Proxy
WarHivi Gaza watoto ndio wanaoishi? watoto ndio wenye mji Gaza? acha muawawe wajinga sana, mlipewa tangazo mkajidai et nyieni ni Hamas wacha waone na wakipate, huyu Ritz na Kimsboy hawa hawana nia njema na watu wa Gaza
Najiuliza mikwara yote ya Iran ameshindwa nini kuingia vitani? Iran ni tatizo na lengo lake ni kupunguza nguvu Israel kwa kuunda makundi ila anachokiona ni shida, Israel ni wababe ila tuwaombee watu Gaza make sio wote walienda kubaka Israel