FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mimi nashangilia mpaka kesho, hivi unafikiri Mpalestina kakaa kijinga? Tazama kimbembe hiki:Tulia dawa iwaingie. Si ulishangilia kipindi hamas wanaua Waisraeli
View: https://youtu.be/oxuYgOrxRiw?si=f1c7VRHPafmW5e4d
Hapo naamini hata wewe kama unauzalendo wa Kiafrika japo kidogo, kwa asilimia moja tu, nasi utafurahia ushindi huo wa wapigania uhuru wao wa Palestina.