Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana tofauti na wewe unavyoamini muarabu ni Mungu wako.Unalojazwa ujinga wewe ndiyo imeshakuwa dunia nzima?
Ikiwa wewe umejazwa ujinga wakuamini myahudi ni Mungu wako, usifikiri dunia nzima wana ujinga huo.
Umeitaza avideo clip niliyoiweka juu hapo? Au bando la shemeji?
😂🤣🤣🤣🤣 Disco vumbiKule israel walilipua nn ..? Kama sio disco vumbi za raia wasio na hatia na kuteka wazee watoto tena watu wa mataifa mengine. Mna ujinga saana hivi mabichwa yenu yamejazwa yale maandishi ya kwenda kushoto na fikra zipo kushoto
Mbona hii image ya kutengeneza kabisa na hata mm naweza.
Ndio mkuu hawa majamaa wanauzi saana. Yaani mtu achokoze afu aonekane kuwa yeye ni special. Apigwe tu. Mimi nitaiombea ISRAEL 🇮🇱🇮🇱🇮🇱 kila kukicha😂🤣🤣🤣🤣 Disco vumbi
Kwanza ya otobet tisa 😁😁😁😁😆😆😆😆
Kwanza ya october 9 iangalie tarehe hapo 😆😆😆 wamechanganikiwaMbona hii image ya kutengeneza kabisa na hata mm naweza.
Ingekua ukweli,,,bas tel aviv yote ungekua mji wa magofu
Nani atapasuliwa? Waislam?
Acheni uongo pro- Iran ni hasara gani iliyopata jeshi la Israel? wakati Lebanon iliachwa magofu, je Israel ilipata hasara gani?Baada ya ahadi za muda mrefu kwamba Israel ikiingia Gaza na wao watarudisha mapigo.Leo kundi hilo lenye silaha za kisasa zaidi kushinda Hamas wameanza vita na Israel.
Tangu Israel ianze kushambulia kusini mwa Lebanon karibu askari 50 wa kundi hilo wameuwawa bila kuonesha kurudisha mapigo.
Muda mfupi uliopita jeshi la idf limesema limerushiwa kombora la kutungulia ndege kwenye ndege zao sambamba na mengine kadhaa yaliyoelekezwa katikati ya nchi.
Inakumbukwa mnamo mwaka 2006 HizbuLah waliweza kulitia hasara kubwa jeshi la Israel na hatimae vita hivyo kusitishwa.
🤣🤣🤣🤣😂Ndio mkuu hawa majamaa wanauzi saana. Yaani mtu achokoze afu aonekane kuwa yeye ni special. Apigwe tu. Mimi nitaiombea ISRAEL 🇮🇱🇮🇱🇮🇱 kila kukicha
Mm nimewaambia tuichambue ile vita vya 2006 woote wamekimbia na hawajui kwamba Hezbollah walikua wanazuia waandishi wa habari kupiga picha hasara walizopata na uharibifu wa mali na miundo mbinu.Acheni uongo pro- Iran ni hasara gani iliyopata jeshi la Israel? wakati Lebanon iliachwa magofu, je Israel ilipata hasara gani?
Hesbullah wachumba tu mbele ya IDF tayari wameuliwa zaidi ya 100 na kujeruhiwa wengine zaidi ya 500 but no any action toka kwao
Nadhani baada ya Gaza kuwekwa chini ya Israel, kitakachofuata ni hawa Hesbullah na maeneo yao kuchukuliwa na kuwekwa chini ya IDF pia
Israel ni wajanja na wana akili sana, husifikiri wao ni wajinga wa kuishi na pro-Iran mlangoni kwao ok, it is matter of time, let wait
Ndio maana mimi uwa sina muda kurushia maneno na mijitu mijinga wasiojielewa, hivi Hamas tarehe 7 hawakuuwa watoto, wanawake na wazee?Tatizo Israel wanaua watoto, wanawake, wakiua askari hakuna atakaelalamika
Hayo ni mawazo yako na una haki nayo, lakini usome japo kidogo Uislam uuelewe. Anzia hapa:Hana tofauti na wewe unavyoamini muarabu ni Mungu wako.
HIYO CLIP YA KUTENGENEZWA NA HATA MIMI NAWEZA.
TUPE JINA LA MUHANDISHI ALIYETENGENEZA.
Kwa lugha unayoitumia kujadiliana unaonesha hauna maadili.Sawa na wewe pagazi wa mwarabu unavyo mhusudu hadi jina umepewa la kwake eti ndio utaenda ahera na kurejeshewa ubikra wako ili uwastareheshe mashahidi wa allah anaokufa wakimpigania.
Walichokoza, wao wakaua bila kuchagua wanaua nini saivi wanasema eti watoto na wanawake na vikongwe tu ndo wameuawa, ni jamii gani hiyo wanatenga watoto na wanawake tu kukaa bila wanaume? Afu wanasahau hamas wanajificha katikati ya raia kwaivo walitaka Israel wawachambue vipi ndo warushe komboraKule israel walilipua nn ..? Kama sio disco vumbi za raia wasio na hatia na kuteka wazee watoto tena watu wa mataifa mengine. Mna ujinga saana hivi mabichwa yenu yamejazwa yale maandishi ya kwenda kushoto na fikra zipo kushoto
Dah, inaumiza lakini. Mungu awasaidie.Kwa iyo hawa watoto wenye miaka 2 mpaka 7 waliouwawa na Waisrael ndio waliwaficha Hamas? ndio Mungu wao alivyowaambia wawaue hawa watoto?