LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums

Ni watu wazima, wewe pambana na kutafuta ada, january imekaribia, una shida nyingi kuwazidi.
 

Ndugu mburumundu wengi na wengine wana rangi zingine:

Tutambuane: Wenye ujasiri au sababu za kuikabili CCM

Haki ipi anapigania nani kama haki ya wapalestina si haki?
 
Hakuna katika majeshi imara mashariki ya kati ni Egypt pamoja Syria. Walichokipata kwa Israel wanajua. Mpaka leo Eneo Sinai ni la Egypt lakini lilikaliwa Israel na alishindwa kulikomboa yakafanyika mazungumzo likarejeshwa kwa makubaliano kuwa Egypt isijaribu kuingia vitani na Israel vinginevyo Sinai Peninsula itakaliwa tena na Israel. Eneo la Golan heights iko Syria lakini limekaliwa na Israel mpaka sasa.
Nchi zenye majeshi imara zimeshindwa kukomboa maeneo yao hao wanamgambo wanaweza kuwa tishio kwa Israeli. Sana sana wanachoweza ni kufanya fujo tu...
 
Vita ni timing na mbinu , mwaka 2006 walitandikwa kisawasawa na hezbollah hadi marekani akaenda kuomba ceasefire usisahau hilo
 
Watz, tuna shida kibao nchini mwetu, hebu tumalize yetu kwanza maana najua wengi mnajiingiza kwa hii vita kwa sababu za kidini hakuna lingine! mngekuwa mnatetea watoto kweli mngeanzia pale hamas alipovamia Israel. Kiukweli hakunaga upande sahihi wa vita isipokuwa amani, huwezi shabikia kifo cha mwingine ukahurumia cha mwingine, ukithamini maisha ya binadamu basi wote wana haki ya kuishi.
 
Hata hilo jeshi la anga wanawaonea Palestine tu sababu hawana silaha za kutungulia ndege ngoja hizo ndege zao ziende kushambulia Yemen au Leban kama zitarudi.
 
Sasa kama Israel haina uwezo msianze kulia lia tulieni si mnayaweza sio kutuwekea picha za watoto na wanawake wapalestina wanaonewa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Aisee ushabiki wa watu unaweza ukafikiria hii ni game kwenye PS3, X-Box au Nintendo Wii
 
Hizi vita propaganda nyingi sana mpaka unachanganyikiwa,ila upande unaolia na kuomba huruma ya dunia unajulikana.
Tuoneshe upande uliolia tuuone.

Hamas malengo yao yamefanikiwa sana tena sana.

Kama ni kikundi cha Kigaidi kama tunavyoaminishwa, nini lengo la ugaidi? Jibu ni moja tu, usikike.

Kama lengo ni hilo, Hamas ni waashindi wa mara million moja. Sasa hivi dunia nzima inaongelea masuala haya ya Palestina na wayahudi.

Kama si ushindi huo ni nini?
 
We fala kama si Gaidi basi hustahili kabisa kuwa Mpumbavu kiasi hicho...[emoji2]

Wahanga wa vita Msumbiji, Somalia, DRC, Sudan na Nigeria wanakuomba usiwasahau kuwaombea kisa tu chuki zako za kidini kwa Israel.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wabongo katika ubora wetu.
Stori za vijiweni kama kawa.
Chambuzi za vita.
Tukishakula mihogo tukashiba, tumechaji simu kwa umeme wa mgao, Tv zimesha zima, Tanesco washachukua umeme, ndio tunashika simu kuanza kudanganyana sasa. Si tuna acess ya bando!!

Data ambazo waisrael wanazificha we umezipata wapi? Upo kwenye battle field au una reporter huko anaekupenyezea za ndani kabisa? Acheni propaganda. Acha zipigwe mwisho wa siku atakaye sanda tutamuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…