Hamna lolote hata ifikie asilimia 100,, ni wanafiki kama wanafiki wengine,,Uungaji mkono dunia nzima kwa Palestina wafikia asilimia 78 rekodi ambayo haijawahi kufikiwa
Uungaji wa Palestine umepanda kutoka asilimia 40% pekee dunia nzima kwa mwaka 2014 hadi asilimia 78 kwa mwaka huu...
Hiyo dunia inayowakubali wapalestina imewasaidia.Israeli ndio nchi inayoisaidia wapalestina kuliko hata ninyi wazee wa makobazi na vipedo 🤔
Uungaji mkono dunia nzima kwa Palestina wafikia asilimia 78 rekodi ambayo haijawahi kufikiwa
Uungaji wa Palestine umepanda kutoka asilimia 40% pekee dunia nzima kwa mwaka 2014 hadi asilimia 78 kwa mwaka huu...
Acha udiniTutaendelea kuwaunga mkono wapalestina na kuendelea kuwaombea ndugu katika imaani. Mwenyezi Mungu awape nguvu katika kila majaribu wanayopitia
Allahumma Amiin Amiin
Bado umeshikilia mateka halafu unahisi umeonewa?Tutaendelea kuwaunga mkono wapalestina na kuendelea kuwaombea ndugu katika imaani. Mwenyezi Mungu awape nguvu katika kila majaribu wanayopitia
Allahumma Amiin Amiin
Huwa wanajikomba ila ni watumwa wa waarabu.Acha udini
hakuna watu wanazidi ukatili magaidi wa hamas na ISIS ndugu yangu. marekani na wayahudi wakasome.Mayahudi na kaka yake Marekani ni majitu makatili sana. Yanapigwa na Hamas/Al Qaeda! Hasira zinaenda kuishia kwa raia wasio na hatia.
Na ndiyo wanatakiwa kupambana nao sasa. Siyo kwenda kuua raia wasio husika.hakuna watu wanazidi ukatili magaidi wa hamas na ISIS ndugu yangu. marekani na wayahudi wakasome.
kama hamas anaweka raia mbele kama shield na anakurushia roketi kwa watoto wako utaendelea kuacha tu usipige palepale ufe wewe watoto wa mwenzako wapone? kwa akili ya kawaida tu.Na ndiyo wanatakiwa kupambana nao sasa. Siyo kwenda kuua raia wasio husika.
yaani pamoja na kwamba London leo watu wamejaa barabarani, na ni wakristo, ufaransa wamejaa, dunia nzima ya kikristo imejaa barabarani, ila kuna jamaa hapahapa ametoa kauli atu "tuwatetee wapalestina kwasababu ni ndugu zetu katika imani" akimaanisha watetewe kwasababu ni waislam wenzake, maanake wasio waislam ambao pia wanawapigania wapalestina, sio ndugu zake.Labda kuna kitu waislamu wanaweza kujifunza hapo kwamba muislamu anasafa Dunia nzima inasimaama kwenye haki, dini zote Ukristo, Budha n.k. wako na wapalestina lkn Uislamu wenyewe unafundisha Muislamu ku sympathsize na muislamu tu, hivyo waislamu wajifunze na waache kuiya wengine wasio waislamu kafir, waislamu waache ubaguzi kwa wasio
Waislamu, hata tanzania samia hakosolewi na waislamu kwa sababu tu ni muislamu, kuna la kujifunza hapo waislamu wenyewe hamuwezi mnawahitaji wengine pia kama sasa hivi …
yaani pamoja na kwamba London leo watu wamejaa barabarani, na ni wakristo, ufaransa wamejaa, dunia nzima ya kikristo imejaa barabarani, ila kuna jamaa hapahapa ametoa kauli atu "tuwatetee wapalestina kwasababu ni ndugu zetu katika imani" akimaanisha watetewe kwasababu ni waislam wenzake, maanake wasio waislam ambao pia wanawapigania wapalestina, sio ndugu zake.