Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
daaa ila we jamaaAllah yukobar
Umesahau wewe tu MKUU watu hatujasahau pia sio faida ni hasara kwao sababu hawawezi kuunga mkono Israel [emoji1134] na Ukraine [emoji1255] kwa wakati mmojaMbona kama hii conflict ya Hamas vs Israel ni faida sana kwa NATO na US kwa sababu walikuwa wanapigika sana kule Ukraine na media nyingi now zimefocus kwenye hii conflict na kutusahaulisha yale ya Ukraine ya kulalamika kuishiwa ammunitions
Yesu huyu huyu mtume wenuhayo hayo mayahudi ndiyo yalimpiga yesu mikuki ya makalio.
"......sema: hakika allah haamrishi mambo machafu, je mnamsemea allah yale msiyoyajua?.."Hapa ndipo Mungu anaponichanganya, matukio kapanga Allah sasa kuna sababu gani kuwatupa motoni watu aliowaumba na wanatenda Kwa maagizo yake
Wewe uwahukumu ila wanaokalia ardhi zao kule west bank, Hebron wanawahukumu.Makosa ya wazee wao yanapaswa kuwa changamoto kwao. Haina maana kwamba nimewahukumu.
New occupation of Gaza is just beginning.Waziri mkuu wa Israel mh Netanyahu amesema baada ya Vita kwisha Israel ndio itasimamia Ulinzi Eneo lote la Gaza
Source BBC news
Jukumu la upatanishi limeachwa kwa Marekani na Saud Arabia.Hapo Darfur, Sudan Waafrika wanauana mchana kutwa usiku kucha, sijajua AU ina mpango gani. Ama attention bado iko Middle East?!
Sio benki tu, hadi misikiti, shule na hospitalo zimepigwa mabomu na sasa hospitali kubwa ya Gaza yenye HQ za Hamas underground soon itafuatiliwa kuharibu mtandao wa mahandaki chini yake.Sheria ipi inatoa haki ya kushambuliwa bank kisa inapokea pesa za kuendesha ugaidi hamas magaidi kwa sheria ipi ya umoja wa mataifa ISRAEL [emoji1134] mwezi mzima sasa wanahangaika nakale kakundi kawatu 10k hili kundi la wanamgambo wa IDF la takiwa kuvunjwa sio mahala pake ila kaunta attack inaendeleje hapo Ukraine [emoji1255]
Acha uongo wewe. Aliyesema hayo maneno ni waziri ambaye amekuwa “suspended indefinitely” na waziri mkuu Netanyahu.Baraza la Vita la Israel limesema kuna uwezekano wa kuipiga Gaza kwa bomu la Nyuklia
Source Al jazeera news
Nimeogopa sana!
Sasa uwongo Uko wapi?Acha uongo wewe. Aliyesema hayo maneno ni waziri ambaye amekuwa “suspended indefinitely” na waziri mkuu Netanyahu.
Hebu wapige tusikie kishindo chake. Kufanya hivyo kwaweza kuibua vita ya tatu ya duniaBaraza la Vita la Israel limesema kuna uwezekano wa kuipiga Gaza kwa bomu la Nyuklia
Waziri aliyezungumza asimamishwa
Source Al jazeera news
Nimeogopa sana!
Ni kweli kauli ya huyo waziri ililaaniwa na wengi kushangaa kwanini hakufukuzwa moja kwa moja. Lakini amesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana. “Indefinitely suspension”Sasa uwongo Uko wapi?
Dunia imelipokea hilo tishio kama ni rasmi
Russia inafuatilia kwa karibu
Iran yatoa Neno
Muisrael huwa haropoki!
Mrusi keshaibuka hukoHebu wapige tusikie kishindo chake. Kufanya hivyo kwaweza kuibua vita ya tatu ya dunia
Wewe hujawahi kushiriki Vita ndio sababu unatafsiri mambo kisiasaNi kweli kauli ya huyo waziri ililaaniwa na wengi kushangaa kwanini hakufukuzwa moja kwa moja. Lakini amesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana. “I definitely suspension”
Kauli yako ni uongo. Unasema “Israel wamesema”
Netanyahu suspends Israeli minister over Gaza nuclear comment
Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday disciplined a junior member of his cabinet who appeared to voice openness to the idea of Israel carrying out a nuclear strike on Gaza, where the war with Hamas is inflicting a spiralling Palestinian civilian toll.www.reuters.com