LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Footage of destruction in a number of vehicles after they were directly targeted from southern Lebanon by Hezbollah, a number of injuries and deaths (they appear to be Israeli soldiers and journalists)
 
Attachments

  • twidown.mp4
    2.7 MB
Israel amechezea papaya anategemea ISIS watamsaidia. America kashusha silaha na hao wanajeshi Lebanon anadhani atamshinda Hezbullah.

Hezbullah anasilaha za kuzamisha US carries na Israel kuwatishia Nuclear sidhani itawatisha Hezbullah anazo silaha zakuripua Chemical plant pale Haifa hio ni sawa na Nuclear
 
Fatilia historia utaelewa, sasa hivi ndio wameanza anza kuwepo huko baada ya Mahmoud Abas kuwa puppet leader.

Hamas ni kikundi kilianzishwa na Israel kupambana na Yaser Arafat, Wapalestina especially West Bank walikiona kama Wasaliti, West Bank ipo Diverse zaidi hivyo Secular party kama Cha Yaser Arafat ndio kilikua kinakubalika.

Israel kaanza kupambana na Hamas hivi karibuni baada ya Yaser Arafat kufariki na wao kushindwa kuwa Control.
Sio kweli hizo ni story za vijiwen. Hamas imeanzishwa na Sheikh Yasin akiwa ni mfuasi wa Muslim brotherhood. Na tangu mwanzon walikuwa wanapingana na Israel miaka ya 1986 wamekuja kuwa extremist baada ya PLO ya Arafat kuacha mapambano na kuingia mkataba na Israel wakapewa utawala wa ndani. So wao wakaja kuwa mbadala wa harakat.
 
Wewe unajua kuliko viongozi wa Zamani wa Israel? Haya Bishana nao wambie hawajui wewe UNAJUA zaidi.

Hapa naona wababe wawili wa dunia wanatumia njia zao za kuoneshana uwezo wao wa silaha.

USA+ Europe kwa vita ya Ukrain na Russia

Russia kaona aanzishe kwa kuwatumia Hamas kule Middle East kwa kumpelekea USA+EU kwa kuwapunguza makali kwa misaada Ukraine.

Hii vita ya Middle East itachukuwa sura mpya kwenye dunia yetu.
 
Israel amechezea papaya anategemea ISIS watamsaidia. America kashusha silaha na hao wanajeshi Lebanon anadhani atamshinda Hezbullah.

Hezbullah anasilaha za kuzamisha US carries na Israel kuwatishia Nuclear sidhani itawatisha Hezbullah anazo silaha zakuripua Chemical plant pale Haifa hio ni sawa na Nuclear
Porojo za vijiweni.
 
Vita ni vita murah.....Wazayuni wanazidi kuangamizwa huko Gaza haya mpwa wa kike wa Netanyahu nae ameangamizwa huko Gaza

Mpaka sasa idadi wa wanajeshi wa kizayuni walioangamizwa huko Gaza na mpakani na Lebanon ni karibia 900!!

Today Al-Qassam Brigades killed soldier Barkitzi Matania Artzi in Gaza, the younger niece of Sara Artzi, the wife of Prime Minister of Israel Netanyahu.
20231112_210441.jpg
 
View attachment 2811903
Halafu huyo huko Jahannam
 
Haitustui sisi waisrael tushawahi uawa maelfu lakini Adui akitiwa Mkononi mwetu na Mwenyeenzi Mungu Wetu hatumuachi.

Kwenye Vita Mojawapo Mfalme Wetu Sauli watoto wake waliuawa na hata yeye akajiua. Mungu akatuletea Daudi Tikashinda Vita nyingi Mno. Hata sasa Tuna Netanyahu Mungu anatupigania Tutashinda.
 
Nasikia kukubali kuwachia matekwa wote na wafungwa wa Hamasi, mwimba umemkaa pabaya si alijidai hasimamishi vita mpaa wawachiliwe matekwa wote.

Pili anatafuta njia yakutoka Gaza sababu hawezi pigana bila kuwauwa watoto, wanawake na dunia nzima inalalamika wanasema huyo anacho fanya genocide, anawakimbia Hamasi anaenda uwa watoto wanawake na wagonjwa sa kupigana na Hamasi hawezi na kuendelea kuwauwa watoto hata America kanza kuona kuna hatari upande wake.

Achague mawili pigana na Hamasi au kubali huwawezi
 
Back
Top Bottom