Unaelata mambo ya sinema.Hezbollah walifyatua kombora kwenda Israel, na haikuchukua muda wakajibiwa tena kwa mapigo kote kote, natumai nyuzi hazitaanzishwa humu za kulalamika.
View: https://twitter.com/IAFsite/status/1723698117516697741
Sio kweli hizo ni story za vijiwen. Hamas imeanzishwa na Sheikh Yasin akiwa ni mfuasi wa Muslim brotherhood. Na tangu mwanzon walikuwa wanapingana na Israel miaka ya 1986 wamekuja kuwa extremist baada ya PLO ya Arafat kuacha mapambano na kuingia mkataba na Israel wakapewa utawala wa ndani. So wao wakaja kuwa mbadala wa harakat.Fatilia historia utaelewa, sasa hivi ndio wameanza anza kuwepo huko baada ya Mahmoud Abas kuwa puppet leader.
Hamas ni kikundi kilianzishwa na Israel kupambana na Yaser Arafat, Wapalestina especially West Bank walikiona kama Wasaliti, West Bank ipo Diverse zaidi hivyo Secular party kama Cha Yaser Arafat ndio kilikua kinakubalika.
Israel kaanza kupambana na Hamas hivi karibuni baada ya Yaser Arafat kufariki na wao kushindwa kuwa Control.
Wewe unajua kuliko viongozi wa Zamani wa Israel? Haya Bishana nao wambie hawajui wewe UNAJUA zaidi.Sio kweli hizo ni story za vijiwen. Hamas imeanzishwa na Sheikh Yasin akiwa ni mfuasi wa Muslim brotherhood. Na tangu mwanzon walikuwa wanapingana na Israel miaka ya 1986 wamekuja kuwa extremist baada ya PLO ya Arafat kuacha mapambano na kuingia mkataba na Israel wakapewa utawala wa ndani. So wao wakaja kuwa mbadala wa harakat.
Porojo za vijiweni.Israel amechezea papaya anategemea ISIS watamsaidia. America kashusha silaha na hao wanajeshi Lebanon anadhani atamshinda Hezbullah.
Hezbullah anasilaha za kuzamisha US carries na Israel kuwatishia Nuclear sidhani itawatisha Hezbullah anazo silaha zakuripua Chemical plant pale Haifa hio ni sawa na Nuclear
Onesha mchakato wa kupatikana kwako haukuanzia kwenye kilabu Cha pombe.ANAL AKBAR
Poleni mmeisha wamaliza Hamasi au bado?Porojo za vijiweni.
Halafu huyo huko JahannamVita ni vita murah.....Wazayuni wanazidi kuangamizwa huko Gaza haya mpwa wa kike wa Netanyahu nae ameangamizwa huko Gaza
Mpaka sasa idadi wa wanajeshi wa kizayuni walioangamizwa huko Gaza na mpakani na Lebanon ni karibia 900!!
Today Al-Qassam Brigades killed soldier Barkitzi Matania Artzi in Gaza, the younger niece of Sara Artzi, the wife of Prime Minister of Israel Netanyahu.
View attachment 2811903
Kafiri anamaani.?Sawa Apumzike Kwa Amani
Tatizo unakufa ukiwa kafiri ndio baya zaidVita sio disco ...
yeyote akiye front anaweza kufa
Unakufa ukiwa kafiri?Fact check: Israeli PM Netanyahu’s nephew killed in Gaza?
Reports about the killing of the Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu’s nephew are currently circulating across various news outlets and social media platforms, drawing attention from a global audience.www.samaa.tv