LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mkuu hao walitekwa lini?
 
Uvamizi wa Israel umefeli jana usiku

Taarifa za uhakika confirmed ni kuwa Vifaru vingi vya wanajeshi wa Israel vimeharibiwa

Idadi ya wanajeshi waliouawa wa Israel ni wengi sana na jana helcopter zao zilikua na kazi ngumu ya kubeba majeruhi na maiti

Kingine ni kuwa ukiachana na rocket za hamas kuna kombora moja zito jana lilirushwa mji mkuu wa Telaviv na kufanikiwa kuleta mlipuko mkubwa sana, inadaiwa sio chini ya watu 25 walikufa papo hapo lakini Israel iliwakataza raia na vyombo vya habari kupiga picha even kuripoti majeruhi au vifo

Pia jana kuna kikosi kingine Cha Delta kiliingia Gaza taarifa kutoka kw Hamas ni kuwa wanawashikilia mateka wanajeshi wengine kadhaa wa Israel na Marekani waliowakamata jana.

Vyombo vingi vya habari vya Israel vimekiri kushindwa kwa hyo operesheni ya jana usiku, lakini Hamas wanaamini kuwa Israeli haijakataa tamaa bado watajipanga Upya wavamie Gaza

Pia habari nyingine ni kuwa Israel walikata mawasiliano Gaza yote ya Intanet lakini taarifa njema ni kuwa Kampuni ya Vodafone ya Misri leo watafunga mitambo ya mawasiliano mpakani na Gaza ili walau kurudisha baadhi ya mawasiliano ya Intanet huko Gaza

Walla News:

A senior official from the Israeli Army announced that Hamas has electronic warfare systems that disrupts the Iron Dome.
 
Baada ya kupata kipigo kikali hatimaye Wanamgambo wa Israel wamejiondoa Gaza kwa aibu wamepata hasara ya watu na vifaa

[emoji1134][emoji1193] BREAKING: Israeli troops have WITHDRAWN from Gaza in their first major incursion after some skirmishing.
 
Wasabato bana
 
A senior official from the Israeli Army announced that Hamas has electronic warfare systems that disrupts the Iron Dome.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa Iron dome na ground invasion gaza umeziconnect vipi
 
Sipendi kabisa uharibifu unaofanywa na Israel na sikupenda uharibifu wa HAMAS.
Misri wakiweka mitambo ya Vodafone Israel wata jam mitambo. Hilo Israel wanaliweza kwa 100%>
 
A senior official from the Israeli Army announced that Hamas has electronic warfare systems that disrupts the Iron Dome.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa Iron dome na ground invasion gaza umeziconnect vipi
Haya sasa. Wavaa kobazi wabadili mbinu. Wamevaa buti nzito
 
Ndio maana wamezima Internet ili tusione maiti za wanajeshi wake ila wanajidanganya tutajua tu hata wafanyeje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…