Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source ni BBCSource: Aljazeera ya Buza
Mbona sioni damu hapo?View attachment 2795286
Kipogo hicho unambiwa vifaru vinaungua kama watu wanacheza play station na bado
.Israel ndio dawa ya magaidi.
Jeshi la ardhini na mashambulizi makali kuanzia jana ni kwasababu makubaliano ya kurudisha mateka wa israel kukwama QatarHata baada ya azimio la umoja wa mataifa kutaka Israel isiendeleze mashambulizi ili kutoa nafasi ya majadiliano na kuingia misaada,jeshi la IDF kwa mashinikizo kutoka wanasiasa wa nchi hiyo limeona liingie Gaza kikamilifu.
Mashambulizi yanayoendelea ni makali sana kwa kutumia aina zote za silaha ilizonazo jeshi hilo.IDF ni moja ya majeshi makali na yenye mafunzo
Kwa upande wao Hamas ambao wamekatiwa chakula,maji na nishati ikiwemo mawasiliano, leo wametangaza wameanza kurudisha mapigo huko kaskazini ya Gaza IDF walikoingilia wazima wazima.
Israel haijaingia gaza kikamilifu.Humu tuliambiwa na wachambuzi wa kiarabu kuwa israel inaogopa ground battle kwa sababu hawapo vizuri sasa israel imepeleka jeshi la ardhini mjeni hapa
Mbona hawana Sura😂😂😂.- [emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]many zio and u s special forces dead and injured.
Statement from Hamas Leader Ali Baraka:
"Bleeding for the people of the Arab nation.
The failure of the ground attack launched by the occupation forces on the Gaza Strip through three fronts, and there are heavy losses among the enemy’s ranks in terms of soldiers and equipment.
The enemy fell into ambushes prepared by the Palestinian resistance on a number of fronts, and since the beginning of the battle there have been defensive plans against any attempt.
Kornet missiles and Yassin missiles were used to repel the attack, and we expect the enemy to try again.
The Israeli occupation used helicopters to evacuate the wounded and dead from the battlefield."View attachment 2795416