Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Hapa sio mahali pake lakini umeandika mambo ya ajabu kabisa, kwani mkuu torati na injili vilikuja kwa lugha ya kiarabu?! maana ya Allah unaijua?! au unatanguliza chuki tu mbele, nabii issa amani iwe juu yake atakuja kabla ya siku ya qiyamah na hatokuja na sheria yake bali atakuja kufuata kilichopo sasa hivi, na usichokijua kwenye injili na torati kuna bishara ya kuja mtume muhammad swala na salaam ziwe juu yake, na nabii issa aliwaeleza wanafunzi wake kuwa atakuja mtume baada yake na jina lake ni ahmad.Tatizo nyinyi Waislam kila kitu mlikuja kudanganywa na Mtume, Mungu wa kweli Yahweh nyinyi Mtume akawambia na Allah, ambaye ni mungu mpagani, baba wa Mtume, alikuwa mpagani akiwa na Jina Abdullah (hapo pana ALLAH akiwa ni mungu wake wa kipagani)
Yesu kwa kiarabu ni Yesuha Mtume aliyekuja miaka 600 akawadangaya ati ni ISSAH, tena ati baba yake ni Imran (wakati Imran alikuwa baba wa mussa)
Yesu alikufa na kufufuka nyinyi Mtume akawadangaya ati aliyetundikwa na kufa ni mtu mwingine. Mtume pia akawadangaya yeye ndiye Mtume wa mwisho, na hiyo ikimaanisha hata ubara, wakati huo huo akijichanganya kuwa ISSAH alikuwa PURE, NA KWAMBA ISSAH ALINYAKULIWA MBINGUNI AMBAKO MBAKA SASA YUKO HAI NA MUNGU; NA NI ISSAH NDIYO ATARUDI SIKU YA KIYAMA. Yeye Mtume alikufa na mpaka mwili ukaanza kuoza. sasa hapo hajiulizi tu kuwa nani YUKO juu ya mwingine.
Yaani mmejaa Uongo na hadithi za kuunga unga tu. Sishangai kwa sababu mnamtumikia yule Shetani MKUBWA mwenyewe- Allah, ambaye ndiyo alimdanganya Ibilisi Quran 15:39
Vita ya Ukraine imefikia hatua inaitwa Stalemate.Mkuu mbona uliacha kutuletea video za vita ya Ukraine?
Duniani hakuna watu wakatili kama Wayahudi, hadi Waislam wanaamini kuna Malaika mtoa roho anaitwa IsraelOgopa kupigana na Watu ambao hawaogopi kifo tena.
Mwanamgambo wa Hamas abeba bomu na kulitega kwenye kifaru cha IDF.
Unaniangusha asee wewe inabidi uwe t34 kwa sasa😂😂Hapo hamna kitu bomu limefanya, tank armour inabidi kuwa penetrated sio kuwekewa blast. Na hakuna anayeogopa kupigana nao, ndio maaana wamefuatwa. Unamuogopaje mtu alafu unaenda kwake kumpiga.
Niunge huko telegram mkuuMtaokoteza mapicha ila sisi tunafuatilia live, na kuna mapicha ukiangalia kule Telegram aisei utalipuka mabomu....
Hivi leo mliandamana na mikanzu yenu?
Mkuu T-34 iheshimiwe kabisa usiilinganishe na hii T-14 ya Shoigu ambayo hata powerplant hawaiamini.Unaniangusha asee wewe inabidi uwe t34 kwa sasa😂😂
Hili jamaa Lina sura ya kazi sana Hamas wameingia choo Cha manyampara lazima washughulikiwe vilivyo.IDF Chief of Staff Halevi: If Hezbollah drags us into fighting, the IDF will deliver a fire blow that has never been seen before in the world.
Nawatamani hao Hezbollah waje, vita ipigwe iishe tujue moja. Sio leo Israel wapigane na Hamas na siku zijazo wapigane na Hezbollah. Haya makundi yapigwe Iran ibaki yenyewe.
Israeli Defense Minister Yoav Gallant: We have unique solutions to reach all the tunnels and dismantle them underground, we are ready to do itView attachment 2802510
Sijui ni kwa gesi ya sumu, flamethrowers, mafuriko au mabomu. Maandaki yatapigwa.
"We have powerful firepower in our hands. We will know how to use it against any enemy that challenges the State of Israel." Israel Air Force chief, General Tomer Bar
Hapa sio mahali pake lakini umeandika mambo ya ajabu kabisa, kwani mkuu torati na injili vilikuja kwa lugha ya kiarabu?! maana ya Allah unaijua?! au unatanguliza chuki tu mbele, nabii issa amani iwe juu yake atakuja kabla ya siku ya qiyamah na hatokuja na sheria yake bali atakuja kufuata kilichopo sasa hivi, na usichokijua kwenye injili na torati kuna bishara ya kuja mtume muhammad swala na salaam ziwe juu yake, na nabii issa aliwaeleza wanafunzi wake kuwa atakuja mtume baada yake na jina lake ni ahmad.
Kama unayo injili tizama utakuta maneno hayo.
Mkuu wakati mwingine tuone aibu kuwekeza ushabiki kwenye uongo, hiyo picha umeikagua vizuri na ukaiona iko sawa kweli? Msipumbazwe na editing.Cheka na hii..
Bado tu tamko Mkuu?Kumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.
Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!
Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon
Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.
Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo
Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
Bado tu hizo dakika hazijatimia tupate update mpya?Tuhesabu dakika sasa
Sura ya kazi kuuwa watoto.Hili jamaa Lina sura ya kazi sana Hamas wameingia choo Cha manyampara lazima washughulikiwe vilivyo.
Hao Hamas wako wapi?Sura ya kazi kuuwa watoto.
HEZBOLLAH wakifa wewe unaumia nini? Toka loni kafiri akawa na huruma na Waislam😂Kuna watu wengine ni janga Kwa kweli naangalia live hapa raia wa Lebanon wakiwemo wakina mama, vikongwe na watoto wadogo wamekusanyika eti wanasubiri tamko la Kiongoz wa Hezbollah hapo baadae wenyewe wanadai Wana Imani jamaa atatangaza kuingia vitani rasmi na Israel sasa unabaki kujiuliza hivi Hawa Wana akili kweli? Maana ikitokea hiyo vita yanageuka Yale Yale ya Gaza raia wasiokuwa na hatia kuuliwa, inasikitisha sana ningekuwa ndio mm nimeona hizi ishara natokmea zangu mbali kabisa na familia yangu.
Hizbollah wakifa mm siwaonei huruma hata kidgo ila wanapokufa raia wasiokuwa wanamgambo lazima niumie, Gaza Kila nikiona watoto, kina mama , vikongwe vinauliwa na IDF kwa ujinga wa watu wachache nasoneneka sana ni roho ya kawaida tu ya kibinadamu.HEZBOLLAH wakifa wewe unaumia nini? Toka loni kafiri akawa na huruma na Waislam😂