LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mnafuatiliia mabomu yanavyopiga watoto na shule sasa mabwana zenu wanapiga mabomu mpaka magari ya wagonjwa eti Hamas wamo humo wakiambiwa waonyeshe ushahidi hamna.

Hao mabwana zako HAMAS walichokoza kisha wakaingia kwenye mahandaki na kuacha watoto huko juu, msichokijua nyie ni kwamba mlipaswa muendelee kuchinja Wakristo lakini kwa Myahudi mkae mbali naye, yule ni balaa nyingine, hana huruma, anafyatua chochote chenye pumzi bladiwahed.
 
Sisi tunapiga kila gaidi, awe mtoto,mwanafunzi etc.
Danny Yatom, former head of the Mossad, in an article today in Yedioth Ahronoth:


What is happening? Has the Lord of Moses and Aaron abandoned us? I don't understand what's going on?


An Israeli-made Merkava tank, the pride of Tel Aviv's industry, costing $170 million, was wiped off the face of the earth by an RPG? I do not believe that!


Was this steel fortress tank destroyed by an


RPG? Has anyone seen that when our tank was hit by this shell, the ground shook and the tank exploded as if it had been hit by a bomb weighing a ton of stores? I do not believe that. Who fights with them? Who fights with them?


There are hidden ghosts that help them kill the Jews. Did the Lord of Moses and Aaron abandon us? There is a hidden force that helps them and fights with them. Since October 7, they have not missed the target in their attacks on us throughout Palestine, as if they had a satellite. Unfortunately, the end of the State of Israel is definitely approaching!
 
Hao Hizbollah Iko siku wataipindua hiyo serikali ya Lebanon
Washia ndio adui namba moja hapo Mashariki ya kati.

Karibu nchi zote hapo Mashariki ya kati zipo kwenye vita na makundi ya Kishia.

Hao Houthi juzi tu walikuwa wanarusha Makombora na drones Saudia Arabia na hata kesho wakiamua wanafanya hivyo
 
Aaaah,umemaliza kazi " Ujerumani ile ilikua na maafisa classic " huwa naangalia sana documentary za wanazi unachosema ni sahihi kabisa Adolf alileta ujuaji tu ila angewaamini maofisa wake ingekua tunachat kijerumani tu hapa
 
Military doctrine ya majeshi ya magharibi (ambayo Israel hutumia pia) inategemea mno 'air power'.
Kwa sababu anga ni eneo lenye usalama mdogo zaidi (vulnerable) kwa nchi kuliko maeneo mengine. Kutokana na hilo, air superiority ni nyenzo muhimu zaidi ya utekelezaji wa majukumu ya kivita/kijeshi kuliko zote.
 
Ambulance iliyobeba magaidi wa Hamas huko Gaza yashambuliwa na Vikosi vya Israeli πŸ€”
Mytake:Kama raia wanashirikiana na magaidi na Wao ni sehemu ya magaidiπŸ€”
Aljazeera inadai Israeli itoe ushahidi ni upuuzi, Israeli iendelee kuiamini intelejensia yake na kufyeka vikundi vya kigaidi huko Gaza πŸ€”
.....
 
Chanzo ALJAZEERA.
Vita inayo endelea huko Gaza takwimu zinaonyesha kila baada ya dakika 10 mtoto mmoja anakuwa ameuwawa na Majeshi ya Israeli. hali inatisha, kinacho endelea sasa ni mauaji ya watoto na raia wasio na hatia, huu ni uhalifu mkubwa wa kivita.

Israeli wanapaswa wasitishe haraka unyama huu.
 
unajua ukifuatilia siasa za mataifa ya kiarabu utashangaa Sana πŸ˜…πŸ˜….
Yaani kule utakuta hiyo hizbollah ni chama Cha siasa na kimesajiliwa na kinashiriki uchaguzi lakini wakati huohuo ni kikundi Cha kijeshi na kinamiliki siraha . Tena inafikia Hadi kikundi Cha kijeshi kinakua na nguvu ya kijeshi kuzidi jeshi la nchi. Yaani chukulia CHADEMA wawe na jeshi na lina nguvu kuzidi JWTZ πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Huyu hapa chini ni waziri nchini Afghanistan na hapo Yuko ofisini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hao Hizbollah Iko siku wataipindua hiyo serikali ya Lebanon
 
Kwa sababu anga ni eneo lenye usalama mdogo zaidi (vulnerable) kwa nchi kuliko maeneo mengine. Kutokana na hilo, air superiority ni nyenzo muhimu zaidi ya utekelezaji wa majukumu ya kivita/kijeshi kuliko zote.
Kwa nchi zisizo kuwa na air defenses ndio salama (mf Gaza).

Ila kwa wengine wenye kujimudu anga haliwezi kuwa salama kihivyo.
 
Kama ni wewe uliyepo kwenye avatar njoo PM, kuna Oustadh anatafuta mke, tena kama uki convert kuwa muislamu anakupa nyumba.
Huyo oustadh aende akapigane na Israel na ikitokea amekufa vitani, atakutana na offer ya wanawake 72 wasiotokwa na damu za hedhi huko ahera.
 
Ndio sababu ya ufisadi na udumavu wa nchi umeendelea toka tujitawale kwakujazwa serekalini wapuuzi wanaodanganywa kwenye nyumba zao za ibada kuwa wamesoma zaidi kuliko waislamu!!
Athari ya kusoma kwenu ni ipi?
Mchango wenu kwa nchi ni upi?
Zaidi ya ufisadi na kushabikia ushoga,kuna kipi kizuri mmekifanya kwa ajili ya nchi hii?

Mnaweza kweli kuwa mmesoma lakini hamkuelimika.
Jifunzeni kwanza tafauti ya "kusoma" na "kuelimika"
 
Unasikia ustaadh uwa mimi sipendi ligi na wewe, Hezbollah ni kundi la kidini nielewe tatizo lako moja tu ni elimu, hivi kundi la shia hata wasuni hawapo pale, sasa unashupaza shingo ya nini?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waparestina, (Philistia & Phoenicia) hii si nchi yetu acheni fix zenu - mliishi miaka nenda rudi kama walinzi ila sasa wenyewe walirudi rasmi.

Ramani hii inaonyesha namna Israel ilivyogawanyika sehemu mbili yaani Kaskazini makabila 10 (ISLAEL) na Kusini makabila 2 (YUDA) baada ya machukizo ya wenyezi Mungu wakati wa utalawala wa Suleimani kukengeuka.

Baadaye machukizo kwa Mwenyezi Mungu yakazidi na Taifa lote likasambaratika likaenda utumwani Babel, nchi ikabakia wazi - ndipo hao wavamizi wakajichukulia ardhi kuzaa na kuzaana.

Kipande cha wafilisti aka Waparestina unakiona hapo ndg msomaji.




 
Inafikirisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…