikia huku?

Hili ndilo taifa teule baadhi ya watu wanaliombeaga??
 
Patakatifu ni hapo panapokustili kwasasa heshimu ardhi ya kwenu acha kuheshimu ardhi ya wengine kisa maandiko ya kihayawani!,ambao hao wengine unaowaona wateuliwa hawaiheshimu ardhi yako inayokulea!.
 
Hakuna mji mtakatifu kuliko mwingine hapa duniani, ardhi ni hii moja, hata Tanzania yetu ni mahala patakatifu na pamebarikiwa ndio maana kuna kila aina ya wanyama na watu wanalima na kuvuna pasipo kutumia advanced tech kama huko jangwani Yerusalem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…