LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wakati makelele yakizidi kuendelea kila siku sijui Hezbollah watawanyoosha, mara Yemen wametangaza vita, mara Iraq watarusha kombora, mara Iran sijui kafanyaje na kelele nyingine nyingi tu za syria, algeria siuji saudia n.k. Mimi huku nazidi tu kuona Al jazeera wao wakiendelea kutangaza israel kuzidi kufanya kufuru kimya kimya kila uchwao huko Gaza strip. Yani ni kelele tu za mbu kila siku lakini hata dalili za malaria bado hazionekani.
😂😂ndo maana huwa sihangaiki na habari zao huku,SBB ziko mbali na ukweli Wa kinachoendelea huko field
 
Kumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.

Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!

Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon

Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.

Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo

Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
Mikwara bubu
 
Nyie ni wataalamu wa mapicha picha, unaambiwa mfupa uliomshinda fisi, mbwa haiwezi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mtaangamizwa nyie, 7 oktoba mliangaamiza na allah akbar nyingi sana, je matokeo yake ni kilio na kusaga meno🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hakuna mbwa hapo wa kubweka mbele ya Simba wa Yuda, muulize Saddam, Anwar Sadat, Assad, etc 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Wanasema wanahesabu DKK
Ngoja tuone
 
Dogo unahangaika. Hao Hezbollah ni mara ya kwanza kukutana kwenye vita na Israel?. Unafikiri kwa kipigo kinachoendelea kwa hao mbwa Hamas unafikiri Hezbollah hawaogopi?. Wasingekuwa waoga wangeacha maneno kitambo wangeingia kuwasaidia vipedo wenzao.

Pia unakumbuka vile vita vya siku 6 Israel na mataifa yote yanaizunguka Israel? Vile vita vilimfanya power master wenu Egypt (Misri)asaini kutorudia tena kuichokoza Israel kivita. Kwa hiyo ujue Israel imejidhatiti vilivyo kwa yoyote atakaejipendekeza
2006 waliwapiga Israel? Mpaka Marekani akaingilia kati na akaomba wakae Mezani, mbona mnasahau mapema hivi?
 
Hawa wanaojiita wanaharakati wa haki za binadamu huko ulaya magharibi na US ni wanafiki na wabaguzi tu.

Wakiuawa Wapalestina kwa maelfu kwao ni sawa Ila wakiuawa wazungu wenzao ni ugaidi.

Sure umeandika sahihi eti Yesu ndio Issa na ni nabii halafu yupo mbinguni halaf mud ni mtume yeye yupo kuzimu hadi leo wanamswalia eti tumswalie mtume!
Hii mijitu ni mishetani mikubwa. Mm nilifikiri wakati ISIS wanachinja waziwazi watu kule Syria na Iraq ingesituka na kuacha hii dini ya Kishetani. Kwa hapa tulipofika naona ni Yesu tu na malaika zake ndiyo watawaangamiza kama ilivyotokea kwa Pharao Misri.
 
Attachments

  • F9Ojc4VagAEb5Ef.png
    F9Ojc4VagAEb5Ef.png
    147.2 KB · Views: 5
Kwa kadiri
Kumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.

Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!

Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon

Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.

Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo

Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
Inasikitisha lakini ndo ukweli kuwa:

washauwawa wapalestina zaidi ya 9,000 na Israel naamini wakati hezbollah wanatoa tamko itakuwa wapalestina wengine zaidi wameuwawa, kwa kifupi kwa kadiri matamko na laana kwa israel zinavyoongezeka ndivyo gaza inavyosagwa na wapalestina wengi zaidi wanauwawa kwa hiyo laana, matamko hayana msaada kwa wapalestina.
 
Wewe si unaju kandikia tu na Tecno yako huku umejificha chumbani ambao wako uwanja wa vita salamu wanazo unabisha kila kitu cha Hamas. Video zipo hillo bomu kalitega kisha akalipa na kombora ikitokea blast.
Hamas wana ndege siku hizi😂
Unaweza ID hiyo vehicle iliyoshambuliwa na lini imeanza kutumiwa na IDF ground forces.

Na hivi huoni hiyo attack ni ya ndege. Na huoni hiki unachoonyesha hapa ni tofauti na kile ulichoonyesha pale kwenye video iliyopita.
 
Kumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.

Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!

Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon

Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.

Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo

Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
Nikwambie kitu ndg mtanzania mwenzangu.hapo wanaowashawishi si Iran? Kama hajui tuko wapi on the stream of time, hapa ndyo utajua. Iran kwa sababu ni Serikali ya Kidini kabisa ya kiislam, inakuwa ni kikwazo katika utimizo wa unabii wa Biblia. Saudia wao kwa sasa wako vizuri. Hivyo, Iran akijichanganya tu, huenda huo ndiyo ikawa mwisho wa Serikali ya kiislam huko Irani. Unabii wa Biblia wakati unatimia, huwa pale ambapo watu wengi wanafikiri haiwezekani. Mark my word
 
Kumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.

Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!

Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon

Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.

Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo

Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
Marekani itaongeza maradufu misaada kwa Israel kuizuia Heboullah isijiunge na hivi Vita.
 
2006 waliwapiga Israel? Mpaka Marekani akaingilia kati na akaomba wakae Mezani, mbona mnasahau mapema hivi?
Msichokijua akina mwajuma ni kwamba Israel ni sawa marekani. Uliza wataalam wote wa teknorojia na vifaa vya kijeshi marekani ni Wa-israel kiasi kikubwa. Nyuma ya pazia marekani inaongozwa na Israel. Sasa ukisema marekani iliingilia kati. Kwa nini msipige nao wanaoingilia kati?. Au mwajuma ingilieni kati wote sasa hivi muone mnavyozungushwa
 
Hezbollah sio wanamgambo ni well trained Army, wanajua muda gani wa kupiga na muda gani wa kutulia, kama wamepewa benefit why waendelee na senseless war?

Pia Israel ndio anatumika na sio vice versa, Israel ni Tool of power ya US, ingekuwa ni state ya kiyahudi kama mnavyodanvanyana wasinge tembea mkong'oto kwa Wayahudi wabaofuata dini.
 
Back
Top Bottom