LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wewe punguani kweli hizo propoganda kawaeleze mabasha zako kama ndiyo basi hao Hamas wangekuwa wameishakufa wote kama wanatumia raia kama ngao, wanapiga shule, hospitali, Kambi za wakimbizi, wanavunja majengo nikuulize wewe punguani maiti za Hamas zipo wapi, Hamas wanajulikana walipo mabasha wenu leo wiki ya tatu kila wakiingia wanakutana na kichapo hasira za mabasha zenu wanakwenda kupiga shule na kusingizia Hamas wapo mashoga kama nyie mnashikiwa akili.
 
Hizbollah wakifa mm siwaonei huruma hata kidgo ila wanapokufa raia wasiokuwa wanamgambo lazima niumie, Gaza Kila nikiona watoto, kina mama , vikongwe vinauliwa na IDF kwa ujinga wa watu wachache nasoneneka sana ni roho ya kawaida tu ya kibinadamu.
Acha unafiki wewe.
 
Yaani hyo hotuba inasubiri kwa hamu na netanyau kuliko hata hezbollah maana leo hata chakula hakipiti mdomoni hamu ya kula hana
Bora Hata usisubiri mtoa post mshia hajielewo,msikiti hapo ulikombolewa na maswahaba ambao kwao mashia ni maadui inakuingia akilini mashia wakautetee hapo?

Dola ya majusi(Itan)Ilivunjwa Na Swahaba Ummar Ibnu Khataab)
WAPALESTINA Walikombolewa na Ummar Ibnu Khataab)
KWELI MASHIA WANA UCHUNGU NA WAPALESTINA?
 
Yaani hyo hotuba inasubiri kwa hamu na netanyau kuliko hata hezbollah maana leo hata chakula hakipiti mdomoni hamu ya kula hana
Bora Hata usisubiri mtoa post mshia hajielewo,msikiti hapo ulikombolewa na maswahaba ambao kwao mashia ni maadui inakuingia akilini mashia wakautetee hapo?

Dola ya majusi(Itan)Ilivunjwa Na Swahaba Ummar Ibnu Khataab)
WAPALESTINA Walikombolewa na Ummar Ibnu Khataab)
KWELI MASHIA WANA UCHUNGU NA WAPALESTINA?
 
Wakimjibu kiongozi wa kundi la kigaidi la Hezbollah Jeshi la Israeli linasema lipo tayari kujibu mashambulizi kama Hezbollah itaamua itaiingiza Lebanon kwenye maangamizi..

Habari kamili
IDF inasema 'imetumwa na iko tayari' karibu na mpaka wa Lebanon
Hapo awali tuliripoti kwamba jeshi la Israeli lilisema wako kwenye "tahadhari ya juu sana" kwenye mpaka wa kaskazini wa Israeli na Lebanon.
Kabla ya hotuba iliyopangwa hivi karibuni kutoka kwa mkuu wa Hezbollah, msemaji wa jeshi la Israel Lt Kanali Richard Hecht alisema Jeshi la Ulinzi la Israel "limetumwa na liko tayari" kaskazini, na kuongeza "tuko katika mkao wa kujihami".

"Tunawaambia "Tunawaambia watu wa Lebanon - msitoe dhabihu mustakabali wenu kwa Hamas."

Kwa wale wa lugha ya mabasi ya njano ni hivi:-

IDF says it is 'deployed and ready' near Lebanon border
Earlier we reported that Israel's military said they are on "very high alert" along Israel's northern border with Lebanon.

Ahead of a speech planned shortly from the head of Hezbollah, Israeli military spokesman Lt Col Richard Hecht said the Israel Defense Forces are "deployed and ready" in the north, adding "we are in a defensive posture".

"We’re saying to the Lebanese people - don’t sacrifice your future for Hamas."
 
Vita ni gharam mkuu junazia kwenye uchumi na mambo mengine
 
Lugha unayotumia inahakisi uwezo wako wa kufikiri ila sishangai maana hivi ndivyo mnavyofundishwa huko kwenye madrasa,

IDF wapige picha maiti za Hamas wamtumie nani? Kwanza watawapiga picha maiti wangapi? Hizo kazi Huwa zinafanywa na vikundi vya kihuni kama hao Hizbollah , Hamas, Alshabaab, Boko Haram etc ili kuwahadaa majuha kama nyinyi IDF Wao wanakurushia tukio tu kwamba pale Kuna Ngome ya Hamas na tumeilipua inatosha, na lengo ni kukamilisha mission sasa utajuaje imekamilika ndio usubiri mpaka mwisho wa operation Iron sword
 
Kama wewe ulivyondishwa ushoga Kanisani yaani wewe ndiyo umeanza kutumia lugha za kipuuzi kwangu kukiujibu unaanza kulia lia. Usiwe punguani nakuambia tena unasema Hamas wanatumia raiq
Kama ngao hao Hama hatuwaoni?
 
Mfasiri kuna maneno hasemi.
Hamna point ya maana Nasrallah kasema. Najua mashabiki zake watakuwa disappointed, hata onyo lake ni jepesi. Eti Israel ikiendekeza escalation mambo yatakuwa mabaya zaidi. Nilitarajia atangaze vita sasa.

Mwanzoni walitangaza Israel ikiingia Gaza wanaishambulia. Leo siku kadhaa majeshi ya Israel yapo Gaza na Hezbollah bado hawajaanzisha vita bali mashambulizi mpakani. Na wapiganaji wa Hezbollah zaidi ya 50 wameuliwa mpaka sasa.

Nimetazama Aljazeera mwanzoni nilitaka kutumia Press TV nikahisi Iranians watatia chumvi. Aljazeera huwezi sema hawajui Kiarabu au watatafsiri vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…