LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hawa jamaa akili zao kama zipo sawa. Nadhani aliyesema maandishi yaanzie kushoto kwenda kulia alikuwa sawa. Sasa akaibuka mtu baadaye akapindua Kila kitu. Maandishi yake yakatoka kulia kwenda kushoto. Maandiko aliyoyakuta kabadilisha badilisha ona Sasa na wafuasi wake akili zao zimepinduka ant clockwise
Pole sana
 
Hao wamepakwa makeup.... Siku izi Kila kitu propaganda tu, media zimejaa upoteshaji... Israel anapiga propaganda kuleta picha za kuhuzunisha, palestina nae anafanya Ivo ivo....

Japokua maafa yapo ila propaganda zimezidi

#i don't condemn what's happening between Israel&palestina
Wengine wamejaa huko kwa Midjourney, Bing wakitengeneza mapicha kwenye AI kisa propaganda ili waonewe huruma.

Mfano Palestine eti wao kila siku watoto ndiyo wanauliwa tu daaa😄, yaani mabonu ya Israel yanatafuta watoto tu as ile risasi iliyopigwa pale kinondoni ikamuua Akwirina
.
 
Hao magaidi wa Hamas kwa nini wanajificha na kuachia wananchi wao kuangamizwa namna hiyo, kwa nini wasiondoke kwenye mashimo waende wawafuate waisrael wanaoua wananchi wao kwa nini wanaogopa hivyo wakati mabikra 72 wapo au waga ni uongo..!![emoji23][emoji23]
Pole sana
 
Kwenye kijijini chenu, mdogo wako na vijana wengine wameenda kuvamia kijijini cha jirani, wameua na kuwachukua mateka na kuwaleta kwenye kijijini chenu.
Unafikiri, wewe hapo kwenye kijiji chenu mtakuwa salama kuanzia mtoto wako, baba yako, mke wako, mama yako, ndugu zako, marafiki zako na majirani zako?
Unaanzishaje vita ambayo huiwezi?
Pole sana
 
Wengine wamejaa huko kwa Midjourney, Bing wakitengeneza mapicha kwenye AI kisa propaganda ili waonewe huruma.

Mfano Palestine eti wao kila siku watoto ndiyo wanauliwa tu daaa[emoji1], yaani mabonu ya Israel yanatafuta watoto tu as ile risasi iliyopigwa pale kinondoni ikamuua Akwirina
.
Pole sana
 
Viongozi wa Hamas katikati ya kubanwa mbavu na Israel imekuja na tamko la kiume kwamba hakuma mateka watakaoendelea kuachiwa huru bila kusitishwa kwa vita vinavyoendelea.

Maelezo hayo yametolewa na wajumbe wa kundi la Hamas waliokwenda Urusi kukutana na rasi Putin wa nchi hiyo.

Uamuzi huo unaweza ukaongeza ugumu kwa vikosi vya IDF ambavyo vimekuwa vikiingia pembezoni mwa mjini hujo wa Gaza.

Kauli hiyo inaweza kuwa ni matokeo ya msimamo mkali wa Israel kwamba hata mateka wote wakiachiwa bado watawawinda Hamas wote ili wawamalize na pia haitasaidia kupelekwa kwa misaada kwa jimbo hilo.
 
Magaidi ya dini yenu sio wanamgambo wa kawaida, huwa yanasumbua hata jeshi bora duniani, maana yameaminishwa kufa yakawahi mabikira, hivyo lazima utumie jinsi ya kuwaua bila wewe kufia humo, kumbuka hata Putin mnayemshabikia leo kuna kipindi alihangaika sana kuyaua.
Bado ujajibu swali lolote hapo.
 
Back
Top Bottom