LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Yani mtu anayetaka kujiua huwa anasubiria ruhusa ya mtu mwingine? Waende tu wakapigane.
 
Ijapo watu elfu waanguka ubavuni pako. Naam, kumi elfu mkono wako wa kuume! Hata hivyo hautakukaribia wewe. [Zaburi 91:7].
Watu wale wana ahadi, mkono wa Yehova upo juu yao.
Dini ni ujinga uliokomaa
 
"......sema: hakika allah haamrishi mambo machafu, je mnamsemea allah yale msiyoyajua?.."

Qur'an 7:28
Unataka kuniambia kuna mambo binadamu anafanya Allah hajui, kama Allah aliumba kila kitu na anajua kila kitu mpaka kitakachotokea baada ya kiama, kama Allah ndiye aliyepanga kila kitu na vitu vinatokea Kwa kuwa tu ameruhusu kama hajaruhusu hicho kitu hakuwezi kutokea sasa Allah si anahusika na kila kitu hadi mauaji yanayotokea hapo palestina????

Labda uniambie kuwa Allah Hana uwezowa kuona Jambo lolote litakalokuja kutokea na yeye anakuja kujua Jambo Fulani Kwa baada ya tukio kutokea
 
Tutaharibu uzi wa watu, ukipata mahali pana uzi unaohusiana nitag nitakupatia majibu mkuu.
 
Nov 10, 2023 07:41 UTC

  • Msemaji wa Sarayal-Quds: Vifaru vimegeuka kuwa majeneza ya askari wa Kizayuni
Msemaji wa Saraya al-Quds, tawi la kijeshi la Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema, adui yetu anayejaribu kusonga mbele anaionja ladha ya maumivu ndani ya vifaru vyake ambavyo vimegeuka kuwa majeneza yanayotembea.

Brigedi za Shahidi Izzuddin Al-Qassam, tawi la kijeshi la harakati ya Hamas, zilitangaza jana kuwa katika siku ya 34 ya operesheni ya Kimbunga ya Al-Aqsa, zinaendelea kuzishambulia zana za kivita za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.

Al-Qassam ilitangaza kuwa imeshambulia kwa maroketi aina ya Yaasin 105 kifaru kimoja cha jeshi la Israel katika eneo la Al-Tawam kaskazini-magharibi mwa mji wa Gaza, kifaru kingine kaskazini mwa Al-Sheikh Ridhwan, na magari 3 ya kijeshi na buldoza moja la jeshi la utawala huo ghasibu karibu na kambi ya Shat'ii.

4c3r80050aba5e2e9ng_800C450.jpg
Image Caption
Kwa mujibu wa IRNA, Abu Hamza, msemaji wa Sarayal-Quds tawi la kijeshi la Harakati ya Jihadul-Islami, alieleza hapo jana katika hotuba aliyotoa kuhusiana na vita vya Gaza: "kwa siku nyingi adui yetu amekuwa akisonga mbele kuelekea Gaza kutokea pande kadhaa lakini amekuwa akipata vipigo".

Abu Hamzah ameongezea kwa kusema, "sisi ni sehemu isiyotenganishika na operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na tuko bega kwa bega na wapiganaji wa Brigedi za Al-Qassam katika avita dhidi ya adui Mzayuni".

Katika upande mwingine Hizbullah ya Lebanon imetangaza katika taarifa kwamba imeviteketeza vifaru viwili vya Merkava vya utawala wa Kizayuni katika eneo la al-Mutla kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na wote waliokuwamo ndani ya vifaru hivyo wameuawa au kujeruhiwa.../
 
Mtu kakaa kwenye Computer ka type eti "Israel admits', na wajinga wasiojiuliza wakakimbilia kupost mitandaoni, wameadmit lini na wakiwa wapi kupitia TV,Radio gani!?, kwahiyo na wale mateka walioshikiliwa na Hamas nao ni
feki!?,na wale wale watanzania wawili walichukuliwa mateka wanaigiza tu wapo Tandale!?.,na zile videos zilizorushwa na Hamas wakati wanajiandaa na mashambulizi na wanatekeleza mashambulizi ni za waisraeli wakiigiza kuwa waarabu!?.., mkiwa mnapokea vitu vya mtandaoni muwe mnatumia na common sense kama binadamu, sio kukimbilia kupost chochote. Kichwa sio Kwa ajili ya kubebea nywele na ndevu.
Mi hawa jamaa sometimes naonaga kama mazuzu flan. Hiv kweli waarabu wanawaua waafrica waislamu hapo Darfur Sudan na hawasemi kitu ila mwarabu ni watoto wa mtume hawastahili kuuawa.
 
Na mkiwaweza israel kwa roho zenu za kigaidi mtaanza kuyataman mataifa mengine ya kikrosto mwisho mtaaribu dunia yote.Hamtakiw kushinda
 
Kumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.

Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!

Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon

Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.

Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo

Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
hii uliiandika November 2, leo hii i november 10, hayo masaa machache yameisha? israel wenyewe wanatamani hiyo opportunity ili wapate sababu. wajaribu waone;
 
Kumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.

Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!

Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon

Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.

Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo

Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
KIMSBOY??
VIPI HIZO SAA CHACHE ZA KUIMBA NGONJERA NI MPAKA MWAKANI AU??
 
kwahiyo hapo ndio umejiona umeandika kama mtu mwenye akili. jibu hoja. kwa mnavyoaminisha kwamba wale watu waliuliwa na waisrael wenyewe, mnataka kutuambia pia wale waliotekwa walikamatwa na waisrael wakakabidhiwa kwa hamas? hiyo clip sio mpya na ilishatolewa maelezo kwamba, majority ya waliouawa waliuliwa na hamas baada ya uvamizi wa tarehe 7, lakini tukio lilivyotokea wanajeshi wa IDF ndio wakastuka wakajaribu kuokoa mateka na kuua hamas, civilians were caught in between the cross-fire, kama katikati ya raia ndio mapigano yanatokea unategemea raia wasingekufa? na ni kweli yawezekana wanajeshi kadhaa wa israel walifanya uzembe kutojali raia wasiuawe na risasi zao, lakini swali ni je, unataka kutuambia kwamba hamas hawakuua wala kuchoma magari? hasa pale kwenye disco walipouawa watu zaidi ya 200 ndani ya ukumbi sio nje, wakati wanajeshi wa israel walikuwa a distance nje ya ukumbi wakishambuliana na hamas. nakuonea huruma kwasababu huelewi hata unachoongea.
Meza vidonge vyako vya kupunguza hiyo dementia ya kiakili uliyonayo ,then vua nenda kamkumbatie mmeo
Sina muda wa kujibizana na mataahira kama wewe
 
Meza vidonge vyako vya kupunguza hiyo dementia ya kiakili uliyonayo ,then vua nenda kamkumbatie mmeo
Sina muda wa kujibizana na mataahira kama wewe
unawaza ujinga ndugu. kama una tabia za kukumbatia wanaume wenzio ni wewe, manake naona umeng'ang'ania sana, pengine ndio mchezo wako.
 
Back
Top Bottom