Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Uhuru hata uwauwe mamillion ni bora kuliko kuwa chini ya utawala wa watu wamechukua nchi yenu.Mkuu; vita ni uharibifu wa kiwango cha juu kabisa cha Uhai, Hali, Mali, Ardhi na Nafsi na hufanywa na Binadamu kwa makusudi kabisa.. Hata hiyo definition bado haijatosheleza kuelezea vita ni nini hasa. Kwa mantiki hiyo, hayo uliyoyataja hapo juu ni sample tu. Yajayo yanahuzunisha na kutisha zaidi. Tumwombe Mungu atuepushie hayo.
Sijaamini kwamba imefikia mahali (point of no return) ambapo Wahusika hawawezi kuyazungumza kama majirani. Kumbuka unaweza kuchagua mke/mchumba lakini huwezi kuchagua jirani.Uhuru hata uwauwe mamillion ni bora kuliko kuwa chini ya utawala wa watu wamechukua nchi yenu.
HapanaAllah ndio Jehovah?
Wametandikwa na kurudishwa nyuma.
View: https://x.com/AuroraIntel/status/1718900377280512176?s=20
Israel inakaribia Gaza City, inaendelea kuwasaidia Magaidi kuyapata mabikira 72
Lakini nyinyi simlisha sema ni wagalatia na wayahudi ni ndugu ?Sijawai kuona sheikh akitabiri jambo alafu likatokea...
Alafu kabla yakuchagua upande wa wafilisti ambao ni wapalestina, unatakiwa ujue kwamba hao jamaa wameteka Watanzania wenzetu, hivyo pia ni maadui kwetu
Uwongo hadi muda huu hiyo barabara ya Salah dini Israel imedhibiti na wanajitanua kuelekea kaskazini.Tatizo we hujaona Asqalan. Bair 7, Ghulaf Gaza, Tela Aviv zilivyo vurugwa, pia kuna miji mingi tu ya Israel imepigwa.
We si unaonyeshwa tu Gaza sababu MEDIA ziko free kuchukua kule Israel wanawazuia kabisa nacwanawakataza wa Israel wasirushe kwenye social media zingine zinavuja.
We hesabu majumba na watu hio haina shida vipi kuhusu hasara we unafahamu hasara alioipata Israel na America kwenye hi vita? Au unaropoka tu kama mlevi
Kijana kwa tarifa yako Israel hi vita hawezi kwenda nayo zaidi ya mwezi kuanzia sasa.
Kwanza kila akivunja majumba na kuwauwa watoto, wanawake na kuvunja Hospital ndio anapoteza support ndio inazidi mdharau sababu watu wote wanafahamu Hamasi wanaishi chini ya Ardhi tena hakuna hata silaha ya Hamasi wameipiga walichopata ni kule walipo ingiliwa kambi za jeshi nne walizo zibakisha wenyewe Hamadi kwa lengo la kurudi tena.
Internal security ya Egypt imewaeleza Israel hawawezi kuvuka km moja Gaza wakikuachia under kam nne basi wewe ni chambo tu, kama hivyo vifaru waliviachia vikaribie barabara Salah Din ili wavimalize na wamevimaliza vingine vimegeuza chezea Hamasi wewe
Siyo kweli hawajarudi nyuma.Wametandikwa na kurudishwa nyuma.
Wanaume wanao retreat kila dakika hata leo wameingia gaza wakarudishwa nyuma na kuharibiww vifaa vyao juu.Wanaume wanavaa hijabu kuficha nyuso, wanaume wanajificha kwenye mahandaki? Endelea kufuatilia taratibu watu washaingia katikat ya Gaza yajayo yanahudhunisha sana, mlikuwa mnasema mbona hawaiingii Gaza wanaogopa nini tukawaambia ni suala la muda tu, sasa wanaume halisi wameingia Gaza baada ya siku 2, 3 tutapata matokeo.
Niko natizama Aljazeera hapo zote Arabic na English sijaona hayo unayosema ww na Aljazeera nahisi unawajua vizur likitokea tukio la kuumizwa IDF watapost mwezi mzima, naomba link ya hiyo taarifa ya kwamba IDF wame retreat.Wanaume wanao retreat kila dakika hata leo wameingia gaza wakarudishwa nyuma na kuharibiww vifaa vyao juu.
Anadanganya ndio maana hawezi kuonesha hicho kifaru kinachoungua hapa, pia amedanganya jeshi la Israel limerudishwa nyuma toka kwenye barabara ya Salah dini kitu ambacho Ni uongo mwingine.hapo hatujui kama bomu limerushwa na israel au hamas ndio wamechoma kifaru. tukuaminije? hata hivyo, hata wakiua wanajeshi buku, kwa majengo kuharibiwa, kwa kipigo kilichotokea, hamas hawawezi kusema wameshinda au wana ubavu wowote wa kivita.
Walipigwa wakarudishwa nyuma baadae wakaanza kurusha unga wa sumu ulio pigwa marufuku.Siyo kweli hawajarudi nyuma.
Hiyo hapo screen shot ya habari kutoka Aljazeera mbaya zaidi baada ya kupigwa na kurudishwa nyuma wakaanza kurusha mabomu ya sumu yaliyo pigwa marufuku.Niko natizama Aljazeera hapo zote Arabic na English sijaona hayo unayosema ww na Aljazeera nahisi unawajua vizur likitokea tukio la kuumizwa IDF watapost mwezi mzima, naomba link ya hiyo taarifa ya kwamba IDF wame retreat.
Siyo kweli hawajarudi nyuma, mpaka Sasa wameifunga barabara, na wengine wanaelekea upande wa kaskazini.Walipigwa wakarudishwa nyuma baadae wakaanza kurusha unga wa sumu ulio pigwa marufuku.
View attachment 2798017
Sasa wewe na Aljazeera tukuamini nani au ww uko eneo la vita.Siyo kweli hawajarudi nyuma, mpaka Sasa wameifunga barabara, na wengine wanaelekea upande wa kaskazini.
Kwahiyo hii ndio reference Yako? Endeleeni kujifariji, na Wahuni wa Hamas baada ya kuona maji yamefika shingoni wametoa video ya mateka wa3 eti wanalaumu ground oper6ya IDF Gaza, hizi ni dalili za kutapatapa mwisho wao umewadia wapumbavu wakubwa.Hiyo hapo screen shot ya habari kutoka Aljazeera mbaya zaidi baada ya kupigwa na kurudishwa nyuma wakaanza kurusha mabomu ya sumu yaliyo pigwa marufuku.View attachment 2798018
Masheikh tunakusudia kuwa ni wasomi wa kiislamu.Wasomi tumeambiwa tuwaheshimu kwani ni warithi wa mitume.Kwa hivyo kinachozungumzwa na sheikh kutoka moyoni mwake ujue kina baraka za Mwenyezi Mungu.Kwani shehe ndio nani, hizo si ni hadithi tu kama zile za Juma na Roza wanasoma kitabu, hamna zaidi ya hapo.
So wametokea kaskazini,na hiyo barbara no 3km toka kwenye uzioUwongo hadi muda huu hiyo barabara ya Salah dini Israel imedhibiti na wanajitanua kuelekea kaskazini.