LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Waparestina, (Philistia & Phoenicia) hii si nchi yetu acheni fix zenu - mliishi miaka nenda rudi kama walinzi ila sasa wenyewe walirudi rasmi.

Ramani hii inaonyesha namna Israel ilivyogawanyika sehemu mbili yaani Kaskazini makabila 10 (ISLAEL) na Kusini makabila 2 (YUDA) baada ya machukizo ya wenyezi Mungu wakati wa utalawala wa Suleimani kukengeuka.

Baadaye machukizo kwa Mwenyezi Mungu yakazidi na Taifa lote likasambaratika likaenda utumwani Babel, nchi ikabakia wazi - ndipo hao wavamizi wakajichukulia ardhi kuzaa na kuzaana.

Kipande cha wafilisti aka Waparestina unakiona hapo ndg msomaji.

View attachment 2803746

Naomba kukuliza swali ndugu,

Ingetokea watu waje waseme kipande chote cha mikoa ya arusha na kilimanjaro ni chao kisa kuna kitabu kimeandika ivyo, wew kama mtanzania mzalendo ungekubaliana na hilo jambo?

Na fahamu mababu zetu kina mkwawa, kinjekitile, mangi, etc waliuwawa kwasababu ya kupigania ardhi yao? Wazungu wa wakati ule waliwaona hawa mababu zetu ni magaidi tu kwa mtazamo wao ndio maana waliwaua

N.B
Mimi ni mkristo kama wewe
 
Waparestina, (Philistia & Phoenicia) hii si nchi yetu acheni fix zenu - mliishi miaka nenda rudi kama walinzi ila sasa wenyewe walirudi rasmi.

Ramani hii inaonyesha namna Israel ilivyogawanyika sehemu mbili yaani Kaskazini makabila 10 (ISLAEL) na Kusini makabila 2 (YUDA) baada ya machukizo ya wenyezi Mungu wakati wa utalawala wa Suleimani kukengeuka.

Baadaye machukizo kwa Mwenyezi Mungu yakazidi na Taifa lote likasambaratika likaenda utumwani Babel, nchi ikabakia wazi - ndipo hao wavamizi wakajichukulia ardhi kuzaa na kuzaana.

Kipande cha wafilisti aka Waparestina unakiona hapo ndg msomaji.

View attachment 2803746
Hii ni ramani ya zamani sana kabla hata ya uhamisho wa kwenda Babeli na kabla hata ya Kristo (BC).

Hao Waebrania wa kale walikuwa 'wazungu' wenye asili ya Europa kama hawa waliopo sasa ?

zitto junior Mathanzua
 
Proved Waebrania or Hebrews hawajawahi kuwa na asili ya Europe,anybody who claims to be a Hebrew and is from Europe is a liar.Hebrews asili yao ni Middle East,from the East coast of the Mediterranean Sea all the way to the Tigris and Euphrates rivers.Hawa akina Natanyahu ni Kazarians mimicking as Hebrews for their evil agenda.Nimeshazungumzia agenda yao sana kwa hiyo nadhani hakuna haja tena.

Fuata link ifuatayo uone origin ya Khazars or Khazarians akina Natanyahu,sio Hebrews kabisa,ni matapeli tu.

Proved Waebrania or Hebrews hawajawahi kuwa na asili ya Europe,anybody who claims to be a Hebrew and is from Europe is a liar.Hebrews asili yao ni Middle East,from the East coast of the Mediterranean all the way to the Tigris and Euphrates rivers.Hawa akina Natanyahu ni Kazarians mimicking as Hebrews for their evil agenda.Nimeshazungumzia agenda yao sana kwa hiyo nadhani hakuna haja tena.
Sasa hawa Ashkenazi jews ni waongo ?
 
Sasa hawa Ashkenazi jews ni waongo ?
AshkeNazi Jews ni hao hao Khazarians Proved.Jamaa hawa wana uwezo mkubwa wa ku-mimick other races.They have taken up European identity,it be German or even American identity,let alone Jewry.Historia yao ni mbaya sana,ndio maana wanajificha.
 
Kwa nchi zisizo kuwa na air defenses ndio salama (mf Gaza).

Ila kwa wengine wenye kujimudu anga haliwezi kuwa salama kihivyo.
Usalama ninaosema ni wa mwenye airspace. Hata kama kuna air defenses, bado kuna uwezekano mkubwa wa airspace kukiukwa na adui, ukilinganisha na ukiukwaji wa mipaka ya aina nyingine.

Hapo kwenye urahisi wa kukiuka airspace ya adui ndipo panapoipa air superiority ubora zaidi kuliko nyenzo nyingine za kijeshi.
 
Abu Obeida added that Hamas fighters destroyed 24 Israeli vehicles during the past 48 hours, stressing that the Israeli enemy will be certainly defeated in this battle.
Mtulie Sasa muache kelele kwamba Israel inaua watoto na wanawake, kwani wanaume wameenda wapi? Na kwanini wakimbie na kuacha wanawake na watoto? Hamas hawakuchagua walipovamia Israel, kwanini nyie muwachagulie namna ya kupambana na Hamasi? Uzuri Israel anajua janja janja za Hamas na wanaounga mkono magaidi, ndo maana anafumua Kila sehemu ambapo anajua magaidi wamejificha, iwe misikitini , hospital au makanisani , makambini Israeli anadondosha makombora huko huko, wapalestina watiifu na wapenda amani walishaondoka eneo la kusini, hao waliobaki hapo Gaza wamekubali kuwa human shield ya magaidi Hamas.
 
View: https://youtube.com/shorts/dYupQIdoJuw?si=aDIBIa-SCW4V_eoK

Israel hana lolote hata akiwachiwa auwe watoto/wanawake Hamasi kasema mwendo ni ule ule wafungwa kwa wafungwa zaidi ya hapo hampati lolote

Na kuifuta Hamasi wanaota karibu watamtumia Qatar awabembeleze Hamasi 😄

Kuna wa America na Waisrael walikuwa wanalalimika eti Qatar nayeye apewe punishment kwanini kuwawacha viongozi wa Hamasi waishe Qatar?

Qatar wamejibu ni America ndio kaomba vile ile wawe wanawasilisha mazungumzo kati ya US na Hamasi hi ni aibu kumbe America ndio anaomba vile akiona vita vimemzidia Israeli anawambia Qatar wasemeshe Hamasi wasimamishe vita.

Hi aibu sijui wataificha wapi America.
 
unajua ukifuatilia siasa za mataifa ya kiarabu utashangaa Sana 😅😅.
Yaani kule utakuta hiyo hizbollah ni chama Cha siasa na kimesajiliwa na kinashiriki uchaguzi lakini wakati huohuo ni kikundi Cha kijeshi na kinamiliki siraha . Tena inafikia Hadi kikundi Cha kijeshi kinakua na nguvu ya kijeshi kuzidi jeshi la nchi. Yaani chukulia CHADEMA wawe na jeshi na lina nguvu kuzidi JWTZ 😅😅😅
Huyu hapa chini ni waziri nchini Afghanistan na hapo Yuko ofisini 😂😂😂
View attachment 2803628
Afghanistan siyo waarabu
 
Mtulie Sasa muache kelele kwamba Israel inaua watoto na wanawake, kwani wanaume wameenda wapi? Na kwanini wakimbie na kuacha wanawake na watoto? Hamas hawakuchagua walipovamia Israel, kwanini nyie muwachagulie namna ya kupambana na Hamasi? Uzuri Israel anajua janja janja za Hamas na wanaounga mkono magaidi, ndo maana anafumua Kila sehemu ambapo anajua magaidi wamejificha, iwe misikitini , hospital au makanisani , makambini Israeli anadondosha makombora huko huko, wapalestina watiifu na wapenda amani walishaondoka eneo la kusini, hao waliobaki hapo Gaza wamekubali kuwa human shield ya magaidi Hamas.
Yaaaani wawe wapole
 
Kwa hiyo Hamas walivyokuwa wanalipua vifaru hao Israel walikuwa wanawatazama tu au na wao walienda kuwalenga wanawake na watoto?
 
Mtulie Sasa muache kelele kwamba Israel inaua watoto na wanawake, kwani wanaume wameenda wapi? Na kwanini wakimbie na kuacha wanawake na watoto? Hamas hawakuchagua walipovamia Israel, kwanini nyie muwachagulie namna ya kupambana na Hamasi? Uzuri Israel anajua janja janja za Hamas na wanaounga mkono magaidi, ndo maana anafumua Kila sehemu ambapo anajua magaidi wamejificha, iwe misikitini , hospital au makanisani , makambini Israeli anadondosha makombora huko huko, wapalestina watiifu na wapenda amani walishaondoka eneo la kusini, hao waliobaki hapo Gaza wamekubali kuwa human shield ya magaidi Hamas.
Sasa jama hamas wamejificha na hao wanao uwa wanajeshi wa Israel ni majini sio?
Israel ipambane na hamas iachane na watoto.
 
Israel Announces Its Tanks Have Reached Gaza City
Josh Fiallo
Fri, November 3, 2023 at 12:34 AM GMT+3
Anadolu Agency via Getty Images
Anadolu Agency via Getty Images
Israeli soldiers rolled into Gaza City on Thursday, marking the start of a “significant stage” of Israel’s ground operation into the Gaza Strip, military officials said. Gaza City is the strip’s most populous city, with nearly 600,000 residents and, according to Israeli officials, is also the home base of Hamas. In a statement, IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Israeli forces approached Gaza City from the north while exchanging fire with Hamas. Halevi said about 130 Hamas militants were killed by Israeli ground forces on Thursday and that armored divisions had reached Gaza City. Israeli officials say 19 of its soldiers have been killed since the beginning of its ground operation late last week, the Times of Israel reported Thursday, including one senior officer. Gaza City has been bombarded by Israeli airstrikes for more than three weeks, beginning Oct. 7 after Hamas rushed the Israeli border and erupted the region into chaos. Israel ordered the city’s residents to evacuate, but many civilians have still been struck by airstrikes a
 
unajua ukifuatilia siasa za mataifa ya kiarabu utashangaa Sana 😅😅.
Yaani kule utakuta hiyo hizbollah ni chama Cha siasa na kimesajiliwa na kinashiriki uchaguzi lakini wakati huohuo ni kikundi Cha kijeshi na kinamiliki siraha . Tena inafikia Hadi kikundi Cha kijeshi kinakua na nguvu ya kijeshi kuzidi jeshi la nchi. Yaani chukulia CHADEMA wawe na jeshi na lina nguvu kuzidi JWTZ 😅😅😅
Huyu hapa chini ni waziri nchini Afghanistan na hapo Yuko ofisini 😂😂😂
View attachment 2803628
We ndio huna exposure kila chama cha siasa kinaweza kuwa na military wing ANC ilikua hivyo, FRELIMO, RENAMO etc hata hapa bongo CCM ilikua na Green guard na ilikua inamiliki silaha kabisa. So hizi mambo zipo duniani kote sio uarabuni tu jitahidi ujifunze
 
Back
Top Bottom