kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Uungaji mkono dunia nzima kwa Palestina wafikia asilimia 78 rekodi ambayo haijawahi kufikiwa
Uungaji wa Palestine umepanda kutoka asilimia 40% pekee dunia nzima kwa mwaka 2014 hadi asilimia 78 kwa mwaka huu.
Ni kutokana na wengi kuujuwa Ukweli na kuujua uhalisia wa uzayuni na uwongo na propaganda nyingi waliolishwa na vyombo vya habari kwa miaka karibia 70!!
Uungaji mkono kwa Israel unazidi kupungua siku hadi siku mathalani, huku Africa wanaoiunga mkono Israel wengi wao ni watu waliokosa shule kichwani mwao na ambao wengi hawajaelimika na wasiokua na uelewa
Jambo lingine ni kuwa Uungaji mkono huu umepanda baada ya kugundua habari nyingi zilizotoka Israel ni za uwongo,propaganda na uzushi mfano sakata la kudai Hamas waliwachinja watoto 40 lilikua la Uongo
Sakata la Hamas kuua watu wasiokua na hatia kwa namba walizotoa Israel zilikua ni data za kupika.
Kwa mujibu wa takwimu za Israel hadi sasa watoto wachanga na wadogo wa kiisrael umri kuanzia 0 hadi 5 (0-5) waliouawa na Hamas ni zero case yaani hakuna kabisa.
Hii imepelekea Dunia kuujua ukweli,mfano wale waliosimama na Israel october 7 sasa wengi wao wamebadili mawazo baada ya kuujua ukweli