LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
na wakati hamas wakiua wanawake, watoto, wazee, wa israel na watu wa mataifa mengine na wakiteka nyara wasio waisrael ile haikuwa collective punishment?
Braza wasamehe wamechanganyikiwa jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndio maana wamezima Internet ili tusione maiti za wanajeshi wake ila wanajidanganya tutajua tu hata wafanyeje.
Hamas's commanders killed during last night IDS offensive in Gaza.

Asem Abu Rataba- Chief commender in charge of Aerial forces
Ratab Abu Tshaiban -Marinetime commender.
 
Hamas's commanders killed during last night IDS offensive in Gaza.

Asem Abu Rataba- Chief commender in charge of Aerial forces
Ratab Abu Tshaiban -Marinetime commender.
Gaza wanakufa ka kuku wanaoumwa mdondo yaan wanaanguka duble. duble dah vita mbaya sana
 
1698492264766.png
 
Israel si afanye zile covert operation mission zake kama za Entebbe 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hii issue ni bora waombe mazungumzo, IDF haitoweza kuchukua hao mateka.

Israel wanapata hasara kupoteza askari lakini hawasemi, 2006 serikali ya Israel ilitoa onyo kali sana juu ya waandishi kutoa taarifa za vifo na majeruhi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣wewe ndio hujitambuhi braza, wala hakuna unachokielewa hapa, kaa kwa kutulia ok
Akili za kizayuni. Bora uwe kama sisi Waisrael wa kiroho. Hao watakuvuruga akili wala hawahitaji mtu awatetee au ajiunge nao. Hahaha
 
A senior official from the Israeli Army announced that Hamas has electronic warfare systems that disrupts the Iron Dome.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa Iron dome na ground invasion gaza umeziconnect vipi
[emoji3][emoji3][emoji3] swali zuri sana.Nasubiri jibu pia
 
na wakati hamas wakiua wanawake, watoto, wazee, wa israel na watu wa mataifa mengine na wakiteka nyara wasio waisrael ile haikuwa collective punishment?
Kile kikundi hakiwakilishi Wapalestina wote.
 
Lakini ni kweli jana kilikuwa na mapigano makali ya ardhini huko kaskazini mwa gaza lakini matokeo ya mapigano hayo imekuwa ngumu kuipata kwasababu Israel imezima Internet hata hivyo kuna baadhi ya video zinazo onesha wanajeshi wa Israel wakiwa wamejeruhiwa vibaya.
Na video za HAMAS wakiwa wamejeruhiwa hizo huna?
 
Israel si afanye zile covert operation mission zake kama za Entebbe 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hii issue ni bora waombe mazungumzo, IDF haitoweza kuchukua hao mateka.

Israel wanapata hasara kupoteza askari lakini hawasemi, 2006 serikali ya Israel ilitoa onyo kali sana juu ya waandishi kutoa taarifa za vifo na majeruhi.

Israel-Palestine war LIVE: IDF expands ground operations in 'rolling start' to Gaza invasion, 150 underground bases are hit and 'two Hamas commanders killed' in night of carnage​

 

Israel-Palestine war LIVE: IDF expands ground operations in 'rolling start' to Gaza invasion, 150 underground bases are hit and 'two Hamas commanders killed' in night of carnage​

Hamas underlined that its forces in Gaza were ready to confront Israeli attacks with "full force"
 
Vichwa Saba Vya Mnyama Wa Kwenye Ufunuo 13 Na 17, Ni Nini?

Tukisoma kitabu cha Ufunuo ni kweli tunamwona mnyama aliyetajwa mwenye vichwa saba na pembe kumi..Tofauti na idhaniwavyo na wengi kwamba zile pembe kumi zimejigawanya kwenye vichwa vyote 7..na kwamba kuna vichwa vingine labda vitakuwa vimepata pembe mbili mbili au zaidi…Lakini ukweli ni kwamba ni kichwa kimoja tu ndicho kilichokuwa na pembe zote 10..Hivyo vingine havikuwa na pembe yoyote.

Na kama ukitafakari kwa makini kwa msaada wa Roho utagundua kuwa vile vichwa saba ni Wanyama saba katika mwili mmoja na sio tu vichwa kama vichwa vilivyojiotea kwenye mwili mmoja…bali ni Wanyama saba tofauti wanaoshiriki mwili mmoja (yaani wana-share mwili mmoja)..

Ufunuo 17: 11 “Na yule mnyama aliyekuwako naye hayuko, yeye ndiye wa nane, naye ni mmoja wa wale saba, naye aenenda kwenye uharibifu”.

Sasa hiyo imekaaje kaaje?..Inawezekana Wanyama Zaidi ya mmoja kushiriki mwili mmoja?..


Hiyo inawezekana asilimia 100..wapo ng’ombe mapacha wanaozaliwa wakiwa na mwili mmoja lakini vichwa viwili tofauti, kadhalika wapo nyoka wanaozaliwa hata watatu au wanne wakiwa na wanashea mwili mmoja…Na Zaidi ya yote wapo pia wanadamu ambao wanaozaliwa wakiwa wameungana…Kuna mapacha wanaoishi leo duniani ambao wameungana kila kitu isipokuwa kichwa tu…yaani ukikutana nao unaweza kusema umekutana na mtu mmoja mwenye vichwa viwili lakini kumbe ni watu wawili waliozaliwa wameungana wanaoshea mwili mmoja..Na watu hao walioungana kila mmoja anatafakari kivyake na ana malengo yake na mipango yake, na matamanio yake.

Na katika tukio hilo la Ufunuo ni vivyo hivyo..Biblia imemtaja mnyama huyo kuwa mwenye vichwa saba..Lakini kiuhalisia ni Wanyama saba tofauti wenye mwili mmoja…Na kila mnyama (yaani kichwa kina mambo yake)…Na pia ni mnyama mmoja tu kati ya hao wote mwenye pembe kumi (yaani ni kichwa kimoja tu chenye pembe hizo kumi).

Sasa hao Wanyama saba au vichwa saba ni nini?

Biblia inasema ni wafalme saba..
Ufunuo 17:9 “Hapo ndipo penye akili zenye hekima. Vile vichwa saba ni milima saba anayokalia mwanamke huyo 10 Navyo ni wafalme saba. Watano wamekwisha kuanguka, na mmoja yupo, na mwingine hajaja bado. Naye atakapokuja imempasa kukaa muda mchache. ”


Falme hizo kama zinavyojidhihirisha katika taifa la Mungu kwenye biblia ni MISRI, ASHURU, BABELI, UMEDI & UAJEMI, UYUNANI, RUMI YA KIPAGANI na RUMI YA KIDINI..Hizi ndizo falme hizo saba au Wanyama hao 7..Falme hizi ni Mataifa aliyotumia shetani kuutesa uzao wa Mungu kwa ujumla wake…

Mataifa Matano ya kwanza yaliwatesa wana wa Israeli peke yao, wakiwa Misri, na mengine baada ya kuchukuliwa tena mateka babeli..lakini haya mawili ya mwisho yaliwatesa wana wa Israeli pamoja na Kanisa la Kristo…Na hicho kichwa ndicho cha mwisho na ndiye mnyama wa 7 ambaye ni RUMI YA KIDINI,.. nacho ndicho chenye pembe zote saba.. mnyama huyu ndiye ambaye yupo sasa na anazidi kuongezeka nguvu siku baada ya siku,.atakapofikia kilele chake atazitumia pembe zake 10 ambayo ni mataifa yanayounda umoja wa ulaya (EU) kuhimiza ile chapa ya mnyama. Kwasasaba umoja huo una wanachama Zaidi ya 10..

Lakini unabii unaonyesha yatakuja kubakia 10 tu yenye nguvu kwenye umoja huo. Na Kwa pamoja yatashirikiana na mnyama huyo, (Rumi ya kidini Iliyopo chini ya kiongozi wa kanisa katoliki ,Papa) kuishawishi dunia kuendesha zoezi la kuwatia watu chapa. Kwa kipindi kifupi sana kisichozidi miaka mitatu na nusu, Chapa itakuwa imeshawafikia watu wote duniani…Watakaoikataa watakamatwa na kupelekwa kwenye kambi maalumu za mateso…

Wakati huo unyakuo utakuwa umeshapita…Watakatifu wameondolewa duniani,.kuepushwa na ghadhabu ya Mungu na majaribu ya mpinga-kristo.

MKUU DUNIA IPO MWISHONI MWENYE MASIKIO NA ASIKIE, YALIYOTABIRIWA NDO YANATOKEA KWASASA.
Habari, nmevutiwa na hiki kitu. Naomba nifafanulie hizo ni nchi gani kwa sasa maana nmevutiwa kujua na kujifunza nawe.

Falme hizo kama zinavyojidhihirisha katika taifa la Mungu kwenye biblia ni MISRI, ASHURU, BABELI, UMEDI & UAJEMI, UYUNANI, RUMI YA KIPAGANI na RUMI YA KIDINI. Maana kwa mm ukisema

Uajemi ni Irani
Misri ni misri
Rumi ya kidini ni europe
 
Back
Top Bottom