LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mwongo hao ni siyo Hamas, Hawa ni Hezbollah
Hezbollah bado hawajaanza mashambulizi kesho ndio Kiongozi wao at aongea kama wamo ama hawamo, so far Hezbollah Wamepiga piga tu radar na ngome za mpakani.

Hezbollah ni Habari nyengine vibomu vyao si vidogo ni midude inafumua fumua kama unavyoona Gaza na Tetesi wapo Armed na Vifaa vya Wagner.

In short Hezbollah akiingia Hio Vita itakua balaa.

There is a reason kwanini Usa anawaonya Hezbollah wasiingilie na sio Syria, ama Houth Yemen ama nchi nyengine.
 
Acha wabadilishe akili za Wana kondoo kuisifia Israel kibubusa,baada ya hii shughuli watu watajua Israel ni hakuna kitu kelele tu
Msiseme baadaye wanakufa wanawake na watoto. Maana hata Israel alipoamua kuwa hii Ni Vita walisema itachukua mda mrefu kaa sababu walilijua hili mapema. Tabia za kulialia mziache lazima mjue hii ni vita
 
Matukio kama haya ndio yanampa hasira na uhalali Israel kujilinda dhidi ya madui zake,.
 
Hezbollah bado hawajaanza mashambulizi kesho ndio Kiongozi wao at aongea kama wamo ama hawamo, so far Hezbollah Wamepiga piga tu radar na ngome za mpakani.

Hezbollah ni Habari nyengine vibomu vyao si vidogo ni midude inafumua fumua kama unavyoona Gaza na Tetesi wapo Armed na Vifaa vya Wagner.

In short Hezbollah akiingia Hio Vita itakua balaa.

There is a reason kwanini Usa anawaonya Hezbollah wasiingilie na sio Syria, ama Houth Yemen ama nchi nyengine.
Kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah hawezi kuingia bila kupewa amri na mshia mwenzake amri jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya Irani, Ayatollah Ali khamenei, hivyo ngoja tuone atasema niny kesho, maana vita hii inaweza ikawa mbaya iwapo Hezbollah mtoto pendwa wa Irani akiingia kwenye vita hivi. Jamen vita ni mbaya sana tuombee hili lisitokee.
 
Hii vita tangu ianze sijawahi kupata taarifa sahihi, kila upande unavutia kwake
 
Mimi Mr evidence, huwa nawakamataga watu wengi wanapofanya udanganyifu na upotoshaji ndio maana nakimbiwa coz wanajua huyu mwamba huwa akikosa mahali lazima awe na evidence na ukijaribu kushindana utadhalilika na kuonekana mjinga kama mwenzako Marco Polo alivyonikimbia baada ya kumpa KO kali.

Umefanya busara kubwaga manyanga maana ungeendelea ungekuja kudhalilika vibaya mno.
Wakat mwingine mtu unaamua Kukaa kimya sio kwamba umeshindwa kujibu Bali unaona unayejadiliana naye uelewa wake mdogo.
 
mwingine mtu unaamua Kukaa kimya sio kwamba umeshindwa kujibu Bali unaona unayejadiliana naye uelewa wake mdogo.
Nakukumbusha ulisema 6 day war zilipigwa nchi tano za Kiarabu na maeneo yao kuchukuliwa ,nikaweka ushahidi na kuomba ushahidi wako ukala kona sasa usitake kupotosha.

Nitafukua makaburi post zako kufichua ujinga wako.
 
Msiseme baadaye wanakufa wanawake na watoto. Maana hata Israel alipoamua kuwa hii Ni Vita walisema itachukua mda mrefu kaa sababu walilijua hili mapema. Tabia za kulialia mziache lazima mjue hii ni vita
Kesho wataanza kufa wanawake na watoto wa Israel na majumba kubomolewa,halafu utaona uzuri wake
 
Kuna vikundi vitatu au vinne vya Kipalestina huko chIni ya mwamvuli ,(command) ya Hizbullah.

Haijalishi ni nani katwanga, wote ni wapalestina.

Kimbembe kingine kinatokea kusini huko kwa wa Yemen. Saudi Arabia nayo inaonesha msimamo wa kuiunga mkono Palestina kwa kuwachia anga yao ipitishe misiles na drones za Wayemen kwenye anga yao bila kuzitunguwa na uwezo huo wanao.
Vita iendelee
 
FB_IMG_16987426568208993.jpg
 
Back
Top Bottom