Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
😂😂ndo maana huwa sihangaiki na habari zao huku,SBB ziko mbali na ukweli Wa kinachoendelea huko fieldWakati makelele yakizidi kuendelea kila siku sijui Hezbollah watawanyoosha, mara Yemen wametangaza vita, mara Iraq watarusha kombora, mara Iran sijui kafanyaje na kelele nyingine nyingi tu za syria, algeria siuji saudia n.k. Mimi huku nazidi tu kuona Al jazeera wao wakiendelea kutangaza israel kuzidi kufanya kufuru kimya kimya kila uchwao huko Gaza strip. Yani ni kelele tu za mbu kila siku lakini hata dalili za malaria bado hazionekani.
Mikwara bubuKumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.
Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!
Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon
Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.
Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo
Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
😂😂😂😂Nyie ni wataalamu wa mapicha picha, unaambiwa mfupa uliomshinda fisi, mbwa haiwezi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mtaangamizwa nyie, 7 oktoba mliangaamiza na allah akbar nyingi sana, je matokeo yake ni kilio na kusaga meno🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna mbwa hapo wa kubweka mbele ya Simba wa Yuda, muulize Saddam, Anwar Sadat, Assad, etc 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂Mikwara bubu
Dakika za kuangamizwa wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanasema wanahesabu DKK
Ngoja tuone
Na ndio wamebaki maskini duniani kote.Ni waislam wa Tanzania pekee ndio wanaamini Hamas atashinda hii vita kwengine kote wanaomba siraha ziwekwe chini
2006 waliwapiga Israel? Mpaka Marekani akaingilia kati na akaomba wakae Mezani, mbona mnasahau mapema hivi?Dogo unahangaika. Hao Hezbollah ni mara ya kwanza kukutana kwenye vita na Israel?. Unafikiri kwa kipigo kinachoendelea kwa hao mbwa Hamas unafikiri Hezbollah hawaogopi?. Wasingekuwa waoga wangeacha maneno kitambo wangeingia kuwasaidia vipedo wenzao.
Pia unakumbuka vile vita vya siku 6 Israel na mataifa yote yanaizunguka Israel? Vile vita vilimfanya power master wenu Egypt (Misri)asaini kutorudia tena kuichokoza Israel kivita. Kwa hiyo ujue Israel imejidhatiti vilivyo kwa yoyote atakaejipendekeza
Hii mijitu ni mishetani mikubwa. Mm nilifikiri wakati ISIS wanachinja waziwazi watu kule Syria na Iraq ingesituka na kuacha hii dini ya Kishetani. Kwa hapa tulipofika naona ni Yesu tu na malaika zake ndiyo watawaangamiza kama ilivyotokea kwa Pharao Misri.Sure umeandika sahihi eti Yesu ndio Issa na ni nabii halafu yupo mbinguni halaf mud ni mtume yeye yupo kuzimu hadi leo wanamswalia eti tumswalie mtume!
Inasikitisha lakini ndo ukweli kuwa:Kumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.
Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!
Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon
Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.
Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo
Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
bado wapo msikitini wamejifungia wanashauriana watoe au wasitoe tamko 😀Kwani yale masaa machache hayajaisha?
😂😂😂Wakiwa wamezungukwa na wamama na watoto sasa sijui wakishindwa itakuajebado wapo msikitini wamejifungia wanashauriana watoe au wasitoe tamko 😀
Hamas wana ndege siku hizi😂Wewe si unaju kandikia tu na Tecno yako huku umejificha chumbani ambao wako uwanja wa vita salamu wanazo unabisha kila kitu cha Hamas. Video zipo hillo bomu kalitega kisha akalipa na kombora ikitokea blast.
Nikwambie kitu ndg mtanzania mwenzangu.hapo wanaowashawishi si Iran? Kama hajui tuko wapi on the stream of time, hapa ndyo utajua. Iran kwa sababu ni Serikali ya Kidini kabisa ya kiislam, inakuwa ni kikwazo katika utimizo wa unabii wa Biblia. Saudia wao kwa sasa wako vizuri. Hivyo, Iran akijichanganya tu, huenda huo ndiyo ikawa mwisho wa Serikali ya kiislam huko Irani. Unabii wa Biblia wakati unatimia, huwa pale ambapo watu wengi wanafikiri haiwezekani. Mark my wordKumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.
Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!
Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon
Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.
Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo
Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
Marekani itaongeza maradufu misaada kwa Israel kuizuia Heboullah isijiunge na hivi Vita.Kumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.
Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!
Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon
Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.
Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo
Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
Msichokijua akina mwajuma ni kwamba Israel ni sawa marekani. Uliza wataalam wote wa teknorojia na vifaa vya kijeshi marekani ni Wa-israel kiasi kikubwa. Nyuma ya pazia marekani inaongozwa na Israel. Sasa ukisema marekani iliingilia kati. Kwa nini msipige nao wanaoingilia kati?. Au mwajuma ingilieni kati wote sasa hivi muone mnavyozungushwa2006 waliwapiga Israel? Mpaka Marekani akaingilia kati na akaomba wakae Mezani, mbona mnasahau mapema hivi?
Hii si toka Jana,bado 800m tu!?Yeyote ambaye hakutoroka wakati walipopewa fursa, sasa analo, Gaza imekatwa vipande viwili, ni mwendo wa mapigo ya kiwaki waki.......
View: https://twitter.com/War_Mapper/status/1719823625719537831
Hezbollah sio wanamgambo ni well trained Army, wanajua muda gani wa kupiga na muda gani wa kutulia, kama wamepewa benefit why waendelee na senseless war?Msichokijua akina mwajuma ni kwamba Israel ni sawa marekani. Uliza wataalam wote wa teknorojia na vifaa vya kijeshi marekani ni Wa-israel kiasi kikubwa. Nyuma ya pazia marekani inaongozwa na Israel. Sasa ukisema marekani iliingilia kati. Kwa nini msipige nao wanaoingilia kati?. Au mwajuma ingilieni kati wote sasa hivi muone mnavyozungushwa