jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Pope aliyeruhusu LGBTQ?
Kanisa ni moyo wako mkuu hayo majengo achana nayo soma ufunuo vizuri.
Wapi pope aliruhusu ushoga?Yesu alikula na kunywa na wizi na makahaba pia je aliruhusu hizo dhambi?
Pope alisema wakaribishwe wasitengwe,je njia ya kuwakomboa wadhambi ni kuwatenga na kuwa funga jela na kuwauwa,nadhani hukumwelewa vyema nini pope alimaanisha.
Kuhusu ant christ pope muondoe weka waislamu na uislamu ndio antichrist ambao wako radhi kuua na kuangamiza mkristo yoyote na wanadai kristo sio Mwana wa Mungu.
Jitahidi uone acha upofu wa kidini na kifikra.
Vichwa Saba Vya Mnyama Wa Kwenye Ufunuo 13 Na 17, Ni Nini?
Tukisoma kitabu cha Ufunuo ni kweli tunamwona mnyama aliyetajwa mwenye vichwa saba na pembe kumi..Tofauti na idhaniwavyo na wengi kwamba zile pembe kumi zimejigawanya kwenye vichwa vyote 7..na kwamba kuna vichwa vingine labda vitakuwa vimepata pembe mbili mbili au zaidi…Lakini ukweli ni kwamba ni kichwa kimoja tu ndicho kilichokuwa na pembe zote 10..Hivyo vingine havikuwa na pembe yoyote.
Na kama ukitafakari kwa makini kwa msaada wa Roho utagundua kuwa vile vichwa saba ni Wanyama saba katika mwili mmoja na sio tu vichwa kama vichwa vilivyojiotea kwenye mwili mmoja…bali ni Wanyama saba tofauti wanaoshiriki mwili mmoja (yaani wana-share mwili mmoja)..
Ufunuo 17: 11 “Na yule mnyama aliyekuwako naye hayuko, yeye ndiye wa nane, naye ni mmoja wa wale saba, naye aenenda kwenye uharibifu”.
Sasa hiyo imekaaje kaaje?..Inawezekana Wanyama Zaidi ya mmoja kushiriki mwili mmoja?..
Hiyo inawezekana asilimia 100..wapo ng’ombe mapacha wanaozaliwa wakiwa na mwili mmoja lakini vichwa viwili tofauti, kadhalika wapo nyoka wanaozaliwa hata watatu au wanne wakiwa na wanashea mwili mmoja…Na Zaidi ya yote wapo pia wanadamu ambao wanaozaliwa wakiwa wameungana…Kuna mapacha wanaoishi leo duniani ambao wameungana kila kitu isipokuwa kichwa tu…yaani ukikutana nao unaweza kusema umekutana na mtu mmoja mwenye vichwa viwili lakini kumbe ni watu wawili waliozaliwa wameungana wanaoshea mwili mmoja..Na watu hao walioungana kila mmoja anatafakari kivyake na ana malengo yake na mipango yake, na matamanio yake.
Na katika tukio hilo la Ufunuo ni vivyo hivyo..Biblia imemtaja mnyama huyo kuwa mwenye vichwa saba..Lakini kiuhalisia ni Wanyama saba tofauti wenye mwili mmoja…Na kila mnyama (yaani kichwa kina mambo yake)…Na pia ni mnyama mmoja tu kati ya hao wote mwenye pembe kumi (yaani ni kichwa kimoja tu chenye pembe hizo kumi).
Sasa hao Wanyama saba au vichwa saba ni nini?
Biblia inasema ni wafalme saba..
Ufunuo 17:9 “Hapo ndipo penye akili zenye hekima. Vile vichwa saba ni milima saba anayokalia mwanamke huyo 10 Navyo ni wafalme saba. Watano wamekwisha kuanguka, na mmoja yupo, na mwingine hajaja bado. Naye atakapokuja imempasa kukaa muda mchache. ”
Falme hizo kama zinavyojidhihirisha katika taifa la Mungu kwenye biblia ni MISRI, ASHURU, BABELI, UMEDI & UAJEMI, UYUNANI, RUMI YA KIPAGANI na RUMI YA KIDINI..Hizi ndizo falme hizo saba au Wanyama hao 7..Falme hizi ni Mataifa aliyotumia shetani kuutesa uzao wa Mungu kwa ujumla wake…
Mataifa Matano ya kwanza yaliwatesa wana wa Israeli peke yao, wakiwa Misri, na mengine baada ya kuchukuliwa tena mateka babeli..lakini haya mawili ya mwisho yaliwatesa wana wa Israeli pamoja na Kanisa la Kristo…Na hicho kichwa ndicho cha mwisho na ndiye mnyama wa 7 ambaye ni RUMI YA KIDINI,.. nacho ndicho chenye pembe zote saba.. mnyama huyu ndiye ambaye yupo sasa na anazidi kuongezeka nguvu siku baada ya siku,.atakapofikia kilele chake atazitumia pembe zake 10 ambayo ni mataifa yanayounda umoja wa ulaya (EU) kuhimiza ile chapa ya mnyama. Kwasasaba umoja huo una wanachama Zaidi ya 10..
Lakini unabii unaonyesha yatakuja kubakia 10 tu yenye nguvu kwenye umoja huo. Na Kwa pamoja yatashirikiana na mnyama huyo, (Rumi ya kidini Iliyopo chini ya kiongozi wa kanisa katoliki ,Papa) kuishawishi dunia kuendesha zoezi la kuwatia watu chapa. Kwa kipindi kifupi sana kisichozidi miaka mitatu na nusu, Chapa itakuwa imeshawafikia watu wote duniani…Watakaoikataa watakamatwa na kupelekwa kwenye kambi maalumu za mateso…
Wakati huo unyakuo utakuwa umeshapita…Watakatifu wameondolewa duniani,.kuepushwa na ghadhabu ya Mungu na majaribu ya mpinga-kristo.
MKUU DUNIA IPO MWISHONI MWENYE MASIKIO NA ASIKIE, YALIYOTABIRIWA NDO YANATOKEA KWASASA.
Yesu alikuwa anawafundisha wasikie neno waache dhambi zao lakini pope hajakemea dhambi hiyo bali anaikumbatia ndani ya kanisa ndio maana mapadre na maaskofu wengi wa kikatoliki wamekutwa na kashfa nyingi za ulawiti wa vijana wadogo tofautisha vizuri utume wa Yesu na kile anachofanya pope.Wapi pope aliruhusu ushoga?Yesu alikula na kunywa na wizi na makahaba pia je aliruhusu hizo dhambi?
Pope alisema wakaribishwe wasitengwe,je njia ya kuwakomboa wadhambi ni kuwatenga na kuwa funga jela na kuwauwa,nadhani hukumwelewa vyema nini pope alimaanisha.
Kuhusu ant christ pope muondoe weka waislamu na uislamu ndio antichrist ambao wako radhi kuua na kuangamiza mkristo yoyote na wanadai kristo sio Mwana wa Mungu.
Jitahidi uone acha upofu wa kidini na kifikra.
Biblia imekataza homosexuality kitendo cha kuwaruhusu ni dhambi ukizingati kanisani ni sehemu takatifu
View attachment 2795669
Histori za kubumba,uongo mtupu na propaganda za kijinga,tumia akili uone vzr sio huo upuuzi uliolishwa. Dunia zimepita falme nyingi tu hata baada ya rumi ya kidini jielimishe.
Hakuna chapa ya myama ni ujinga na upuuzi mmejazwa vichwani kuwatia hofu ili muendelee kuwa waumini na kuliacha kanisa la kweli roma.
Wapi biblia iliruhusu ukahaba,mbona yesu alikula na kunywa na makahaba,tangu lini unaidogosha dhambi wakati maandiko yanasema aliuekosa katika moja kakosa katika zote.
Yesu alikuwa anawafundisha wasikie neno waache dhambi zao lakini pope hajakemea dhambi hiyo bali anaikumbatia ndani ya kanisa ndio maana mapadre na maaskofu wengi wa kikatoliki wamekutwa na kashfa nyingi za ulawiti wa vijana wadogo tofautisha vizuri utume wa Yesu na kile anachofanya pope.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata yesu wakati anahubiri sio kila mtu alikuwa anaamini neno lake, wewe amini unavyoamini lakini “Mwana wa Adamu anarudi kulinyakua kanisa lake.”
Tujiweke tayari yanaoendelea pale Gaza ndo njia ya kumpokea Anti-Christ na Dunia ipo mwishoni.
Umeona niliko highlight?? Bible imekataza mwanaume kulala na mwanaume mwenzio au hujapaona hapo?
Siyo ubabe,aibu...kwanza Hamas wameingia ndani wameua na kuteka,pili Gaza hakuingiliki,huwezi toka ukikumbuka propaganda zote zile za taifa teule nk,ni heri uendelee tu uone yataishia wapiHii vita iishe tu maana tunapoelekea kunaweza kutokea vita ya 3 ya dunia, Israel wamegoma kabisa kuisitisha hawa jamaa ni wababe sijawahi ona [emoji1373]
Biblia imekataza dhambi nyingi sana mbona wewe umeiona hiyo tu?
Biblia imekataza dhambi nyingi sana mbona wewe umeiona hiyo tu?
Sasa braza mpinga Kristo ataipaje heshima kanisa?Mkuu jibu hoja yangu sio kuleta propaganda,papa ndio msimamizi na kiongozi wa ustawi wa ukristo ulimwenguni hakuna kanisa ama dhehebu la kikristo ambalo halijatokana na Roma,bila roma kuukubali na kuupokea ukristo na kupambana kuulinda ukristo sidhani kama wewe leo hii ungekua mkristo,licha ya mapungufu yake lipe heshima yake hili kanisa.
Sasa braza mpinga Kristo ataipaje heshima kanisa?Mkuu jibu hoja yangu sio kuleta propaganda,papa ndio msimamizi na kiongozi wa ustawi wa ukristo ulimwenguni hakuna kanisa ama dhehebu la kikristo ambalo halijatokana na Roma,bila roma kuukubali na kuupokea ukristo na kupambana kuulinda ukristo sidhani kama wewe leo hii ungekua mkristo,licha ya mapungufu yake lipe heshima yake hili kanisa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣wewe ndio hujitambuhi braza, wala hakuna unachokielewa hapa, kaa kwa kutulia okIsrael hatujapiga hospital. Hamas Wamejipiga.
Leo makao makuu ya Hamas yako chini ya hospital huko gaza.
Sasa hamas walilipua makao makuu yao.
Tofauti na vita vya Urusi. Vita hii tegem3eni kujadili uongo na taarifa potoshi. Hii ndio sababu internet na mawasiliano yamezimwa ili wajipigie popote wanapotaka bila mtu kurusha habari zao.
Sasa braza mpinga Kristo ataipaje heshima kanisa?
Amelewa huyo[emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hezbollah ni mayai viza tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hezbollah writes on social networks: “We are ready”View attachment 2795429