LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Pole sana
 
Wengine wamejaa huko kwa Midjourney, Bing wakitengeneza mapicha kwenye AI kisa propaganda ili waonewe huruma.

Mfano Palestine eti wao kila siku watoto ndiyo wanauliwa tu daaaπŸ˜„, yaani mabonu ya Israel yanatafuta watoto tu as ile risasi iliyopigwa pale kinondoni ikamuua Akwirina
.
 
Pole sana
 
Pole sana
 
Pole sana
 
Viongozi wa Hamas katikati ya kubanwa mbavu na Israel imekuja na tamko la kiume kwamba hakuma mateka watakaoendelea kuachiwa huru bila kusitishwa kwa vita vinavyoendelea.

Maelezo hayo yametolewa na wajumbe wa kundi la Hamas waliokwenda Urusi kukutana na rasi Putin wa nchi hiyo.

Uamuzi huo unaweza ukaongeza ugumu kwa vikosi vya IDF ambavyo vimekuwa vikiingia pembezoni mwa mjini hujo wa Gaza.

Kauli hiyo inaweza kuwa ni matokeo ya msimamo mkali wa Israel kwamba hata mateka wote wakiachiwa bado watawawinda Hamas wote ili wawamalize na pia haitasaidia kupelekwa kwa misaada kwa jimbo hilo.
 
Bado ujajibu swali lolote hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…