LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mbona kama hii conflict ya Hamas vs Israel ni faida sana kwa NATO na US kwa sababu walikuwa wanapigika sana kule Ukraine na media nyingi now zimefocus kwenye hii conflict na kutusahaulisha yale ya Ukraine ya kulalamika kuishiwa ammunitions
Umesahau wewe tu MKUU watu hatujasahau pia sio faida ni hasara kwao sababu hawawezi kuunga mkono Israel [emoji1134] na Ukraine [emoji1255] kwa wakati mmoja
 
Sheria ipi inatoa haki ya kushambuliwa bank kisa inapokea pesa za kuendesha ugaidi hamas magaidi kwa sheria ipi ya umoja wa mataifa ISRAEL [emoji1134] mwezi mzima sasa wanahangaika nakale kakundi kawatu 10k hili kundi la wanamgambo wa IDF la takiwa kuvunjwa sio mahala pake ila kaunta attack inaendeleje hapo Ukraine [emoji1255]
Sio benki tu, hadi misikiti, shule na hospitalo zimepigwa mabomu na sasa hospitali kubwa ya Gaza yenye HQ za Hamas underground soon itafuatiliwa kuharibu mtandao wa mahandaki chini yake.
 
Sasa uwongo Uko wapi?

Dunia imelipokea hilo tishio kama ni rasmi

Russia inafuatilia kwa karibu

Iran yatoa Neno

Muisrael huwa haropoki!
Ni kweli kauli ya huyo waziri ililaaniwa na wengi kushangaa kwanini hakufukuzwa moja kwa moja. Lakini amesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana. “Indefinitely suspension”

Kauli yako ni uongo. Unasema “Israel wamesema”

 
Ni kweli kauli ya huyo waziri ililaaniwa na wengi kushangaa kwanini hakufukuzwa moja kwa moja. Lakini amesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana. “I definitely suspension”

Kauli yako ni uongo. Unasema “Israel wamesema”

Wewe hujawahi kushiriki Vita ndio sababu unatafsiri mambo kisiasa

Hiyo ni message na wenye akili wameshaelewa

Jana Waziri wa Israel alisema baada ya Vita Gaza haitatawaliwa na Israel wala Palestine

Ni Maneno ya Vitani hayo bwashee
 
Nuclear weapons zipo kwa maonesho tu, ila kutumika practically ni hatari zaidi ya hatari..

Nuclear ikipigwa hapo Gaza hata waisraeli wenyewe wata athirika na nchi za jirani.

Radiations zake sio za mchezo mchezo.
 
Back
Top Bottom