LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
1698467655060.png

Kipogo hicho unambiwa vifaru vinaungua kama watu wanacheza play station na bado
 
Humu tuliambiwa na wachambuzi wa kiarabu kuwa israel inaogopa ground battle kwa sababu hawapo vizuri sasa israel imepeleka jeshi la ardhini mjeni hapa
 
Hata baada ya azimio la umoja wa mataifa kutaka Israel isiendeleze mashambulizi ili kutoa nafasi ya majadiliano na kuingia misaada,jeshi la IDF kwa mashinikizo kutoka wanasiasa wa nchi hiyo limeona liingie Gaza kikamilifu.

Mashambulizi yanayoendelea ni makali sana kwa kutumia aina zote za silaha ilizonazo jeshi hilo.IDF ni moja ya majeshi makali na yenye mafunzo

Kwa upande wao Hamas ambao wamekatiwa chakula,maji na nishati ikiwemo mawasiliano, leo wametangaza wameanza kurudisha mapigo huko kaskazini ya Gaza IDF walikoingilia wazima wazima.
Jeshi la ardhini na mashambulizi makali kuanzia jana ni kwasababu makubaliano ya kurudisha mateka wa israel kukwama Qatar
 
Humu tuliambiwa na wachambuzi wa kiarabu kuwa israel inaogopa ground battle kwa sababu hawapo vizuri sasa israel imepeleka jeshi la ardhini mjeni hapa
Israel haijaingia gaza kikamilifu.
 
Israel hatujapiga hospital. Hamas Wamejipiga.
Leo makao makuu ya Hamas yako chini ya hospital huko gaza.
Sasa hamas walilipua makao makuu yao.

Tofauti na vita vya Urusi. Vita hii tegem3eni kujadili uongo na taarifa potoshi. Hii ndio sababu internet na mawasiliano yamezimwa ili wajipigie popote wanapotaka bila mtu kurusha habari zao.
 
- [emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]many zio and u s special forces dead and injured.
Statement from Hamas Leader Ali Baraka:

"Bleeding for the people of the Arab nation.

The failure of the ground attack launched by the occupation forces on the Gaza Strip through three fronts, and there are heavy losses among the enemy’s ranks in terms of soldiers and equipment.

The enemy fell into ambushes prepared by the Palestinian resistance on a number of fronts, and since the beginning of the battle there have been defensive plans against any attempt.

Kornet missiles and Yassin missiles were used to repel the attack, and we expect the enemy to try again.

The Israeli occupation used helicopters to evacuate the wounded and dead from the battlefield."
IMG_20231028_090010.jpg
 
Mhariri wa gazeti la Rai al Yaum amesema kuwa kinyume na dhana ya viongozi wa utawala ghasibu unaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu, wanamapambano huko Ukanda wa Ghaza wameugeuza mwenendo wa historia kwa utawala huo.

Wanamapambano wa Palestina tarehe 15 mwezi Mehr kwa mujibu wa kalenda ya Iran iliyosadifiana na Oktoba 7 ,2023 walianzisha oparesheni ya kushtukiza kwa jina la "Kimbunga cha Al Aqsa" kuanzia Ghaza (Kusini mwa Palestina) dhidi ya ngome na kambi za Tel Aviv; ambapo utawala wa Kizayuni sasa umefunga vivuko vyote vya Ukanda wa Ghaza huku ukiendelea kushambulia eneo hilo ili kulipiza kisasi na kufidia kipigo ilichopata na eti ili kusitisha oparesheni hiyo ya wanamuqawama wa Palestina.
 
BREAKING: Hamas official claims Israeli 'enemy troops were ambushed' which caused 'heavy losses in soldiers and equipment'.
 
Kuna theory ya Thesis + antithesis =Synthesis.
Ukiona US na Russia wanapingana usifikiri ni kweli. Kimsingi pande zote unazoona zinapingana duniani wote ni wamoja na wanajuana. Sisi tunaoshabikia pande wanautuita vifaa pofu (blind instruments).

Kitakachotokea. Vita vitamalizwa kwa Papa na Vatican kuhamia middle east na kuwa mpatanishi wa kudumu. Middle east ndio katikati ya dunia. Pande zote hasimu duniani zitaunga mkono na kuungana na kuwa kitu kimoja kwa muda mfupi kwa kuweka order mpya duniani.
Hii itakuwa dakika chache kabla ule mwisho haujaja.

Kwa sasa ichukulie kama tetesi, ila usiipuuze.

Ni hayo tu...
 
- [emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]many zio and u s special forces dead and injured.
Statement from Hamas Leader Ali Baraka:

"Bleeding for the people of the Arab nation.

The failure of the ground attack launched by the occupation forces on the Gaza Strip through three fronts, and there are heavy losses among the enemy’s ranks in terms of soldiers and equipment.

The enemy fell into ambushes prepared by the Palestinian resistance on a number of fronts, and since the beginning of the battle there have been defensive plans against any attempt.

Kornet missiles and Yassin missiles were used to repel the attack, and we expect the enemy to try again.

The Israeli occupation used helicopters to evacuate the wounded and dead from the battlefield."View attachment 2795416
Mbona hawana Sura😂😂😂.

Msijipe Matumaini, only way ya vita kuisha ni Wapalestina kulia sana na kufa wengi, sio vita kwa vita
 
hiyo ni kawaida kwenye vita, hamas pia wametrain vizuri sana kupigana nao kwahiyo ukiona madhara kwa israel jua ndio matokeo ya vita, it is expected to be like that. wala usishangae.
 
Back
Top Bottom