LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kasaidie maana kichapo kwa hamas ni funua funika gaza inageuzwa majivu,vichuguu na makaburi.Israel wametinga na anapigwa kwa juu,majini na ardhini
Hayajaanza leo wala jana, cha muhimu waliowekwa kambi ya mateso ya Gaza na wao wakipata upenyo wanafanya kweli.
 
Ukitafakar kwa kina binadamu wa africa masharik hasa wakitanzania ni wapumbavu, vichwa empty bora mbuzi ana akili kuliko sasa unashabikia wenzako wanavyouana na mmejitenga na makundi kufuraishana kwamba muislam vs mkristo hv wakuu mkosawasawa vichwani mwenu au dishi zimeyumba?? Dah aisee nyie watu matahila tena mafala,fuvck
 
Wewe ni muongo zaidi ya huyo umsemaye, nyie wenye upande kwenye hivi vita mnachekesha sana, hiyo chanel unayosema imetoa taarifa ya wanajeshi wawili na majina yao wameuawa na wawili wamejeruhiwa so naona unaendeleza kuadd namba kama kawaida yenu

Wewe kwa akili yako unafikiri Hamas wanao uwezo wa kusimama kukipiga na Israel? wanachokifanya Hamas uoga tu wamejificha wanasakwa nyumba to nyumba ni mahafa makubwa ndani ya Gaza yaan nyie pro-Iran ndio mmeleta haya madhila kwa Gaza

Endeleeni kuvimba nyuma ya watoto, wanawake, wazee na mahospitalini ila watu wa Gaza ndio wanaangaika wanapigwa kipigo cha hatari, hakika sio haki cheki bomu iliyodondoshwa jana jabalia refugee camp, ni kumuua kamanda wa Hamas lakin je ameondoka na wangapi?? swali kwako

Najiuliza huyo kamanda alifuata nini jabalia camp? Hamas wanaongelea chini ya ardhi kama panya, je nani anawapa wakati wanasakwa ardhini kwenye andaki zao? Hamas ni tatizo na hawana uwezo wa kukipiga na Israel let wait and see
 
Una taarifa nyingi za uongo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
unamwambia mtu atoke kwake anatoko anaenda kukaa kwenye jengo la hospitali unapiga bomu hospitali ndiyo maana nakuambia acha ushabiki mandazi.
Hivi Gaza watoto ndio wanaoishi? watoto ndio wenye mji Gaza? acha muawawe wajinga sana, mlipewa tangazo mkajidai et nyieni ni Hamas wacha waone na wakipate, huyu Ritz na Kimsboy hawa hawana nia njema na watu wa Gaza

Najiuliza mikwara yote ya Iran ameshindwa nini kuingia vitani? Iran ni tatizo na lengo lake ni kupunguza nguvu Israel kwa kuunda makundi ila anachokiona ni shida, Israel ni wababe ila tuwaombee watu Gaza make sio wote walienda kubaka Israel
 
Kuna wakati najiuliza kwanini Mungu akaenda kuwaweka wapalestina jirani na Israel?

Inawezekana alijua kabisa hawa jamaa watakuwa wachokozi, dawa yao ni kuwaweka karibu na mwenye nguvu ili awatandike vizuri, hakuna jambo lolote linalotokea hapa duniani kwa bahati mbaya ndugu zangu, yote ni mipango.

Ndio maana hata Prime Minister wa Egypt nae anakataa kuwaruhusu wakimbizi toka Palestina kuingia nchini kwao, wanafahamu wapalestina ni wachokozi, kaa nao mbali, matokeo yake sasa .....
View attachment 2799852
 
Aisee hawa Muqawama wa Hamas ni balaa yaani unaambiwa wako fit kinoma.Israel hajafanikiwa kuua hata mmoja anabakia kuua raia na watoto wasio na hatia.Allahu akbar!
JAMANI mbona hamuwaonei huruma hao jamaaa?
 
allah akbarr!!!! na waliocheka watoto wa Israel na kurekodi mateso yao na mauaji yao pamoja na kubakwa live na kurusha mitandao nao leo wanakipata cha moto, wanaishi shimoni kama nguchiro aise maisha haya acha tu kimsboy mwambie mungu wako ayatollah ajifunze.

Umeshindwa kuweka picha ya Mama Samia kwenye avatar yako au hata ya baba yako ila umeweka ya mungu wenu anayeua kila kona ya middle east dah umesahau watanzania waliotekwa na Hamas kisa et ni wakristo dah tujifunze usemavyo mnafiki mkubwa wewe
 
Umepiga za uso mkuu.
 
Ha ha ha, watu wabaya wapo kwenye kila Jamii ya kidunia, the one who grab a black, ni kama mkosaji mwingine au muhalifu yoyote,
Nadhani dunia itunge sheria ya ni marufuku nchi kuivamia/kuishambulia, ghafla nchi nyingine, na hilo litakapotokea basi dunia ikemee na nchi chokozi iadhibiwe kwa kushambuliwa, ikaliwe kiuongozi, na kijeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…