LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wavaaa kobanzi mmeyakanyaga ha ha ha 😂😂😂😂😂 asa hyo ni Israel inawafuta kabisa siku mkijichanganya Kwa u.s.a mwenyewe... sijui itakuaje!!!!

Viva Israel maliza hao wapiga azana..
Hahaaaaa, acha chuki bro na wapiga azana. Wafuasi wa mungu mfu wa kikuresh hawana mtetezi zaidi ya kujifariji huku mtandaoni kwa story za kuunga unga. allah kawakimbia watu wake, wanakula kichapo hatari.
 
Takbiiiiirrrrrrrr, umeshindwa kupambana na madhalimu ya kiislam yanayotawala Tanzania ambayo yamewafukuza wamasai na kugawa ardhi yao kwa waarabu na pia bandari zetu kwa waarabu ila unataka kupambana na Waisrael waliochukua nyumba ya wazee wa Kipalestina kwa kuokoteza picha za mtandaoni bila ushahidi wowote. Pumbavu kabisa wewe maamuma.
 
Wakati makelele yakizidi kuendelea kila siku sijui Hezbollah watawanyoosha, mara Yemen wametangaza vita, mara Iraq watarusha kombora, mara Iran sijui kafanyaje na kelele nyingine nyingi tu za syria, algeria siuji saudia n.k. Mimi huku nazidi tu kuona Al jazeera wao wakiendelea kutangaza israel kuzidi kufanya kufuru kimya kimya kila uchwao huko Gaza strip. Yani ni kelele tu za mbu kila siku lakini hata dalili za malaria bado hazionekani.
 
We kijana jifurahishe tu hizo ni fake news Israel hana uwezo huo.

We subiri tu utasikia Natanyahau anatolewa kwenye kiti.

Hamasi unadhani jeshi la kenya 😄
 
Kwahyo unataka kutuambia kuwa Benjamin ndo Netanyahu?? Yaani kumbe John linamaanisha Pombe eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
si anaitwa Benjamin Netanyahu? Huyo baba wa Netanyahu si ndiyo muisrael, jina la mwana wa Yakobo?. Akina Netanyahu ni waisrael typically usishangae majina yao. Je ukisikia wale wenye majina ya kirusi si ndio utashangaa zaidi? Wengine hapa ni waafrika wabantu lakini tuna majina ya ulaya na uarabuni mbona hushangai?
 
View attachment 2801938unawaongelea mayahudi hawa. Hizo propaganda unazopiga hunmu zinakusaidia nini humu? Kwa faida ya nani? Kwani wewe muyahudi?au ndio kafiri mwenzao?

Nilisoma sehemu leo mtaandamana, mtavaa mikanzu na kuandamana, jitahidini labda Myahudi atawaskliza maana amegoma kusikliza maandamano ya waarabu waliokua wanaandamana uzunguni, bado anaendelea kutembeza kichapo.
 
Nilisoma sehemu leo mtaandamana, mtavaa mikanzu na kuandamana, jitahidini labda Myahudi atawaskliza maana amegoma kusikliza maandamano ya waarabu waliokua wanaandamana uzunguni, bado anaendelea kutembeza kichapo.

Ndio haya?
 
Hii Vita imeleta mateso makubwa kwa raia wa kawaida wa Palestine.

Isitoshe Hamas imeshakuwa kama 'ideology' huwezi kuimaliza kijeshi pekee, sana sana itajijenga upya tena.

This war must stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…