LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
ndio maana Israel wameumua kuwamaliza hawa watoto sio? Ndio taifa teule waliotumwa na mungu kuua watoto sio?
Hizo picha ni kutafuta tu huruma hata hamas waliua watu mchanganyiko wakiwemo watoto, kuna jamii inaishi watoto wenyewe kuanzia miaka 7-12 bila watu wazima?
 
Mashoga halafu wanawapa kichapo Sheikh. Kweli mnakula urojo. Hamas wenyewe wanalianzisha halafu wanakimbia wangejitokeza kama askari wapigane na mashoga sasa mbona wanajificha mashimoni kama kenge.
Kujificha ni mbinu ya kivita. Kitu kama ujui kaa kmya
 
Kwamba hamas wamejificha na hawa watoto?mbona sioni maiti zao hapaView attachment 2796608
Tatizo ni kwamba Kuna wapelestina wanawapenda Hamas kuliko ndugu zao wako radhi kutohama maeneo hatarishi kisa tu Hamas wamewaambia msiondoke, mzazi anayeipenda familia yake hawez wasikiliza hao wajinga maana wao ni wanajeshi wameshaapa wanajua muda wwte wanauliwa, zipo sehemu salama kwa raia kwann wasipelekwe huko kuliko kupelekea umauti wa kulazimishwa?
 
Walichokoza, wao wakaua bila kuchagua wanaua nini saivi wanasema eti watoto na wanawake na vikongwe tu ndo wameuawa, ni jamii gani hiyo wanatenga watoto na wanawake tu kukaa bila wanaume? Afu wanasahau hamas wanajificha katikati ya raia kwaivo walitaka Israel wawachambue vipi ndo warushe kombora
Ndoo hapo mkuu najiulizaga kila siku. Hawa watu ni watu wakuwaogopa saana na wanajua kuchagua na picha za kupost ili waonewe huruma. Ila uzuri israel hana ujinga huo anaua hata wajifiche katikati ya wazee
 
Kujificha ni mbinu ya kivita. Kitu kama ujui kaa kmya
Sasa mbona unalalamika waambie wakajifiche tena hospital waone ule moto kama wa juz. Vita walianzisha kikatili so wasilalamike wakijibiwa kikatili.
 
Hii mijamaa ni mijinga kweli kweli. Sasa inashangilia ikiwauwa askari wa Israel ila kichapo kikirud wanaanza kulia lia kuonewa huruma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwanamgambo wa Israel kaminywa
IMG_20231027_190154.jpg
 
⚡⚡BREAKING NEWS:

ISRAELI MILLITARY THREATEN TO BOMB GREEK ORTHODOX SCHOOL AND ORTHODOX CULTURAL CENTRE

The IOF issue a warning of airstrikes on the Orthodox cultural center, where around 1,000 Palestinians are seeking shelter, and the Greek Orthodox Patriarch school, housing over 500 people
 
Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni amekiri kuwa hadi sasa wanajeshi 311 wa Israel wameangamizwa tangu kuanza oparesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa.

Oparesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa iliyoanza Oktoba 7 dhidi ya utawala wa Kizayuni ni moja ya mashambulizi makubwa sana dhidi ya utawala huo ghasibu kuwahi kufanywa na wapiganaia uhuru wa Palestina. Wanamapambano wa harakati ya Hamas ya Palestina walipenya ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) wakitokea katika nukta kadhaa za maeneo ya mpakani na kushambulia vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi na kuwaangamiza walowezi wasiopungua 1,500 na kuwateka nyara wengine zaidi ya 200.

Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni Jumapili hii amekiri kuwa, idadi ya wanajeshi wao waliouawa tangu kuanza oparesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa Oktoba 7 mwaka huu imefika 311 huku wanajeshi wengine 32 wakitekwa nyara.

Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni amedai kuwa: jeshi la utawala huo limeshambulia ngome za harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika medani ya kaskazini. Ameeleza haya katika radiamali yake baada ya kurushwa video inayoonyesha kambi za Wazayuni zilivyoshambuliwa na Hizbullah ya Lebanon karibu na mipaka ya kusini mwa Lebanon.
1698601731578.png
 
Back
Top Bottom