bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Pole sanaHahaa kwan mlipochokozwa waisrael mliomba na aina ya vita ya kupigana ? mshaabza changanyikiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaHahaa kwan mlipochokozwa waisrael mliomba na aina ya vita ya kupigana ? mshaabza changanyikiwa?
Pole sanaHawa jamaa akili zao kama zipo sawa. Nadhani aliyesema maandishi yaanzie kushoto kwenda kulia alikuwa sawa. Sasa akaibuka mtu baadaye akapindua Kila kitu. Maandishi yake yakatoka kulia kwenda kushoto. Maandiko aliyoyakuta kabadilisha badilisha ona Sasa na wafuasi wake akili zao zimepinduka ant clockwise
Pole sanahoja yako ni ipi? usitie huruma asee
Pole sanamtume anapendaj nyapu za bure , huyo mtume anatofaut gan na Sele?
Wengine wamejaa huko kwa Midjourney, Bing wakitengeneza mapicha kwenye AI kisa propaganda ili waonewe huruma.Hao wamepakwa makeup.... Siku izi Kila kitu propaganda tu, media zimejaa upoteshaji... Israel anapiga propaganda kuleta picha za kuhuzunisha, palestina nae anafanya Ivo ivo....
Japokua maafa yapo ila propaganda zimezidi
#i don't condemn what's happening between Israel&palestina
Pole sanaHao magaidi wa Hamas kwa nini wanajificha na kuachia wananchi wao kuangamizwa namna hiyo, kwa nini wasiondoke kwenye mashimo waende wawafuate waisrael wanaoua wananchi wao kwa nini wanaogopa hivyo wakati mabikra 72 wapo au waga ni uongo..!![emoji23][emoji23]
Na wewe pia unastahiki upewe polePole wape palestina kule
Pole sanaHizo pole kawape palestina kule wanapelekewa moto sio poa
Pole sanaPunguza makasiriko. Acha waarabu wale dozi akili iwakae sawa.
Paedophile...???😂😂😂Muddy(56) mme wa Bi. Aisha(9)
Maana yake nini mkuu?Paedophile...???😂😂😂
Aiseeee, jamaa ni Mwarabu wa Itigi huyo anatetea waarabu wenzake.Punguza makasiriko. Acha waarabu wale dozi akili iwakae sawa.
Pole sanaKwenye kijijini chenu, mdogo wako na vijana wengine wameenda kuvamia kijijini cha jirani, wameua na kuwachukua mateka na kuwaleta kwenye kijijini chenu.
Unafikiri, wewe hapo kwenye kijiji chenu mtakuwa salama kuanzia mtoto wako, baba yako, mke wako, mama yako, ndugu zako, marafiki zako na majirani zako?
Unaanzishaje vita ambayo huiwezi?
Pole sanaHapana wanaokufa ni magaidi.
Pole sanaWengine wamejaa huko kwa Midjourney, Bing wakitengeneza mapicha kwenye AI kisa propaganda ili waonewe huruma.
Mfano Palestine eti wao kila siku watoto ndiyo wanauliwa tu daaa[emoji1], yaani mabonu ya Israel yanatafuta watoto tu as ile risasi iliyopigwa pale kinondoni ikamuua Akwirina.
Bado ujajibu swali lolote hapo.Magaidi ya dini yenu sio wanamgambo wa kawaida, huwa yanasumbua hata jeshi bora duniani, maana yameaminishwa kufa yakawahi mabikira, hivyo lazima utumie jinsi ya kuwaua bila wewe kufia humo, kumbuka hata Putin mnayemshabikia leo kuna kipindi alihangaika sana kuyaua.