econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kwani Waisrael ndugu zako?
Ametoa tu taarifa. Maana Kuna watanzania wawili walitekwa na Hamas kule Gaza hivyo watakuwa wamekombolewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Waisrael ndugu zako?
Zote nimesoma na nimezifuatilia articles zake na mpaka archive zake nimeziona kupitia aljazeera.Kasome historia kuhusu hizi vita mbili:
1) 1948 Arab-Israeli War
2) 1967 Six-Day War
Sio lazima ulete mrejesho!
Baba Mwajuma hiyo hotel kuitwa al basha imekaaje hiyoVyema Ukiweka Dna uweke na Percentage zake, 4-15% ya Sub Sahara Dna prove nothing mkuu, mtu mwenye 60% ya Canaanite na 10% ya Sub Sahara utasema huyo mtu katoka Africa? Hizo evidence zako hebu zirudie vizuri kuzisoma...
Wakristo mkiachiwa uhuru mtajikuta wote mmekuwa mashoga kutoka a na kasi ya mapadri kuwazoesha michezo hiyowaislam wakipewa nafasi wanaweza kutuua wote waishi wenyewe, wana roho mbaya sana ni uwezo tu hawana
Basha hapo inamaanisha kama Chifu ama mtemi kiswahili.Baba Mwajuma hiyo hotel kuitwa al basha imekaaje hiyo
Kuwa arabized haimaanishi una damu ya kiarabu, tatizo kumbe ni kingereza? Egpty ipo Arabized ila sio waarabu kiasili same kwa Nchi Za North Africa.Nafikiri tunakubaliana sasa kuwa Wapalestina wa sasa wametokana na Wapalestina waliokuwa arabized. Maana yake ni kwamba tunakubaliana kisayansi kuhusiana na uwepo wa gene flow ya Mwarabu iliyopelekea kuwa na Wapalestina waliopo sasa.
Maana yake ni kuwa, ile hoja yako kwamba "Mpalestina wa leo na yule aliekuwepo miaka 3000 iliyopita ni yuleyule", haiko sahihi kisayansi. Simply, haina mashiko!
Context ya PLO charter ni tofauti. Nimeleta ushahidi wa PLO kwa sababu umeleta conspiracy theory (bila ushahidi) kwamba Zionists/British wanalazimisha kila mtu awe Mwarabu. Je, PLO na Wapalestina wa sasa walilazimishwa na Zionist yupi na Muingereza gani kuwa Waarabu? Uthibitisho uko wapi?
Percentages za DNA haplogroups zipo documented humo kwenye link niliyoleta. Ingia usome kilichomo!
Kwa kukurahisishia tu, nanukuu baadhi ya taarifa;
Haplogroups L1-L3A in the Near East reach their highest frequency in the Yemen Hadramawt (∼35%). Other Arab populations-Palestinians, Jordanians, Syrians, Iraqis, and Bedouin-have ∼10%-15% of lineages of sub-Saharan African origin. These types are rarely shared between different Arab populations. By contrast, non-Arab Near Eastern populations-Turks, Kurds, Armenians, Azeris, and Georgians-have few or no such lineages, suggesting that gene flow from Africa has been specifically into Arab populations.
Hiyo taarifa (link) uliyoleta wewe haina uthibitisho kuwa Wapalestina wa sasa ndio wale wa kabla ya Uarabu. Hapa sizungumzii "Palestine" kama utaifa, kitu ambacho nilishazungumzia post zilizopita.
We acha upunguani,Mfano hapa Afrika tu kuna real jews mfano kabila la Lemba toka kule Zimbabwe na South Afrika , wale wana real and undiluted Jewish traditions za miaka mingi ,kuna Yibir kule Somalia wale ni real jews kwa traditions zao hadi genetic linkup .,kuna jews wa west Africa
Kuna real Jews wapo kule kwenye mpaka wa Burma na India ,wanaitwa Bnei Menashe yaani wa toto wa Manase , hawa wanatoka kabila la Manase ,moja kati ya makabila 12 original ya kiyahudi
Kuna wayahudi kule Sahara ndani ya kabila la Tuareg , DawAsak ,hao ni real jews
Kuna wayahudi west Africa ndani ya makabila kama Igbos ,
We unaongelea 320×100=3200.
UN NI TAKA TAKAUN imeshindwa kabisa ku maintain world peace
Ile Kaunta ofensivu imekuaje Tena?? Hiyo Vita Ukraine ndio wajingaVita ya Ukraine imefikia hatua inaitwa Stalemate.
Uogaaa huu ndio umetuponza saanaaKuna watu wengine ni janga Kwa kweli naangalia live hapa raia wa Lebanon wakiwemo wakina mama, vikongwe na watoto wadogo wamekusanyika eti wanasubiri tamko la Kiongoz wa Hezbollah hapo baadae wenyewe wanadai Wana Imani jamaa atatangaza kuingia vitani rasmi na Israel sasa unabaki kujiuliza hivi Hawa Wana akili kweli? Maana ikitokea hiyo vita yanageuka Yale Yale ya Gaza raia wasiokuwa na hatia kuuliwa, inasikitisha sana ningekuwa ndio mm nimeona hizi ishara natokmea zangu mbali kabisa na familia yangu.
Kuna baadhi ya scenario uoga unasaidia sana, IDF washatangaza vita na unajua maana ya vita mbaya zaidi uwezo wa kupambana nao huna sasa kwann usikimbie otherwise usubir kuuwawa tu.Uogaaa huu ndio umetuponza saanaa
Hahahaha😂Mkuu rudi tu kwenye mambo yako ya silaha haya mambo hata huyajui kila ukifungua midomo kuandika unaandika data za uongo.
1. Hizo data za asilimia 3 ama 2 ni data za Wakristo wa Sasa ambao wanaishi Palestina ambao bado hawajafukuzwa na sio wapalestina wote Wakristo, kila kundi la wapalestina lina namna yake ya kupigana na Wakristo wengi wameenda Lebanon na South America.
2. Estimation Asilimia za Wapalestina Wakristo ni zaidi ya 10, na kama nilivyokuambia juu na sehemu nyengine wapalestina wengi Wakristo wapo South America na wao wanafanya mapambano yao kwa njia nyengine, kama Umeona hii vita Nchi za kwanza kufukuza Mabalozi na wanadiplomasia wa Israel ni za south America. Chile pekee kuna Wapalestina 500,000.
3. Kwa data za 1922-1947 population yao ili range asilimia 9-11,
Pia mkuu Data hazidanganyi, unahisi hao Wakristo wa Palestina ni mabubu? Nimekupa Phrase ya Raisi mkristo akielezea kwanini wanaungana na Kina Hezbollah
Hii ni Survey Ilifanywa kwa hao Wakristo, Asilimia 88 walishiriki so ni Almost wote
As far back as 1993, 88 per cent of Christian Palestinians surveyed about emigration specified the economic situation. In a 2006 survey, 78 per cent of Christian respondents to a Bethlehem-based poll said “Israeli aggression and occupation are the main cause of emigration”, while only 3.1 per cent exclusively blamed the “rise of Islamic movements” (12.1 per cent said it was a combination of the two). More than half of those Christians surveyed had at least one relative whose land had been confiscated by Israel.
So asilimia 78 ya Wakristo wa Palestina wanaamini Israel ndio Amewafanya hadi leo wapo hivyo Ila wewe upo huku Tanzania hata hujui Hezbollah ni Sunni ama shia unajifanya unajua na Unawasemea wanachopitia?
Kwa yoga huo we ukisikia majambazi wamevamia kwa jirani na wanabaka mke na mabinti,we utawahi kutoroka na utaitelekeza familia. Wajijue wenyeweKuna watu wengine ni janga Kwa kweli naangalia live hapa raia wa Lebanon wakiwemo wakina mama, vikongwe na watoto wadogo wamekusanyika eti wanasubiri tamko la Kiongoz wa Hezbollah hapo baadae wenyewe wanadai Wana Imani jamaa atatangaza kuingia vitani rasmi na Israel sasa unabaki kujiuliza hivi Hawa Wana akili kweli? Maana ikitokea hiyo vita yanageuka Yale Yale ya Gaza raia wasiokuwa na hatia kuuliwa, inasikitisha sana ningekuwa ndio mm nimeona hizi ishara natokmea zangu mbali kabisa na familia yangu.
Sheria ipi inatoa haki ya kushambuliwa bank kisa inapokea pesa za kuendesha ugaidi hamas magaidi kwa sheria ipi ya umoja wa mataifa ISRAEL [emoji1134] mwezi mzima sasa wanahangaika nakale kakundi kawatu 10k hili kundi la wanamgambo wa IDF la takiwa kuvunjwa sio mahala pake ila kaunta attack inaendeleje hapo Ukraine [emoji1255]Unaweza nionyesha airbase, military headquarters, naval base au military installation yoyote ya Hamas?
Miundombinu ya Hamas ndio hiyohiyo miundombinu ya raia. Benki ya Hamas ni Islamic Bank of Gaza ni ya kiraia na imeharibiwa jana, benki hiyohiyo iliyokuwa inapokea misaada ya kimataifa ndio inapokea mchango wa kuendeleza ugaidi.
Majengo ya wakuu wa Hamas ndio majengo ya raia wa kawaida, hawana military barracks. Shule tena nyingine za UN, misikiti vyote hivyo wanatumia.
Hakuna kitu chochote kikubwa kinachomilikiwa na Hamas independently kasoro mahandaki.
Wakati huo military installations za Ukraine zinajulikana na bado zipo nyingi sana nchi nzima. Au ndege za Ukraine zinaruka kutokea chumbani?
Duh mkuu umepotelea wapi?Sheria ipi inatoa haki ya kushambuliwa bank kisa inapokea pesa za kuendesha ugaidi hamas magaidi kwa sheria ipi ya umoja wa mataifa ISRAEL [emoji1134] mwezi mzima sasa wanahangaika nakale kakundi kawatu 10k hili kundi la wanamgambo wa IDF la takiwa kuvunjwa sio mahala pake ila kaunta attack inaendeleje hapo Ukraine [emoji1255]
Hamas na Hizbullah zinapendwa mnooo sababu zinajua kudeal na Israel [emoji1134] wale wapuuzi waki Israel [emoji1134] wanaelewa lugha yakupelekewa moto tuuuInasikitisha sana.
Nadhani hao Palestinian walio wengi wakiulizwa kama wanazipenda harakati za hao Hizbulah sijui Hamas hakuna anaewaunga mkono maana mara nyingi makosa wanayoyafanya wakidhani wanaokoa nchi yao matokeo yake yanawaumiza wasiokuwepo.