mozilla
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 770
- 1,222
Waparestina, (Philistia & Phoenicia) hii si nchi yetu acheni fix zenu - mliishi miaka nenda rudi kama walinzi ila sasa wenyewe walirudi rasmi.
Ramani hii inaonyesha namna Israel ilivyogawanyika sehemu mbili yaani Kaskazini makabila 10 (ISLAEL) na Kusini makabila 2 (YUDA) baada ya machukizo ya wenyezi Mungu wakati wa utalawala wa Suleimani kukengeuka.
Baadaye machukizo kwa Mwenyezi Mungu yakazidi na Taifa lote likasambaratika likaenda utumwani Babel, nchi ikabakia wazi - ndipo hao wavamizi wakajichukulia ardhi kuzaa na kuzaana.
Kipande cha wafilisti aka Waparestina unakiona hapo ndg msomaji.
View attachment 2803746
Naomba kukuliza swali ndugu,
Ingetokea watu waje waseme kipande chote cha mikoa ya arusha na kilimanjaro ni chao kisa kuna kitabu kimeandika ivyo, wew kama mtanzania mzalendo ungekubaliana na hilo jambo?
Na fahamu mababu zetu kina mkwawa, kinjekitile, mangi, etc waliuwawa kwasababu ya kupigania ardhi yao? Wazungu wa wakati ule waliwaona hawa mababu zetu ni magaidi tu kwa mtazamo wao ndio maana waliwaua
N.B
Mimi ni mkristo kama wewe