Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Hahaaaaa, msalimie ostaz mwambie salamaleko ostazi. Wamekasirika baada ya jamaa kuandika Hamas wamekimbia na wanaogopa kwenda kuchukua mabikira 72 wenye macho ya gololi mapema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa, msalimie ostaz mwambie salamaleko ostazi. Wamekasirika baada ya jamaa kuandika Hamas wamekimbia na wanaogopa kwenda kuchukua mabikira 72 wenye macho ya gololi mapema.
Hahaaaaa, acha chuki bro na wapiga azana. Wafuasi wa mungu mfu wa kikuresh hawana mtetezi zaidi ya kujifariji huku mtandaoni kwa story za kuunga unga. allah kawakimbia watu wake, wanakula kichapo hatari.Wavaaa kobanzi mmeyakanyaga ha ha ha 😂😂😂😂😂 asa hyo ni Israel inawafuta kabisa siku mkijichanganya Kwa u.s.a mwenyewe... sijui itakuaje!!!!
Viva Israel maliza hao wapiga azana..
😁😁😁Hii hata ww unajua kbs kurani imejaaa porojo kuliko hata vitabu vya ushoga vilivyopigwa marufukuhadithi za kwenye makaratasi hizo hazina mashiko yoyote
JingaUna uwezo gani kupambana na majeshi ya Mungu?
Yeyote ambaye hakutoroka wakati walipopewa fursa, sasa analo, Gaza imekatwa vipande viwili, ni mwendo wa mapigo ya kiwaki waki.......
View: https://twitter.com/War_Mapper/status/1719823625719537831
si anaitwa Benjamin Netanyahu? Huyo baba wa Netanyahu si ndiyo muisrael, jina la mwana wa Yakobo?. Akina Netanyahu ni waisrael typically usishangae majina yao. Je ukisikia wale wenye majina ya kirusi si ndio utashangaa zaidi? Wengine hapa ni waafrika wabantu lakini tuna majina ya ulaya na uarabuni mbona hushangai?Kwahyo unataka kutuambia kuwa Benjamin ndo Netanyahu?? Yaani kumbe John linamaanisha Pombe eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2801938unawaongelea mayahudi hawa. Hizo propaganda unazopiga hunmu zinakusaidia nini humu? Kwa faida ya nani? Kwani wewe muyahudi?au ndio kafiri mwenzao?
UNAWEZA FANYA UJINGA NA MACHUKIZO MENGI KABISA LAKINI AKISHASEMA AMESEMA, UONI WA KIMUNGU SIO WA KIBINADAMU ANAYFAHAMU YA MIAKA MILIONI MOJA MBELE, JUU YA WATU WAKE,.Jeshi la Mungu?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]hebu acha matusi bhanaView attachment 2801452
Nilisoma sehemu leo mtaandamana, mtavaa mikanzu na kuandamana, jitahidini labda Myahudi atawaskliza maana amegoma kusikliza maandamano ya waarabu waliokua wanaandamana uzunguni, bado anaendelea kutembeza kichapo.
Amewatukuza Mwenyezi Mungu katika cheo, wale wapiganao katika njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali zao na nafsi zao kuliko waliokaa.(Quran)Bro una ubongo au kinyesi
Halafu kwani wewe ni mwarabu au ni pagazi wao tu ambaye bado anasumbuliwa na fikra za utumwa. Bure kabisa.View attachment 2801938unawaongelea mayahudi hawa. Hizo propaganda unazopiga hunmu zinakusaidia nini humu? Kwa faida ya nani? Kwani wewe muyahudi?au ndio kafiri mwenzao?