jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Patakatifu kwa wayahudi,nyie wengine mnafosi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii picha imeniuma sana kweli waisrael wameamua kuunajisi mji mtakatifu wa Jerusalem namna hii?
Hii picha imeuchefua moyo wangu na kuumia sana, wote tunafahamu Yerusalem ni mji mtakatifu kwa wakristo na pia Waislam.
Ni mji wenye historia kubwa kwa dini zote mbili hata dini ya tatu ya kiyahudi pia
Kinachoniudhi ni kitendo cha Israel kuruhusu mashoga kufanya matamasha na shughuli za kuhamasisha ushoga na maandamano ya mashoga katika mji huu
Hili jambo linakera na linachefua sana, hili ni jambo ovu sana na linaloumiza akili kwanini wamefikia huku?
Hili ndilo taifa teule baadhi ya watu wanaliombeaga??View attachment 2793686View attachment 2793687
Bupa kuna uzi nimeandika kuhusu hicho unachosema mkuu.
Wameingia pamoja na askari wa marekani,wamedundwa,casualties za kutosha,wanerudi,haya ni maelezo ya general wa marekani kule Twitter/xWanatumia akili hawa, wanapiga kikomando kwa sasa kabla kufanya uvamizi full
IDF stages overnight 'targeted raid' into Gaza Strip
Military says it struck Hamas sites, operatives in hours-long ‘targeted raid’ before returning infantry to Israeli side of border, as larger ground assault awaits
The Israel Defense Forces deployed a limited ground incursion into Gaza overnight, sending infantry forces and tanks up to a kilometer into the northern part of the Strip, the military said Thursday morning.
The “targeted raid” appeared to be the most significant ground offensive into the Palestinian enclave since war broke out earlier this month, as the IDF prepares a full-scale invasion to eliminate the Hamas terror group that rules the Strip.
According to the IDF, the raid — led by the Givati infantry brigade and the 162nd Armored Division — was part of preparing the border area for the “next stages of the war,” referring to the full ground offensive promised by Israeli officials.
![]()
IDF tanks, troops push into Gaza in limited raid ahead of ground offensive - The Times of Israel
Military says it struck Hamas sites, operatives in hours-long 'targeted raid' before returning infantry to Israeli side of border, as larger ground assault awaitswww.timesofisrael.com
Erdogan asema nchi za Magharibi hupuuza sheria kwa sababu 'damu ya Waislamu inapomwagika'
Jana, Erdogan alighairi safari ya Israel na kusema kuwa anajutia kusalimiana kwa mkono na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York mwezi uliopita.
Hamna lolote hizo ni kelele tu, toka lini hao wanaojita Israel wakawa wakusema ukweli.
Kwanza nashangaa vipi waliruhusiwa kutumia jina la Mtume liwe inchi, wana lana kweli hawa, kutumia jina la Mtume ambaye hakuwahi kuasi wakaenda itwa hao walio laniwa jina lake.