LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Proxy
War
 
Narudia tena chuki zako za kidini peleka huko huko kwenu Kenya Tanzania hutofanikiwa
 
We kijana jifurahishe tu hizo ni fake news Israel hana uwezo huo.

We subiri tu utasikia Natanyahau anatolewa kwenye kiti.

Hamasi unadhani jeshi la kenya 😄
Ustaadh Hawawezi kuifanya Israel chochote, na kama wako tayari kweli waingie vitani basi
 
Nyie ni wataalamu wa mapicha picha, unaambiwa mfupa uliomshinda fisi, mbwa haiwezi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mtaangamizwa nyie, 7 oktoba mliangaamiza na allah akbar nyingi sana, je matokeo yake ni kilio na kusaga meno🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hakuna mbwa hapo wa kubweka mbele ya Simba wa Yuda, muulize Saddam, Anwar Sadat, Assad, etc 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ustaadh
Hawawezi kuifanya Israel chochote, na kama wako tayari kweli waingie vitani basi
We endelea kula matango kwa chai wenzako Israel wanalia huko kipigo wanacho pewa na Hamasi si America au Europe wemeweza kupunguza makali ya Hamasi.
 
Wayahudi na nguvu zao zote wakisaidiwa na mabwana zao wa Kamarekani, cha moto wanakiona:

Your browser is not able to display this video.
 
Israel wanajidanganya kuwa wanataka kuifuta Hamas wataishi kwa amani wanasahu Hamas ipo kwenye mioyo ya Wapelestina vita ndiyo kwanza inaanza.
 
vifaru vyao vya dola MILIONI 3 vinalipuliwa na maguruneti ya kujitengenezea nyumbani ya Hamas.😂
 
BREAKING: HAMAS SENDS MESSAGE TO FAMILIES OF ISRAELI PRISONERS - THEIR GOVERNMENT REJECTED A PRISONER EXCHANGE

"We offered your government a prisoner exchange, but it did not accept

This is our message: the release of all prisoners in exchange for the release of all Palestinian prisoners

To know the condition of all your prisoners, stay in touch with us"
 
Muda wa Israel kulaumiwa umefika. UN, Human Rights Watch, Save The Children na mashirika kibao ya haki za binadamu muda wao huu wa kuandika nyaraka nyingi.

Collateral damage itakuwa kubwa soon kuna watu watalalamika Israel ikijibu mashambulizi.
Ogopa kupigana na Watu ambao hawaogopi kifo tena.
Mwanamgambo wa Hamas abeba bomu na kulitega kwenye kifaru cha IDF.
 

Attachments

  • IMG_5710.jpeg
    23.2 KB · Views: 4
Sure umeandika sahihi eti Yesu ndio Issa na ni nabii halafu yupo mbinguni halaf mud ni mtume yeye yupo kuzimu hadi leo wanamswalia eti tumswalie mtume!
 
Unaamini hizi picha? Propaganda za vita .. Hizi usione kila kitu ukakiamini wanaojua ukweli waliopo ukanda wa Gaza. Hata wewe unaweza lala hapo chini mkajikusanya na wenzako kama 50 ikapigwa picha ionekane hata ninyi pia mnauawa huoni izo scene. Mtu anakuwa hana hata jeraha mtu wanamuona anavuja damu eti wanamuangalia tu..
 
Bibie ingia Telegram uone kinachofanywa kwa waarabu wako, utachukia sana yaani hata mimi nimejikuta naanza kuchukia.....
Halafu wewe ulipaswa uwe kwenye huu utumwa wa wanawake wa kiislamu, haupaswi kuwa unatupigia makelele humu
Hawa walifunikwa nguo nyeusi ni wafungwa au watumwa?
 
Ustaadh
Hawawezi kuifanya Israel chochote, na kama wako tayari kweli waingie vitani basi
Punguza mahaba sawa Mkuu vita sio swala la mchezo na usifikirie mossad walikua wapumbavu kutumia njia ya kuwaua wanasayansi wa nyuklia wa Irani, nasio kuvipiga vinu vyake vya nyuklia, hawa Hezbollah sio Hamas wanaopigana kwa kuvizia hawa ni full army napia Wana siraha Bora na wanapata sapoti kubwa kutoka Irani.

Benjamin Netanyau na serikali yake wanajua kuimaliza Hezbollah itakua vigumu bila kuishughulikia kwanza Irani. Hivyo tuombee huu mgogoro uishe kwa amani na Israeli iache kujitanua kwa kuminya ardhi ya wapalestina na kudharau Sheria za UN.
 
Aliyesema utamwacha Baba yako na mama yako nawe utaambatana na mkeo nanyi mtakuwa mwili mmoja huyo ndio Mungu. Hapo jamaa ana miili minne na kule Jannah miili 72 yani mafundisho ya mashetani kabisa.
Na ndiyo Mungu wa Yakobo(Israel) aliekuwa na Lea,Raheli,Zilpa na
Aliyesema utamwacha Baba yako na mama yako nawe utaambatana na mkeo nanyi mtakuwa mwili mmoja huyo ndio Mungu. Hapo jamaa ana miili minne na kule Jannah miili 72 yani mafundisho ya mashetani kabisa.
Na ndiye Mungu wa Yakobo (Israel ) aliekuwa na Lea,Rachel,Zilipa na Bilha!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…