LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Umeongea kushabiki sana Israel hawezi piga na mwarabu kamwe
 
Unateseka ukiwa wapi......??
 
Wapigweeeee
 
Israel ni wavamizi wa Palestina!
Alivamia akitokea wapi?

Hapo Mashariki ya kati ni Israel ndiyo iliyoyapoteza maeneo yao kwa waarabu. Kumbuka Israel ya kale walimiki ardhi yote kuanzia sehemu ya Misri ya leo mpaka sehemu ya ndani ya Iraq ya sasa.
 

Wewe ukae kizembe zembe halafu usingizie tatizo ni mahusiano yetu na Israel. Nani ameleta rushwa na wizi huu ambao umetamalaki wa mali ya umma?
Tusitumie Biblia, ambayo ni kitabu kitakatifu kuficha madhambi yetu ya waziwazi
 
Hizi vita propaganda nyingi sana mpaka unachanganyikiwa,ila upande unaolia na kuomba huruma ya dunia unajulikana.
vita za Israel ni za siku 1, 2 tu vita yake ngumu kabisa ni siku sita tu, hii ya sasa mbona inachukua siku nyingi mno? akili za kuambiwa changanya na zako bhanaweee.
 
Kuna mambo matatu

1: Corona
2: Vita vya Ukraine na Urusi
3: Vita vya Israel na Hamas

Hivi vitu vimejaa usanii wa kimtandao.
Tangu tarehe 7 October hadi leo ni siku ngapi kwa Gaza tu? hata kama mitandao inapotosha lakini mazingira huyasomi?
 
sio israel bali Marekani na Magharibi hasa UK, changanya na zako
 
Tembelea page ya IDF utaelewa!
 
Tanzania hata usipoitambua Israel haitasaidia kitu, kinachoendelea hapo ni kutimiza kwa unabii wa miaka ya 580 BC. Manabii Ezekiel, Zakaria, Yeremia, Amos... wote walitabiri Israel ataondoshwa kwenye nchi aliyopewa na kutawanywa baada ya kumwasi Mungu, lakini pia Mwenyezi Mungu aliahidi kuwarudisha kama Nabii Amos 9:15, na ilitimia mwaka 1948, na haikuishia kuwa watarudi tu, Bali wakirudi hakuna atakayewatoa. Wewe Tanzania hata ukivunja ubalozi wako haitapindisha alichokisema Mwenyezi Mungu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…