LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums

Mtu unaishi Gongo la Mboto unahangaika na mambo ya watu, kuna watu wapuuzi sana.
 
Erdogan asema nchi za Magharibi hupuuza sheria kwa sababu 'damu ya Waislamu inapomwagika'
Jana, Erdogan alighairi safari ya Israel na kusema kuwa anajutia kusalimiana kwa mkono na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York mwezi uliopita.
 
Hamna lolote hizo ni kelele tu, toka lini hao wanaojita Israel wakawa wakusema ukweli.

Kwanza nashangaa vipi waliruhusiwa kutumia jina la Mtume liwe inchi, wana lana kweli hawa, kutumia jina la Mtume ambaye hakuwahi kuasi wakaenda itwa hao walio laniwa jina lake.
 
Hawa jamaa wanashangaza sana. Hebu ona hapa anavyofurahia Hamas wanaporusha maroketi kwenda kupiga Israeli. Allahu Akbar za kutosha (16)...

Your browser is not able to display this video.


Muone hapa anavyolia akiwa hospitalini baada ya kukoswa koswa na makombora ya Israel walipojibu mapigo...Vita siyo lelemama. Natumaini watapata suluhisho la kudumu siku moja. Watauana na kuwindana hivi mpaka lini?

Your browser is not able to display this video.
 
Wameingia pamoja na askari wa marekani,wamedundwa,casualties za kutosha,wanerudi,haya ni maelezo ya general wa marekani kule Twitter/x
 

chuki zinawamaliza hawa watu
 

ila mkisema nyny mnauliwa ndo kweli
 
Kwa nini Waislam hawawezi kujitetea ?

Why wasiungane wambonde myahudi

Waislam maneno mengi vitendo sifuri

Kulalamika kwa mdomo hakuwasaidii.. wanapaswa kuungana kama waislam na kupigana na adui wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…