LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kudanganyana na nani? Siku hizi mambo yako open tu?. Labda vile unavyotaka uaminiwe wewe. Hivyo vita mtachezea kwa israel
 
Duh.

Na wewe bado unazo hizi hadithi 🤣🤣
 
Wewe kwa akili yako hao wanamgambo wanaweza kitu.
MWANZO ULISEMA OOOH IDF WANAOGOPA KUINGIA GAZA NA SASA UPO KIMYA🤣🤣😂😂😂
Umehamia kwa mgambo wa kiarabu huko Lebanon.
NB:TOKA 1967 TIMEZOEA NGONJERA ZA WARAABU
 
Mgambo tu na mbona hawajachukua hata sentimita moja ya nchi ya wayahudi
 
Hizboollah ni kati ya makundi ya kigaidi ambao ni waoga wa kiwango cha lami.....
hawawezi fanya kitu kazi yao ni kubwekabweka tu
 
nyie mafala halafu baadae mje tena na #freepalestine
mnaanza choko choko nasema mpigwe tu mpaka mchakae!
 
Tatizo lako unajifanya unajua kila kitu😂
 

Attachments

  • twidown.mp4
    17.6 MB
Hapo hamna kitu bomu limefanya, tank armour inabidi kuwa penetrated sio kuwekewa blast. Na hakuna anayeogopa kupigana nao, ndio maaana wamefuatwa. Unamuogopaje mtu alafu unaenda kwake kumpiga.
Angalia jamaa zako wahaamisha vifaru baada ya bakora😂
 

Attachments

  • twidown.mp4
    527.2 KB
Cha kushangaza Mungu ndiyo kamuumba huyo mnyama ili apate sababu ya kuwachoma watu aliowaumba, hivi huwa najiuliza Kwanini Mungu alituumba???????
 
🚨BREAKING: ATTACK FROM IRAQI TERRITORY ONTO ISRAEL | FIRST TIME SINCE 1990s

ISLAMIC RESISTANCE IN IRAQ SHOOTS ISRAELI TARGETS IN DEAD SEA

STATEMENT BY THE ISLAMIC RESISTANCE IN IRAQ:

"In the name of God, the most gracious, the most merciful

Permission has been given to those who fight because they have been wronged. And indeed, God is Able to grant them victory

In support of our people in Gaza, and in response to the massacres committed by the usurping entity against Palestinian civilians, including children, women and the elderly, the Mujahideen of the Islamic Resistance in Iraq targeted, at dawn today, a vital target for the Zionist entity on the coast of the Dead Sea. The Islamic Resistance confirms that it will continue to destroy enemy strongholds.

Victory is only from God. Indeed, God is Mighty, All-Wise"

MY THOUGHTS:

With the Houthis launching missiles against Israel and threatening more, constant attacks on US bases, warnings by Iran and their proxies, and the reports that Hezbollah and Iran warned U.S that Israel must cease attacks by Friday, this is yet another example of escalations by the 'Axis of Resistance.'

With the report of Netanyahu considering a 'temporary truce', seems Iran is pressuring Israel to pause hostilities otherwise they will escalate.

Things are heating up.

Source: Hezbullah TG
 
Hoja fikirishi hii...

zitto junior
 
Jeshi la mungu nlipambana na magaidi.
 

Attachments

  • IMG_5753.jpeg
    81.6 KB · Views: 5
Cheka na hii..

Mtaokoteza mapicha ila sisi tunafuatilia live, na kuna mapicha ukiangalia kule Telegram aisei utalipuka mabomu....
Hivi leo mliandamana na mikanzu yenu?
 
Ukiona hivi ujue maji yamefika shingoni IDF piga mbwa hao .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…