LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ukitoa air supreme defence ,hawajamaa ni weupe hasa ,mimi nauliza amedakwa mwenyewe au ni group wise
 
Ww ungeuliza tu huko wamefuata nini kama ya kuwalum hao hamas
 
Wanapigana na jeshi lipi?Hilo jeshi lina silaha zipi za maana?Hilo jeshi ni namba ngapi duniani kinguvu?Umetumia nini kuwaza hata uwalinganishe wanamgambo wa Hamasi wasiokuwa na hata kifaru kimoja na jeshi kamili la nchi ya Ukraine?.
 
Kashasahau kusema alwaa akbar............kabaki........mdududuud maududududd bija bija
 
Ebu tupe pia taarifa yake kuhusu shambulio walilofanya magaidi ya hamas kwa Israel, Korea ya kaskazini walisema je?

Na kama hawakusema kitu basi watulie hivyo hivyo wakati Israel ikiwashughulikia panya road wa kiarabu huko Gaza.

Misri wamekaa kwa kutulia Iran wamekaa kwa kutulia, Jordani wamekaa kwa kutulia, saudi Arabia wamekaa kwa kutulia, na mashariki ya kati imekaa kwa kutulia.
wakati huu ambao Israel anawashughuliki ipasavyo magaidi.
 
Kiduku hajafahamu hilo
 
kama wao wana weza wachukue hatua basi hizi mambo za kubwata bwata wataishia kama Iran wazee wa Mipasho
 
Kwa nin wasimwage petrol humo kwenye mashimo wakachoma moto....

Hao hamas kama panyaaa dawa yao motoo wa petrol.....
Sina uhakika kama moto unaruhusiwa kutumiwa na jeshi juunguza Askari wanaopigana nao
 
Maumivu haya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Israel kaweka records kawauwa watoto 3300 na wanawake 1756 na wengine wanaume ambao hawana hata silaha, hatujawahi kuona kwenye hayo majumba silaha.

Kumbe ukitaka kuwa Super power uvunje majumba nakuwauwa watoto wengi na wanawake na vizee 😂
Umeona hao watoto na wanawake?
Unataka kusema nini kwamba Gaza wanaoishi pale ni wanawake na watoto tu.
Acheni kuomba huruma ya Dunia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…