LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hata wale majasusi wameachiwa?
 
Netanyau kaitumbukiza Israel kwenye shimo reefu.
 
Bro kwani hayo maandamo ya akina Ponda, yanasemaje?
 
Palestina Palestina uko wapi palestina mungu wako nakutafuta palestina mbona umetenda aya.......
 
Today Al-Qassam Brigades killed soldier Barkitzi Matania Artzi in Gaza, the younger niece of Sara Artzi, the wife of Prime Minister of Israel Netanyahu.
View attachment 2811903

Kati ya huyo binti, na huyu bwana Jonathan Netanyahu, nani yuko karibu naye zaidi?

Familia ya Netanyahu walishampoteza vitani ndugu yao wa damu Jonathan Netanyahu mwaka 1976 and they cared less! Sembuse huyu ndugu wa mkewe?

 
Eti wanajeshi 900 hahahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamasi wa bongo bhana.
 
Kila siku anapewa mapendekezo ya kuachiwa mateka huru anapuuza.Anadhani nguvu ya mabomu ndio ushindi wa vita.
 
Hapo ndoo utajua kama hujui sisi wa tz tunatukanana matusi makubwa kisa waarabu na wayahudi,wao wamechagua watwangane wewe mtz kinakuuma nini hadi utoe mitusi mikubwa mkubwa kwa mtz mwenzako?nyie wote hamnazo ila kichwani mmebeba makamasi
 
Inaonekana huko Israel vijana wamehamasika kujiunga na jeshi na kupigana bila kuangalia hadhi au ni lazima?

Hivi bongo kweli jamaa wa viongozi kwa sasa wanaweza kwenda frontline?
 
Sasa we maralia shetani ( majini) ni rafiki yako utaendaje mbinguni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…