LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
WAISLAMU NA WAARABU WANAJITAHIDI NA FEKI NYUZI KUWACHAFUA WAYAHUDI LAKINI HAIWEZEKANI MAANA BINADAMU TUNAZO AKILI TIMAMU.
NB : Walichokifanya hamas September 07 walitegemea wayahudi watawachekea na kuwakenulia meno?
 
Acheni ni uongo Israel wanawakaza kinoma hao Hizbullah, na hawana uwezo wowote wa kumsumbua IDF make moto wanaokipata ni zaidi
 
Yes ni wazoefu wa hizi kazi [emoji116] viroba vya Wanamgambo wa Israel [emoji847]View attachment 2799630
Rajab allah akbarrr!!! wewe ni muongo kuna jamaa amesema kwamba ukiwa muislam hata umesoma ila ujinga ni lazma, mlijidanganya na allah akbar leo mnakipata Israel waje hadi huku kwetu kuwatafuta magaidi wapo wwngi
 
Israel ni Taifa la Mungu, labda ungeshauri tutume Jeshi likawasaidie kupiga hao wahaini. Nakwambia hivi Israel itazidi kubarikiwa na haitoanguka,anayejaribu kuiangusha ataanguka yeye. Ailaaniye atalaaniwa,aibarikiye atabarikiwa.
 
Kwani hao waarabu wa gaza September 07 hawakufanya unyama?
 
Jamaa huyu alikua anashangilia na kuleta nyuzi kibao humu 🤣🤣🤣
 
Mkono wa Mungu uwe juu yako na ghadhabu ya Mungu iwake juu yake mpaka ukiri kuwa yupo Mungu akupaye pumzi hii bure. Mungu anakuhitaji,tena wewe utakuwa Mwalimu mzuri sana kufundisha wengine.
Quote my words.
 
Wewe punguani kweli basha wako wanarusha mabomu hivyo wanabomoa nyumba mashule hospital hilo tangaza unalosema unataka raia wa Palestina waende wapi? Acha ushoga wewe wanarusha mabomu mpaka kwenye kambi za wakimbizi.
 
Unaandika uharo tu.
 
Unyama unyamani, Niko pale naangalia hii movie uku nakula ugali na mlenda. Najua mtasema tukemee huu uovu wa Vita. Lkn Kama hata kuunda magari yetu wenyewe tu hatuwezi Sasa tukibweka wakitugeukia ss na midege yao si tutakua majivu.
 
Ww ni mpumbavu unasema hamas wako chini ya ardhi alafu wakati huo unasema wanashambulia majumba ili watoke sasa majumba na mahandaki yana uhusiano gani?
Alafu unacho takiwa kujua Israel kuuwa watu makusudi ni jambo la kawaida kabisa kwake huna haja ya kuwatetea hapa, kwasababu huko west bank anauwa maelfu ya wapalestina kila mwaka na kuwafukuza kwenye nyumba zao hali ya kuwa hawana silaha.
 
BAKWATA mpo na huku?

Ilipaswa kuvunja na Palestina kwanza kwa kuwa wao ndio walivama, then ivunje na Urusi ilivamia Ukraine, Ivunje na Uingereza ilitukolonaizi,ivunje kote tuungane na marafiki zetu Somalia, Burundi na Malawi.
 
we mpumbavu kafanye kazi usaidie ukoo wako kupunguza ufukara ukiendelea hivi mtaendelea kuwa mafukara. Ulihangaika sn na DP World kwa uzushi na upotoshaji sasa hivi umehamia mpk kwenye nchi za watu. We unaumwa siyo bure, nani anakulipa.
 
Jamaa punguani kweli lakini sishangai akili za mashoga huwq zipo hivyo zaidi ya mabasha zake watu wengine kwake hawana thamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…