Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Wale walioungana wakapigwa kwa siku 6 hawakuwa na silaha?Sasa ww akili kama kisoda ubapigana na kakundi kasichokuwa na silaha zozote za maan ndo mnasifia tena kwa kuchangia na marekani , mkipigana na nchi yenye air supreme yoyote mbona kazi mtakuwa nayo
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Dini ni ujinga uliokomaaIjapo watu elfu waanguka ubavuni pako. Naam, kumi elfu mkono wako wa kuume! Hata hivyo hautakukaribia wewe. [Zaburi 91:7].
Watu wale wana ahadi, mkono wa Yehova upo juu yao.
Jamaa wanapenda kumwaga damu kwa hiyari kabisaMyahudi azidishe maombi. Kupambana na mtu asie ogopa kufa ni issue nzito
Unataka kuniambia kuna mambo binadamu anafanya Allah hajui, kama Allah aliumba kila kitu na anajua kila kitu mpaka kitakachotokea baada ya kiama, kama Allah ndiye aliyepanga kila kitu na vitu vinatokea Kwa kuwa tu ameruhusu kama hajaruhusu hicho kitu hakuwezi kutokea sasa Allah si anahusika na kila kitu hadi mauaji yanayotokea hapo palestina????"......sema: hakika allah haamrishi mambo machafu, je mnamsemea allah yale msiyoyajua?.."
Qur'an 7:28
Koran haina maelezo ya jina Jacob kuwa Israel, wewe Aya unaeleza kwa kutumia kitabu gani ?Israel ambae ni Jacob (Yakoub) baba wa Yusuf.
Tutaharibu uzi wa watu, ukipata mahali pana uzi unaohusiana nitag nitakupatia majibu mkuu.Unataka kuniambia kuna mambo binadamu anafanya Allah hajui, kama Allah aliumba kila kitu na anajua kila kitu mpaka kitakachotokea baada ya kiama, kama Allah ndiye aliyepanga kila kitu na vitu vinatokea Kwa kuwa tu ameruhusu kama hajaruhusu hicho kitu hakuwezi kutokea sasa Allah si anahusika na kila kitu hadi mauaji yanayotokea hapo palestina????
Labda uniambie kuwa Allah Hana uwezowa kuona Jambo lolote litakalokuja kutokea na yeye anakuja kujua Jambo Fulani Kwa baada ya tukio kutokea
Biblia inasema Jacob ndiye Israel. Kwani huiamini Biblia?Koran haina maelezo ya jina Jacob kuwa Israel, wewe Aya unaeleza kwa kutumia kitabu gani ?
Mi hawa jamaa sometimes naonaga kama mazuzu flan. Hiv kweli waarabu wanawaua waafrica waislamu hapo Darfur Sudan na hawasemi kitu ila mwarabu ni watoto wa mtume hawastahili kuuawa.Mtu kakaa kwenye Computer ka type eti "Israel admits', na wajinga wasiojiuliza wakakimbilia kupost mitandaoni, wameadmit lini na wakiwa wapi kupitia TV,Radio gani!?, kwahiyo na wale mateka walioshikiliwa na Hamas nao ni
feki!?,na wale wale watanzania wawili walichukuliwa mateka wanaigiza tu wapo Tandale!?.,na zile videos zilizorushwa na Hamas wakati wanajiandaa na mashambulizi na wanatekeleza mashambulizi ni za waisraeli wakiigiza kuwa waarabu!?.., mkiwa mnapokea vitu vya mtandaoni muwe mnatumia na common sense kama binadamu, sio kukimbilia kupost chochote. Kichwa sio Kwa ajili ya kubebea nywele na ndevu.
hii uliiandika November 2, leo hii i november 10, hayo masaa machache yameisha? israel wenyewe wanatamani hiyo opportunity ili wapate sababu. wajaribu waone;Kumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.
Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!
Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon
Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.
Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo
Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
KIMSBOY??Kumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.
Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!
Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon
Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.
Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo
Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
Nov 10Tuhesabu dakika sasa
Meza vidonge vyako vya kupunguza hiyo dementia ya kiakili uliyonayo ,then vua nenda kamkumbatie mmeokwahiyo hapo ndio umejiona umeandika kama mtu mwenye akili. jibu hoja. kwa mnavyoaminisha kwamba wale watu waliuliwa na waisrael wenyewe, mnataka kutuambia pia wale waliotekwa walikamatwa na waisrael wakakabidhiwa kwa hamas? hiyo clip sio mpya na ilishatolewa maelezo kwamba, majority ya waliouawa waliuliwa na hamas baada ya uvamizi wa tarehe 7, lakini tukio lilivyotokea wanajeshi wa IDF ndio wakastuka wakajaribu kuokoa mateka na kuua hamas, civilians were caught in between the cross-fire, kama katikati ya raia ndio mapigano yanatokea unategemea raia wasingekufa? na ni kweli yawezekana wanajeshi kadhaa wa israel walifanya uzembe kutojali raia wasiuawe na risasi zao, lakini swali ni je, unataka kutuambia kwamba hamas hawakuua wala kuchoma magari? hasa pale kwenye disco walipouawa watu zaidi ya 200 ndani ya ukumbi sio nje, wakati wanajeshi wa israel walikuwa a distance nje ya ukumbi wakishambuliana na hamas. nakuonea huruma kwasababu huelewi hata unachoongea.
unawaza ujinga ndugu. kama una tabia za kukumbatia wanaume wenzio ni wewe, manake naona umeng'ang'ania sana, pengine ndio mchezo wako.Meza vidonge vyako vya kupunguza hiyo dementia ya kiakili uliyonayo ,then vua nenda kamkumbatie mmeo
Sina muda wa kujibizana na mataahira kama wewe