LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mwongo hao ni siyo Hamas, Hawa ni Hezbollah
Hezbollah bado hawajaanza mashambulizi kesho ndio Kiongozi wao at aongea kama wamo ama hawamo, so far Hezbollah Wamepiga piga tu radar na ngome za mpakani.

Hezbollah ni Habari nyengine vibomu vyao si vidogo ni midude inafumua fumua kama unavyoona Gaza na Tetesi wapo Armed na Vifaa vya Wagner.

In short Hezbollah akiingia Hio Vita itakua balaa.

There is a reason kwanini Usa anawaonya Hezbollah wasiingilie na sio Syria, ama Houth Yemen ama nchi nyengine.
 
Acha wabadilishe akili za Wana kondoo kuisifia Israel kibubusa,baada ya hii shughuli watu watajua Israel ni hakuna kitu kelele tu
Msiseme baadaye wanakufa wanawake na watoto. Maana hata Israel alipoamua kuwa hii Ni Vita walisema itachukua mda mrefu kaa sababu walilijua hili mapema. Tabia za kulialia mziache lazima mjue hii ni vita
 
Matukio kama haya ndio yanampa hasira na uhalali Israel kujilinda dhidi ya madui zake,.
 
Kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah hawezi kuingia bila kupewa amri na mshia mwenzake amri jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya Irani, Ayatollah Ali khamenei, hivyo ngoja tuone atasema niny kesho, maana vita hii inaweza ikawa mbaya iwapo Hezbollah mtoto pendwa wa Irani akiingia kwenye vita hivi. Jamen vita ni mbaya sana tuombee hili lisitokee.
 
Hii vita tangu ianze sijawahi kupata taarifa sahihi, kila upande unavutia kwake
 
Wakat mwingine mtu unaamua Kukaa kimya sio kwamba umeshindwa kujibu Bali unaona unayejadiliana naye uelewa wake mdogo.
 
mwingine mtu unaamua Kukaa kimya sio kwamba umeshindwa kujibu Bali unaona unayejadiliana naye uelewa wake mdogo.
Nakukumbusha ulisema 6 day war zilipigwa nchi tano za Kiarabu na maeneo yao kuchukuliwa ,nikaweka ushahidi na kuomba ushahidi wako ukala kona sasa usitake kupotosha.

Nitafukua makaburi post zako kufichua ujinga wako.
 
Msiseme baadaye wanakufa wanawake na watoto. Maana hata Israel alipoamua kuwa hii Ni Vita walisema itachukua mda mrefu kaa sababu walilijua hili mapema. Tabia za kulialia mziache lazima mjue hii ni vita
Kesho wataanza kufa wanawake na watoto wa Israel na majumba kubomolewa,halafu utaona uzuri wake
 
Vita iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…