LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Huo ushahidi alioutoa upo wapi? Uweke hapa basi nasi tuuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi ni huo nilikutajia au unataka umuone huyo sheikh mwenyewe.
Habari ya mkasa wa firauni na Mussa a.s ni maarufu na unapatikana kirahisi kwenye tafsiri za Qur'an hata za Kiswahili.
Huyo sheikh kafafanua tu anachokiona kinakuja.
 
Hi miafrika ndio mana inatilisha aibu ngozi nyeusi, yani hata boga linaweza fahamu.

Sijui imedanganywa na nani Palestine ni Waislam tu wanaish

Mingine hata kanisa limevunjwa na Israel bado yanashangilia ukitaka kujua Ukristo ni unafiki hapo.

Yanasema Yesu kafa kwa ajili yao, yanasema Paulo alimuota Yesu mara alikuwa mwanafunzi wa Yesu hata kumuona Yesu hajamuona, alioteshwa na shetani
 
israel hawataki askari wao watekwe, hivyo wanaenda kwa umakini sana, wakiona kuna risk ya aina hiyo, wanarudi kujipanga. nawasifu kwa mpango huo.
 
Kama ni ufunguo mbona mnaomba huruma kwa ulimwengu wakati israel akiigeuza gaza vifusi.
Allah huwa anamsaidia anayejitahidi.Hivyo haina maana kuwa kuna msaada unakuja ndio Hamas na waislamu wambweteke.Wanatakiwa wafanye juhudi wapate chakula na maji
 
Ushahidi ni huo nilikutajia au unataka umuone huyo sheikh mwenyewe.
Habari ya mkasa wa firauni na Mussa a.s ni maarufu na unapatikana kirahisi kwenye tafsiri za Qur'an hata za Kiswahili.
Huyo sheikh kafafanua tu anachokiona kinakuja.
Ninachokiona hapa aljazira ni tofauti na ndoto za huyo shekhe.
Wapalestina walisema lazima sasa wanataka haraka makubaliano ya kubadilishana mateka. Unajua kwa nini, waliopo war ground wanachokiona ni tofauti na wengi waliopo warkey boad.
 
View: https://youtu.be/9Dl1KnNS9ZM?si=9kWtKuTRrXoWvh8d
Vinaunguzwa hivyo vilivyo sogea karibu na barabara ya Salah Din, safi sana Hamasi piga hao wenye lana
hapo hatujui kama bomu limerushwa na israel au hamas ndio wamechoma kifaru. tukuaminije? hata hivyo, hata wakiua wanajeshi buku, kwa majengo kuharibiwa, kwa kipigo kilichotokea, hamas hawawezi kusema wameshinda au wana ubavu wowote wa kivita.
 
Tusubiri taarifa zaidi.
 
aisee kutoka televisheni ya Aljazeera😱🙄
The best tv so far very impartial tofauti na hizi za propaganda , leo netanyahu kagombana na wakuu wa usalama wa israel akiwalaumu kwamba hawafanyi kazi vizuri ilibidi gantz amwambie netanyahu awaombe msamaha, ukiona watu wanapoteana ujue things are not going well as planned
 
hapo hatujui kama bomu limerushwa na israel au hamas ndio wamechoma kifaru. tukuaminije? hata hivyo, hata wakiua wanajeshi buku, kwa majengo kuharibiwa, kwa kipigo kilichotokea, hamas hawawezi kusema wameshinda au wana ubavu wowote wa kivita.
Hamas ushindi wao ni resistance kwa israel , na hadi sasa wamefanikiwa imagine silaha, gharama na well trained soldiers lakini hadi leo ameshindwa kufanya ground invasion na kuwaokoa hao mateka huo ni ushindi mkubwa sana, kumfanya hadi netanyahu kuyakimbia makazi yake
 
Unaposema "aljezeera ni the best tv so far very impartial" una uhibitisho gani au ni vigezo gani umetumia kufikia hili hitimisho?
 
hapo hatujui kama bomu limerushwa na israel au hamas ndio wamechoma kifaru. tukuaminije? hata hivyo, hata wakiua wanajeshi buku, kwa majengo kuharibiwa, kwa kipigo kilichotokea, hamas hawawezi kusema wameshinda au wana ubavu wowote wa kivita.
Tatizo we hujaona Asqalan. Bair 7, Ghulaf Gaza, Tela Aviv zilivyo vurugwa, pia kuna miji mingi tu ya Israel imepigwa.

We si unaonyeshwa tu Gaza sababu MEDIA ziko free kuchukua kule Israel wanawazuia kabisa na wanawakataza wa Israel wasirushe kwenye social media zingine zinavuja.

We hesabu majumba na watu hio haina shida vipi kuhusu hasara we unafahamu hasara alioipata Israel na America kwenye hi vita? Au unaropoka tu kama mlevi

Kijana kwa tarifa yako Israel hi vita hawezi kwenda nayo zaidi ya mwezi kuanzia sasa.

Kwanza kila akivunja majumba na kuwauwa watoto, wanawake na kuvunja Hospital ndio anapoteza support ndio inazidi mdharau sababu watu wote wanafahamu Hamasi wanaishi chini ya Ardhi tena hakuna hata silaha ya Hamasi wameipiga walichopata ni kule walipo ingiliwa kambi za jeshi nne walizo zibakisha wenyewe Hamasi kwa lengo la kurudi tena.

Internal security ya Egypt imewaeleza Israel hawawezi kuvuka km moja Gaza wakikuachia km nne basi wewe ni chambo tu, kama hivyo vifaru waliviachia vikaribie barabara Salah Din ili wavimalize na wamevimaliza vingine vimegeuza chezea Hamasi wewe
 
hapo hatujui kama bomu limerushwa na israel au hamas ndio wamechoma kifaru. tukuaminije? hata hivyo, hata wakiua wanajeshi buku, kwa majengo kuharibiwa, kwa kipigo kilichotokea, hamas hawawezi kusema wameshinda au wana ubavu wowote wa kivita.
Kushinda au kushindwa kunakuja baada ya game kufika mwisho/kumalizika.
Tuwe na subira.
 
Huu ushahidi ni mzito sana sana aiseeee duh
 
Tatizo we hujaona Asqalan. Bair 7, Ghulaf Gaza, Tela Aviv zilivyo vurugwa, pia kuna miji mingi tu ya Israe
Mkuu; vita ni uharibifu wa kiwango cha juu kabisa cha Uhai, Hali, Mali, Ardhi na Nafsi na hufanywa na Binadamu kwa makusudi kabisa.. Hata hiyo definition bado haijatosheleza kuelezea vita ni nini hasa. Kwa mantiki hiyo, hayo uliyoyataja hapo juu ni sample tu. Yajayo yanahuzunisha na kutisha zaidi. Tumwombe Mungu atuepushie hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…