LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
MTu ukiambiwa usifanye hivi, ukakaidi utapigwa. Nami nasema wanaokaidi wapigwe tu maana hamna namna.
 
israel kuna waut wabaya na watu wazuri pia, hivyo hivyo hata Tanzania kuna watu wabaya na watu wazuri pia, kila nchi na wartu wabaya na watu wazuri pia. ubaya wa wachache hauwezi kuwafanya waisrael wote kuwa wabaya. pia, wewe unayesema Tanzania ivunje uhusiano na israel, unajua kuwa zaidi ya asilimia 40 ya watanzania ni wakristo? na hakuna mkristo hata mmoja asiyependa uhusiano na israel uvunjike. ninyi wa dini nyingine kwasababu hamuwapendi mayahudi, hamuwezi kutufanya hata sisi tunaowapenda tukose ushirikiano nao, kwa hilo hatupo pamoja.

tunapata shida sana Tanzania tukitaka kusafiri kwenye Israel, watu wanafuata visa Nairobi wakati wangeipata hapahapa. sisi wenzenu kule kuna Bethelem sehemu alipozaliwa Yesu, kuna Nazareth sehemu alipokulia Yesu, kuna Mji mtakatifu Yerusalem, mto Yordan, Bahari ya Galilaya na maeneo mengi huwa tunaenda kutalii au wengine wanasema kuhiji walau kujikumbusha kwa kuona yale yaliyoandikwa kwenye Biblia. wakivunja uhusiano itatuathiri sisi.

vilevile, sisi hatusapoti wapalestina, tunasapoti Israel, hata katika mapigano yanayoendelea tunasapoti Israel, hatusapoti magaidi ya hamas, wala wapalestina. ni muhimu kujua hilo.
 
Magaidi wapelekewe moto 🔥 🔥 mpaka akili ziwakae sawa
Sisi kama Kawa tunaendelea kupeperusha bendera ya Israel ,🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱🇮🇱
 
Wayahudi wanauwawa kama kuku broiler yaani Mwanamgambo wa Kiyahudi ukimpiga hata konzi anakufa
 
We pumbavu kuna uzi umeleta kwamba Hamas kauwa wanajeshi 63 na wengine kachukua mateka then huku unakuja kulia lia.

Unajitekenya na kucheka mwenyewe tulia mupewe dawa na iiingie vizuri siku nyingine mkifikiria kuchokoza watu mpate adabu.
 
Nilijua tu atakua Muhindu tu,,,we Mtu anakunywa mkojo wa ng’ombe na m*vi unategemea awe na akili au roho nzuri,jamaa wanachuki sana huko kwao wanaua waislam,wakristo,,,unauliwa kisa umekula nyama ya ng’ombe smh
Wahindu wapo kama hawapo timamu vile
 
Una akili mbovu na umefia dini mpaka sasa ubongo utalipuka kwa kujaza takataka mwilini

Brunei, Qatar, Iran,Kuwait,Oman,Saudia, hao wote wana hali gani za kiuchumi?
 
Kilichowatuma kuchokonoa Myahudi mtakoma nyie na maugaidi ya dini yenu.
Huu uzi haukuhusu wewe Mkenya mambo ya Tz yanakuhusu nini?Pambana na kenya yako inayosumbuliwa na njaa
 
Tuanze kuvunja kwanza uhusiano na sudan sabu waislamu wa sudan wanauwana na kuchinjana wao kwa wao lakin pia sudan ni jiran zetu ugomvi wau una madhara ya moja kwa moja kwa nchi yetu na uchumi wetu

Sion haja ya kuvunja uhusiano na israel nchi ambayo iko mbali sana na ugomvi wao unamadhara ila sio ya moja kwa moja km yale tunayopata kutoka sudan
Kuna wakimbizi kibao wa kisudan tanzania kulko wakimbizi wa kiisrael walioko tz
Tz itapeleka misaada sudan sku za usoni ila ni ngumu tz kupeleka misaada israel
Lakin pia kuna uwezekano wa wasudan kukimbilia tz na sku za usoni kuja kutuletea vita zao za kidini nchini kwetu tofaut na israel

Tuache ushabiki wa kizaman waafrika tunamattzo yetu weng sana na ni vema waafrika tukaungana kutatua mattzo yetu kwanza na sio kuwaza mattzo ya waisrael na wapalestina wakat niger watu wanakufa mali watu wanakufa kongo sudan somalia afrika ya kati kote uko waafrika wanakufa
 
Israel haina Cha kupoteza hata tukivunja nayo uhusiano. Na Wala haina chochote inachohitaji toka kwetu. Tunahangaika na mauaji huko Gaza, wakati hapa kwetu wakati ww uchaguzi tunaona watu wakiuwawa na kuachwa na vilema vya maisha ili ccm itawale kwa shuruti.
 
[emoji851]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ttzo letu tunaleta ushabiki wa kidini kwenye maisha ya watu waislamu wakiwauwa waislamu wenzao sio vibaya ila jew na waislamu wakiuwana ilo ndo kasa tuache kutumia dini vbaya tuache utumwa wa akili na fikla dini haitupeleki mbinguni
 
Kwenye uhalisia wa hoja usirudie tena kuleta singeli za "unge, inge" sababu wewe mwenyewe usingezaliwa duniani ungekuwa si chochote.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ulitaka Hamas wakae tu ili wanajeshi wa Israel wawauwe?
Israel anacho ambiwa ni afuate sheria za vita na sio kupiga piga hovyo kama ni kupambana apambane na hamas awaangamize kama anavyo sema na sio kuuwa raia.
Hamas wanajichanganya na raia lazima Hilo litokee wewe gaidi wa kwampalange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…