LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ila jua kuwa Mungu wa kweli hayupo kwa waislam wala wayahudi.
Wote hawa wameukataa ukweli na kupungukiwa Neema ya Mungu.
Hawa ni watu wamachafuko
Dini ya yesu ilikua uyahudi,yesu hakuwa mkiristo,hii ni kwa mujibu wa biblia, ukiristo umeundwa na paulo
 
Dini ya yesu ilikua uyahudi,yesu hakuwa mkiristo,hii ni kwa mujibu wa biblia, ukiristo umeundwa na paulo
Ukristo ni ufuasi wa kristo. Na Paulo pia baada yakuongoka akawa mfuasi wa kristo.
Kwa maana hiyo ukristo sio dini. Ukisikia mtu anasema yeye ni mkristo maana yake anayafuata mafundisho ya Yesu kristo.
Yesu alipingana na wayahudi wazi wazi.
Mafundisho ya kristo hayafanani kabisa na mafundisho ya kiyahudi. Na ndio maana wayahudi walimkataa kabisa kristo hasa kutokana na mafundisho yake. Wakasema kapagawa na pepo.
 
Mbona akifuata taratibu za kiyahudi!?..Wala hakukaa kwenye mabenchi kufanya Ibada,hakutoa mapepo,kufufua Wala kuponya kwa kusema 'kwa jina langu pepo toka'..yesu haujui ukiristo,Paulo alimpinga yesu,alipoondoka akajifanya katokewa na yesu na hapo kuanza kuhubiri Imani ambayo yesu hakuifundisha,Paulo ni tapeli na dini yake ni ya kitapeli
 
Mtoa mada leta ushahidi acha porojo na uwongo

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
Upo serious kweli?
Yesu hakutoa mapepo?
Yesu hakufufua wala kuponya?
Atasema vipi kwa jina la Yesu wakati yeye ndiye?
 
Ndio nini hiki?
Kumbuka hapo Mwanzo ulisema jamii zote hizo mbili zilimkataa Yesu. Nami nikakuletea hiyo picture kuwa it's very unfortunate kwani huyo waliyemkataa ndiye anayeweza kuwaletea karibu wakaishi kwa Amani. Na ushahidi upo Kuna wayahudi ambao wamekuja kuwa wakiristo na Waislam ambao wamekuja kuwa wakiristo na sasa wanaishi kwa Amani na kuaminiana
 
Wewe tatizo lako unaandika kiushabiki ulio jaa chuki dhidi ya Dini zingine.......wa Kenya wengi hawanaga upuuzi wako economic oriented tafauti na wewe, wewe ni mpuuzi sana hazijengi au kuelimisha mtu zaidi ya kueneza chuki tu.

Naandika ilivyo, mumejazwa chuki sana kwenye hiyo dini, maandiko yenu yanahubiri chuki na mauaji tu, leo hii tupo kwenye shida yote hii kisa dini yenu, hamkai kwa amani na dini zingine ni vurugu tu....

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Wajinga tu wanaounga mkono ugaidi!

Ni wajinga tu wanaosema eti Israel inaweza kuhangaishwa na Vinchi vya kiarabu!

Israel ni nchi yenye kuhangaishwa na Urus, China na Korea angalau
 

Unaongea kuhusu chuki, hivi haya maandamano ya waislamu kupinga ujenzi wa kanisa yalifanyika nchi gani, hii ni chuki ya aina gani yaani


View: https://www.youtube.com/watch?v=pcwvILodCKM
 
Wewe tatizo lako unaandika kiushabiki ulio jaa chuki dhidi ya Dini zingine.......wa Kenya wengi hawanaga upuuzi wako economic oriented tafauti na wewe, wewe ni mpuuzi sana hazijengi au kuelimisha mtu zaidi ya kueneza chuki tu.
Hii comment umeandika ukiwa umefura kweli kweli kwa hasira mpaka unamfokea mtu kwa ID yake.Si ajabu huyu unaemwita Mkenya akawa Mluguru[emoji4]
 
Mossad ililala sana hadi hao jamaa wakajipanga hivyo, baada ya vita kuna kashkash kibao zitatokea
 
Kiongozi wa Hamas alie panga kuchinja wa Israel alisahau kuwa hayo majamaa kwa Jina yanaitwa Israel... Utasikia mtu ameitwa na Israel Yani hao walipogana vita mwanzo mpaka mwisho so usiwaguse watakupoteza. Kizazi cha Hamas kitapotea na hakitokuwepo tena. Iran ajiandae...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…